February 27, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Tundu Lissu aivuruga serikali ya JPM

Spread the love

SERIKALI imekiiri kuzuiliwa ndege aina Bombardier ( Q400-Dash 8) iliyonunuliwa hivi karibuni kutokana na deni inalodaiwa na kampuni ya ujenzi, anaandika Faki Sosi.

Hayo yameelezwa leo na Naibu Msemaji wa Serikali, Zamaradi Kawawa alipozungumza na waandishi wa habari.

Kawawa amesema kuwa serikali inachukau hatua za kidiplomasia na za kisheria kuhakisha kuwa ndege hiyo inapatikana.

“Hatua zilizochukuliwa ni zuio la Mahakama ambalo linahitaji ndege hiyo isiondolewe mpaka kesi ya msingi itakapoisha.

error: Content is protected !!