
Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida (katikati), akiinga ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu
Spread the love
MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka nyumbani kwake bila kukuta chochote, anaandika Hellen Sisya.
Taarifa zinasema kwamba makachero hawajafanikiwa kupata kitu chochote na bado haijajulikana hatma ya kiongozi huyo wa upinzani.
Kuna taarifa zinasema amerudishwa tena kituo kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
More Stories
Yanga yapigwa tatu na Simba, yashushwa kileleni
La Chaaz yateketea
Chadema: Serikali itoe taarifa sahihi za corona, chanjo