Saturday , 27 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yawakaba koo wadhamini wa Lissu 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza kupekwa mbele ya mahakama, taarifa ya kinachoendelea juu ya matibabu ya mbunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kimbunga ACT-Wazalendo; CCM yaungana na CUF ‘kulaani’

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeungana na Chama cha Wananchi (CUF) kulalamikia hatua ya waliokuwa wanachama wa chama hicho (CUF) kubadili rangi za majengo...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Msiombe JPM adumu madarakani

FIKRA kwamba, Rais John Magufuli anapaswa kuendelea kuwepo madarakani hata baada ya kumaliza muhula wake wa pili iwapo atachaguliwa, wametakiwa kuzika fikra hizo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ala kiapo mbele ya Wapemba

ACT-WAZALENDO hakujapoa. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na amsha amsha ya ‘ShushaTangaPandishaTanga Safari iendelee’ inavyotekelezwa visiwani Zanzibar. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Ni kauli mbiu iliyoasisiwa baada...

Habari za Siasa

BAVICHA si kikundi cha uasi – Sosopi

HIKI sio kikundi cha uasi. Hatutukani mtu hapa wala hatushauri vurugu. Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (BAVICHA) linafuata...

Habari za Siasa

JPM atibua Chadema, kwenda kortini

CHAMA cha Chadema kimesema kitafungua shauri mahakamani, kupinga sheria mpya ya vyama vya siasa, iliyosainiwa na  Rais John Magufuli tarehe 19 Machi mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba azidi kutokomezwa

HARAKATI za Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) kujiweka mbali na vyama shirika vya upinzani zinaelekea tamati. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Ni...

Habari za SiasaTangulizi

CUF: Msajili wa Vyama afute ACT-Wazalendo

KISHINDO cha Maalim Seif Shariff Hamad kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo tayari kimeyumbisha chama chake cha awali, Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Jabir Idrissa …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aifungulia Qatar milango ya uwekezaji

RAIS John Magufuli ameiomba nchi ya Qatar kushirikiana na serikali yake kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo uzalishaji wa nishati ya...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge CUF, wamtega Lipumba

PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amewekwa njia panda na baadhi ya wabunge wa chama chake hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: 2020 tunachukua Z’bar

HARAKATI za kutambulisha na kuimarisha Chama cha ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar zinashika kasi ambapo sasa kinadai kitashinda nafasi ya urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yapigwa stop na Mahakama kwa Nassari

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma, imetoa amri ya kuzuia kufanyika uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, hadi shauri la madai...

Habari za Siasa

DK. Lwaitama amzungumzia Maalim Seif

UAMUZI  wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad wa kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo umetajwa kuwa ni ushujaa....

Habari za Siasa

Mbowe, Dk. Mashinji wampigia saluti Zitto  

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo kushawishi na hatimaye waliokuwa viongozi waandamizi wa CUF kujiunga na chama chake, imepongezwa....

Habari za SiasaTangulizi

Zitto akabidhiwa mzigo wa Prof. Lipumba  

MAMBO yanzidi kwenda kombo ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) ambapo Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo alikabidhiwa lundo la kadi...

Habari za Siasa

Kwanini Maalim Seif apewe kadi No. 1 ACT-Wazalendo?

MAALIM Seif Sharif Hamadi, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 19 Machi 2019 amekabidhiwa kadi namba moja ya chama hicho. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Kinachonibakisha CUF si Prof. Lipumba-Mbunge CUF

HAMIDU Bobali, Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Lindi amesema kuwa, hatoacha ubunge na kujiunga ACT-Wazalendo alikohamia Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Zitto siyo mnafiki kama yule

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemweleza Zitto Kabwe kwamba sio mnafiki. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akikaribishwa Makao...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba awaangukia Wazanzibar

MWENYEKITI wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amewaangukia wanachama wa chama hicho visiwani Zanzibar kumuunga mkono. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Prof. Lipumba...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aondoka na ‘kijiji’ CUF

HATUA ya Maalim Seif Shariff Hamad kundoka katika Chama cha Wananchi (CUF) na kuhamia Chama cha ATC-Wazalendo imeathiri chama chake cha awali. Anaripoti Bupe...

Habari za Siasa

Bendera za CUF zachomwa moto

CHAMA Cha Wananchi (CUF) chini ya mwenyekiti wake Prof. Ibrahim Lipumba kimeanza kupita kwenye wakati mgumu baada ya Maalim Seif Shariff Hamada, aliyekuwa...

Habari za Siasa

Zitto atinga ofisi za CUF, ajifungia na Maalim Seif

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 18 Machi 2019 amefika katika Ofisi ya Wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF)...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif kuhamia ACT; Samani za CUF Unguja, Pemba ‘zatekwa’

UAMUZI wa Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo umekwenda sambamba na kubebwa kisha...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ahamia rasmi ACT-Wazalendo

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 18 Machi 2019 ametangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Pigo lingine kwa Maalim Seif, mahakama yamtambua Prof. Lipumba  

HATIMAYE Mahakama Kuu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo tarehe 18 Machi 2019 imetoa uamuzi kwamba, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ni mwenyekiti halali wa...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif kuibuka kivingine

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), yuko mbioni kuondoka chama hicho na kujiunga na moja ya vyama viwili vikubwa vya kisiasa nchini....

Habari za SiasaTangulizi

Nassari ajitetea, aomba huruma ya Spika Ndugai

JOSHUA Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki amemtaka Spika Ndugai kupitia upya uamuzi wake ambao haujazingatia ubinadamu na hata kupewa nafasi ya kusililizwa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amaliza kazi, amng’oa Maalim Seif

HATIMAYE Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francies Mutungi, amekamilisha kazi...

Habari za Siasa

Serikali yakaripia wawekezaji waliouwa viwanda

SERIKALI imesema, iko mbioni kutaifisha viwanda vyote ilivyovibinafsisha kwa watu binafsi, lakini wameshindwa kuviendeleza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Injinia Stella Manyanya, Naibu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ‘byebye’ CUF

JINA la Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) linakwenda ukingoni ndani ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa ameniumiza – Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesikitishwa na hatua ya “waziri mkuu mstaafu,” Edward Lowassa, kukihama chama hicho. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Segerea kuna mambo ya kuumiza

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa amesema, amekutana na mambo ya kuumiza alipkuwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai: Muulizeni Tundu Lissu swali hili  

HATUA ya Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) kuandika taarifa ya kusitishiwa mshahara na stahiki zingine na Ofisi ya Bunge, imemsukuma Job...

Habari za SiasaTangulizi

Utata mtupu Nassari kuvuliwa ubunge

HATUA ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutangaza kumvua ubunge mbubge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Arumeru Mashariki,...

Habari za SiasaTangulizi

Pigo lingine Chadema, Ndugai amvua ubunge Nassari

SPIKA wa bunge Job Ndugai amemwandikia barua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Semistocles Kaijage kumtaarifu kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Joshua...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba aeleza ‘jeuri’ ya kufanya mkutano mkuu

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa, ameeleza sababu za kufanyika kwa mkutano mkuu wa...

Habari za Siasa

Mbowe, wenzake wapangiwa hakimu mwingine, wasomewa mashataka upya

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo tarehe 14 Machi 2019 wamesomewa upya mashtaka yao kutokana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lakwepa kufafanua madai mshahara wa Lissu

MADAI ya Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kwamba, amesitishiwa mshahara na stahili zake zingine za kibunge yameshindwa kupatiwa ufafanuzi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Madai...

Habari za Siasa

Bunge lamwadhibu Lissu, lasitisha msharaha wake

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amekuja juu baada ya Bunge la Jamhuri kufuta mshahara na posho zake zote. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya mahabusu; Mbowe akutana na janga jingine

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, anakumbana na misukosuko mfululizo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Uongozi wa Wilaya...

Habari za Siasa

JPM asaka wawekezaji Urusi

RAIS John Magufuli amemkaribisha Rais wa Urusi, Vladmir Putin  na wawekezaji kutoka nchi hiyo, kuja kutembelea Tanzania pamoja na kutafuta fursa mbalimbali za...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba atwaa uenyekiti CUF

PROFESA Ibrahim Lipumba ametwaa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Miongoni mwa majukumu ya leo...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba apata upinzani uenyekiti CUF

DIANA Simba, mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 13 Machi 2019, amejitokeza na kumwaga sera kwamba, anaweza kuongoza chama hicho bila...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Ester Matiko wageuka kivutio bungeni

MBUNGE wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko wote Chadema wamekuwa kuvutio katika ukumbi wa Pius Msekwa kwa kushangiliwa...

Habari za Siasa

Kubenea ang’ata na kupuliza mpango wa Maendeleo ya Taifa

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema kuwa mpango uliowasilishwa leo na Waziri wa Fedha na Mipango kwa wabunge wote wa...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu awachimba mkwara mawaziri wake

WAZIRI Mkuu Kassm Majaliwa amewataka mawaziri wote kuhakikisha wanahudhuria katika vikao vya kamati za kudumu za bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Simu ya Prof. Lipumba ‘yakimbiza polisi’ 

SIMU iliyopigwa na Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ‘iliwapoza’...

Habari za Siasa

Kamati za Bunge kufanya mapitio Bajeti 2019/20

KAMATI za Bunge la Jamhuri zitaanza kuketi leo tarehe 12 Machi 2019 kufanya kazi mbalimali ikiwa ni pamoja na kupitia matumizi ya Fedha...

Habari za SiasaTangulizi

UVCCM wamnanga Lowassa

WAKATI wengine wakimtete Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 na kuamua kuhamia CCM tarehe 1 Machi 2019, Umoja...

Habari za Siasa

UVCCM wabadili gia kwa Lowassa

KEJELI na maneno ya dhihaka yaliyovurumishwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Edward Lowassa wakati akihamia Chadema, sasa yamebadilika. Anaripoti...

error: Content is protected !!