Saturday , 27 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika amgomea Waziri wa JPM

JOHN Mnyika, Mbunge wa Kibamba (Chadema) amepinga kauli ya Juma Aweso, Naibu Waziri wa Maji kwamba, jimbo hilo limesambaziwa maji kwa asilima 80. Anaripoti...

Habari za SiasaMpya

‘Upinzani unabanwa, serikali iache upumue’

HASHIM Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA)-Taifa, amelalamika kwamba, serikali inavibana vyama vya upinzani nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Anasema, ni wakati...

Habari za SiasaMpya

Sakata la CAG; Vijana ACT-Wazalendo kufanya maandamano

NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, imetangaza nia yake ya kufanya maandamano ya amani kupinga azimio la Bunge kuacha kufanya kazi na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CUF: Sijali, nakwenda ACT-Wazalendo

YUSUF Salim Hussein, Mbunge Jimbo la Chambani visiwani Zanzibar amesema, hahofii kufukuzwa na kwamba, hayupo tayari kubaki Chama cha Wananchi (CUF).Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Sitaki kuwa mfalme

RAIS John Magufuli amewaeleza Watanzania kwamba, hataki kuwa mfalme wa nchi hii badi mtatuzi wa kero za wananchi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Kesi ya madai Dola 55 Mil dhidi ya Tanzania yafutwa Marekani

KESI ya madai ya Dola za Marekani Milioni 55, iliyofunguliwa na Kampuni ya Transport Equipment Ltd (TEL) dhidi ya Serikali ya Tanzania nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya CAG, mtihani mzito

RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ipo njia moja kuelekea Bunge la Jamhuri ya Muungano, lakini je, itafikishwa?...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Wabunge wanadaiwa mabilioni, kulipa mashaka

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameweka wazi kuwa wabunge kumi wa viti maalum waliokuwa wanatokana na chama cha CUF waliotimuliwa na chama hicho...

Habari za Siasa

TEF: Spika Ndugai kakosea

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeeleza kutofurahishwa na hatua ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kuzuia waandishi wa habari kuzungumza na wabunge baada...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Bunge halina ugomvi na Ofisi ya CAG

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameeleza kwamba, taasisi anayoiongoza haina ugomvi na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

Habari za Siasa

Polisi Tanga wazuia mkutano ACT-Wazalendo

JESHI la Polisi mkoani Tanga limezuia Chama cha ACT-Wazalendo kufanya mkutano wake wa ndani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taraifa ilizofikia MwanaHALISI Online...

Habari za Siasa

Mnyika amkabili Spika Ndugai

JOHN Mnyika, Mbunge wa Kibamba jijini Dar es Salaam amepinga hatua ya Job Ndugua, Spika wa Bunge kufukuza wabunge kwa madai ya kudhalilisha...

Habari za Siasa

Mbunge ataka Mbowe ang’olewe

MBUNGE wa Ulanga mkoani Morogoro, Goodluck Mlinga amelishauri Bunge kubadili kanuni ili Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani anapokiuka kanuni na sheria za...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la CAG: Lema ampiku Mdee

MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, “amefukuzwa bungeni.” Amezuiwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lema amekutwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Maalim Seif kuweka historia Tanga

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo...

Habari za Siasa

Prof. Shivji: Kuna sheria mbovu zinatungwa

MSOMI wa masuala ya sheria na utawala nchini Profesa Issa Shivji, ameeleza kukerwa na mwelekeo wa utungaji sheria mbovu kwa maslahi ya wachache....

Habari za Siasa

Pierre Liquid alamba dume

LICHA ya kuitwa mtu wa hovyo, mchekeshaji anayechipuka kwa kasi Peter Mollel ‘Pierre’ sasa ni lulu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kuitikia kwake...

Habari za SiasaMpya

Spika Ndugai amng’ang’ania Lema

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini leo mchana tarehe 3 Aprili 2019 atakutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maadili saa 8...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

CAG ajibu, atahadharisha Bunge

SIKU moja baada ya Bunge la Jamhuri kuazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema ahoji uharaka wa serikali kubinafsisha viwanda

MBUNGE wa Viti Maalum, Devotha Minja (Chadema) amehoji serikali sababu za kushindwa kufanya maandalizi mazuri katika ubinafsishaji wa viwanda? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari za Siasa

Wananchi wafungiwe dira mpya za maji – Serikali

SERIKALI imeagiza wananchi kuendelea kufungiwa dira mpya za maji – Lipa Kadiri Utumiavyo – ili kupunguza malalamiko yao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aeleza kilichokwaza malipo zao la korosho

KUWEPO kwa majina hewa takribani 780, kumetajwa kuwa miongoni mwa sababu za serikali kuchelewa kulipa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

JPM arejesha matumaini wakulima wa korosho

RAIS John Magufuli amerejesha matumaini kwa wakulima wa zao la kibiashara la korosho ambao bado hawajalipwa fedha zao mpaka sasa. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za SiasaTangulizi

Lema achafua Bunge, wapinzani watoka nje 

BAADHI ya wabunge wa upinzani, wametoka nje ya Bunge, kupinga hatua ya Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumshitaki kwenye Kamati ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge la Ndugai laamua kumtenga Prof. Assad

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeazimia kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Haya ndio mavuno ya ACT-Wazalendo kwa Maalim Seif  

HATUA ya Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo, imepaisha chama hicho. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Bunge la 15 kuanza kesho, miswada miwili kupitishwa

MKUTANO wa kumi na tano wa bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili na kupitisha miswada miwili ya sheria ambayo itasomwa kwa hatua zake zote....

Habari za Siasa

Tamisemi yawaangukua wadau vyama vya siasa 

WAKATI uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, ukitarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...

Habari za Siasa

AZAKI zapeleka fikra mpya Ofisi ya Msajili

ASASI za Kiraia (AZAKI) nchini zimemshauri Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuunda Kamati Huru itakayoshughulikia tuhuma zinazokikabili Chama cha ACT-Wazalendo,...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Inaniuma kuhama CUF

JEMEDARI wa siasa za upinzani visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza, hatua yake ya kuondoka katika Chama cha Wananchi (CUF) imeacha majonzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni, njiapanda

KAMBI Rasmi ya upinzani bungeni, iko hatarini “kusambaratika” kufuatia “mapinduzi” ya kisiasa, yaliyotokea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Danson Kaijage kutoka...

Habari za Siasa

Ninaandamwa na dola – Maalim Seif

NINAANDAMWA na dola. Ndiyo kauli ya Maalim Seif Shariff Hamad, Makamu wa Rais wa Kwanza katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ). Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za SiasaTangulizi

Tume ya Uchaguzi yatangaza uchaguzi Jimbo la Nassari

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Semistocles Kaijage ametangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea)....

Habari za Siasa

Rais Magufuli afanya uteuzi Wizara ya Fedha na TRA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango anayeshughulikia...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya Segerea, Mbowe kuongoza Kamati Kuu leo

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa, pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu wanakutana leo tarehe 30 Machi 2019 kujali...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh wa Takbir ya ACT-Wazalendo akanwa kweupe

SHEIKH Juma Ramadhan, Imamu wa Msikiti wa Masjid Taqwa, jijini Dar es Salaam, amejipachika cheo kisicho chake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wakati...

Habari za Siasa

Nusura ATCL wamwingize mkenge Rais Magufuli

MAOFISA wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), walikuwa kwenye hekaheka za kukwapua fedha za umma kupitia kauli ya Rais John Magufuli aliyoitoa tarehe...

Habari za Siasa

Bulaya akwamisha kesi ya vigogo Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana...

Habari za Siasa

Takukuru kufuatilia kwa karibu Uchaguzi Serikali za Mitaa

UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, utafuatiliwa kwa karibu zaidi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania...

Habari za Siasa

Hatma ya pingamizi za serikali kwa Nassari kesho

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma kesho tarehe 29 Machi 2019, itatoa uamuzi wa pingamizi tatu, zilizotolewa na serikali katika kesi ya maombi madogo...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif apigwa ‘stop’ Clouds TV

MAMLAKA katika kituo cha televisheni cha Clouds, jijini Dar es Salaam, imeagiza kufutwa kwa mahojiano kati ya kituo hicho na mwanasiasa mkongwe Visiwani...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba kupata pigo jingine la mwaka  

WABUNGE karibu wote wa Chama cha Wananchi (CUF), kutokea Unguja na Pemba,  wanatarajiwa kutangaza kuondoka kwenye chama hicho, muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Yusuph Katimba …...

Habari za SiasaTangulizi

Takbiri ya ACT-Wazalendo; Mkakati wa CUF kutumia masheikh wavuja

MKUTANO ulioitishwa na Sheikh Juma Ramadhan, Naibu Amiri wa Shura ya Vijana na Maimamu wa Mkoa wa Dar es Salaam, umeratibiwa na uongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wazuia mkutano wa ACT-Wazalendo

JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam, limepiga marufuku mkutano wa kisiasa wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa madai ya kuwapo tishio la vurugu....

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege

RAIS John Magufuli amemteua Mhandisi, Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe amuumbua Jaji Mutungi   

ZITTO Zuberi Kabwe Ruyangwa, “ameivua nguo,” ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Ameionyesha kutokuwa makini katika kushughulikia masuala yanayohusu ofisi yake;...

Habari za Siasa

Wabunge wa ‘Maalim Seif’ wategwa CUF

UONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) umeanza kushinikiza wabunge waliokuwa wakimuunga aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad kwenda kuungama. Anaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mdhamini wa Lissu afunguka

ROBERT Katula, mdhamini wa kwanza wa mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, ametaja sababu tatu kubwa za kuomba kujitoa kwenye udhamini wa...

Habari za Siasa

Kuchomwa bendera; CUF yatinga kortini

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimefungua shauri mahakamani visiwani Zanzibar kushitaki watu wanaodaiwa kuchoma bendera zake pia kupaka rangi ya bendera ya Chama cha...

Habari za Siasa

Hivi ACT-Wazalendo inawachoma CUF, CCM, Ofisi ya Msajili?

BARUA ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini iliyotoka na kusambazwa jana tarehe 25 Machi 2019 kwenye mitandao ya kijamii na...

error: Content is protected !!