MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 18 Machi 2019 ametangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).
“Hatua tunayochukua leo ya kuhamia ACT-Wazalendo ni ya kihistoria. Umma haujawahi kushindwa dunaiani kote. Na umma wa Watanzania hautashindwa. ShushaTangaPandishaTanga Safari iendelee,” Maalim Seif.
Habari zaidi zitakujia..
Leave a comment