Thursday , 9 May 2024
Home mwandishi
8828 Articles1245 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Paresso, wanamtumia Lissu kuomba kura

WaBUNGE wa Chadema – Saed Kubenea (Ubungo) na Cecilia Paresso (Viti Maalum), mkoani Arusha – wamemtumia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumuombea...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amwambia Waitara, walionishambulia niliwaona

BAADA ya aliyekuwa Mbunge wa Ukonga, Mwita Mwikabe Waitara kuzungumzia tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, tarehe 7 Septemba mwaka jana, Mbunge huyo...

KimataifaTangulizi

Mnangagwa ashinda uchaguzi Zimbabwe

RAIS wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zimbabwe kwa kwa asilimia 50.8 ya kura dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Ubungo: Magufuli ameingizwa chaka

WALIO MPOTOSHA MH. RAIS KUHUSU MAPATO YA HALMASHAURI ZA MKOA WA DAR ES SALAAM WA WAJIBISHWE Tangu jana nimepigiwa simu na Waandishi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara kutikisa Ukonga kesho

ALIYEKUWA Mbunge wa Ukonga, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwita Mwaikabe Waitara, kesho Ijumaa, atapokelewa rasmi jimboni humo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee, wanachama wa Chadema wakamatwa jioni hii

TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Halima Mdee (Mb) pamoja na viongozi wengine, wanachama na...

Habari Mchanganyiko

Serikali kutaifisha mashamba ya MO Dewji

SERIKALI imekusudia kuchukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa kampuni hiyo imeshindwa kutimiza masharti ya...

Makala & Uchambuzi

Nani anaweza kuibadili CCM?

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kina mkondo ambao kila ajaye lazima aupite. Tusijidanganye kwamba, yupo anayeweza kubadili taswira na mfumo ndani ya CCM. Anaandika Ndoimba Nainda...

Makala & Uchambuzi

Wanachojua ni kufoka, kutisha

BABA utufundishe kusema lakini kusema sawasawa. Kusema ni kukiri na kukana kwa wakati mmoja. Serikali ya watu husema na watu wake. Anaandika Mwalimu...

Habari Mchanganyiko

Mtuhumiwa wa kesi ya Bilionea Msuya alivyohasiwa gerezani

SHWAIBU Jumanne, maarufu kwa jina la Mredii, amenusurika kifo, lakini amepata ulemavu wa maisha. Amehasiwa na hivyo hana uwezo tena wa kupata mtoto...

Habari za Siasa

Ujumbe wa Mbowe baada ya Waitara kuondoka

Wah. Viongozi na Wabunge! Amani iwe kwenu wote! Ujenzi wa Demokrasia ni safari ndefu yenye milima, mabonde, miiba, mawe na kila aina ya...

Habari Mchanganyiko

Umoja wa Mataifa kununua tani mil 3 za chakula

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limewatangazia neema wakulima wa mazao ya chakula nchini, ambapo imewahakikishia kwamba itanunua...

Afya

Upasuaji wa kifua wafanikiwa JKCI

WATOTO tisa wenye umri kuanzia miezi mitatu hadi 17 wamefanyiwa upasuaji wa kufungua kifua na Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa watoto wa...

Tangulizi

Mrema: Rais Magufuli kuwa makini na unaowateua

AUGUSTINO Mrema, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha TLP,  amemtaka Rais John Magufuli kuwa macho anapofanya uteuzi wa viongozi wa umma, huku akimshauri...

Habari za SiasaTangulizi

Mange kubeba tuzo Marekani

MANGE Kimambi, raia wa Tanzania anayeishi Marekani, ni miongoni mwa wanawake wanaharakati wa kisiasa wanaotajwa kwenye orodha ya kugombea tuzo ya mwanamke mhamasishaji...

Habari za Siasa

Waziri wa Madini afunga mgodi Pwani

SERIKALI imesimamisha shughuli za mgodi unaochimbwa madini ya Kaolin unaomilikiwa na kampuni ya RAK Kaolin kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa uendeshaji wake...

Kimataifa

Tukio kubwa kuikumba dunia kesho (Julai 27)

KARNE ya 21 inatarajiwa kushuhudia tukio kubwa na la muda mrefu la kupatwa kwa mwezi Ijumaa ya Julai 27, 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Makala & Uchambuzi

Tabia zao huumba taswira zao

IMEKUWA utaratibu uliozoeleka maeneo mengi duniani, kwamba kila kiongozi wa nchi anapoingia madarakani vyombo vya habari humpachika jina “jepesi,” mbali na majina yake...

Habari Mchanganyiko

Wananchi walianzisha, polisi waanza msako

WAKAZI wa Mtaa wa Nyakabungo “A” katika Kata ya Isamilo, Nyamgana jijini Mwanza, ‘wamemuhukumu’ Selina Francis (50) na Abdallah Mwita kwa kuchoma moto...

Habari za Siasa

Serikali kuanzia soko huria na madini

SERIKALI ina mpango wa kuanzisha soko huria la madini (Tanzania Mineral Exchange) ifikapo mwezi Desemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli...

KimataifaTangulizi

Admin wa WhatsApp afungwa miezi mitano jela

MWANAFUNZI mmoja anayefahamika kwa jina la Junaid Khan (21) ametumikia kifungo cha miezi mitano gerezani nchini India kwa kuwa msimamizi wa kundi la...

Kimataifa

Vichanga vyafariki baada mama zao kumeza viagra

WATOTO wachanga takribani 11 wamefariki dunia nchini Uholanzi kutokana na mama zao kupewa dawa ya kuongeza nguvu za kiume inayofahamika kama Viagra. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Kamishina wa Magereza afanya mabadiliko

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, Phaustine Martin Kasike amefanya mabadiliko ya kiuongozi kwa wakuu wa Magereza wa mikoa na vituo nchini....

Habari za Siasa

Waziri avunja bodi ya NSSF

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi Vijana na Ajira, Jenista Mhagama ameivunja Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi...

Habari Mchanganyiko

Polisi waua jambazi Mwanza

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Seleman Israel ‘Akayesu’ (54) anayetuhumiwa kuwa jambazi amefariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kuwatoroka askari polisi...

Habari Mchanganyiko

Watano wahukumiwa kunyongwa kesi ya Bilionea Msuya

WATU watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Moshi kuwakuta na hatia ya kumuuwa kwa kukusudia Mfanyabiashara wa...

Makala & Uchambuzi

Tatizo umasikini au CCM?

UMASIKINI katika jamii si msamiati mgeni, hasa wakati huu ambapo kumekuwepo na jitihada mbalimbali za kitaifa na za kimataifa za kuuangamiza. Anaandika Mbonea...

Michezo

Yajayo Yanga yanasikitisha

MPAKA sasa bado siku tano dirisha la usajili lifungwe, Yanga haijasajili mchezaji mwenye hadhi yake, ambaye angeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha...

Habari za SiasaTangulizi

Diwani Chadema Mbeya amwaga mboga, atangaza kujiuzuru

MUDA mchache baada ya Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Mbeya kupendekeza kuwavua uanachama madiwani watatu mkoani huyo, mmoja...

Habari Mchanganyiko

Aliyedaiwa kumpiga risasi Sheikh Ponda ajiuwa kwa risasi

ALIYEDAIWA kuhusika na tukio la kumshambulia kwa risasi Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Sheikh Issa Ponda, Benedict Nyamagatara ametajwa kufariki dunia...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma ya Vigogo wa Chadema Julai 25

KESI ya uchochezi inayowakabili viongozi nane waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imeahirishwa mpaka Julai 25, mwana huu, ili kupisha kusikilizwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mfanyabiashara Tunduma aigomea CCM, abambikiwa makesi lukuki 

MFANYABIASHARA maarufu mjini Tunduma, Isakwisa Thobias Lupembe, anatuhumiwa na Idara ya Uhamiaji mkoani Songwe, kuwa sio raia wa Jamhuri ya Muungano; huku akihusisha...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi Chuo cha Uongozi

RAIS John Magufuli ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha uongozi cha Mwl. Julius...

Habari za SiasaTangulizi

Giza nene latanda Chadema, wagombewa wake hofu tupu

GIZA nene limetanda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa baada ya wagombea wake watatu wa udiwani katika uchaguzi mdogo...

Habari za SiasaTangulizi

Diwani, dereva wa Halmashauri Meatu wafariki ajalini

DIWANI wa Kata ya Manuzi, Elias Shukia na dereva wa halmashauri ya Wilaya ya Meatu, Haruna Ngata wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Umaarufu wa Rais Magufuli waiponza Twaweza

SERIKALI ya Tanzania imeitaka taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali ya Twaweza kueleza ni kwa nini ilifanya utafiti kuhusu maoni ya wananchi ‘bila...

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani wanne wa CUF watimuliwa Tanga

KUFUKUZWA KWA MADIWANI WETU WANNE WA TANGA! Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, jana jioni (09 Julai 2018) ametangaza kuwafukuza udiwani, madiwani wanne wa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT wamruhusu Zitto kujiunga UKAWA

KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo kimebariki msimamo wa kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe wa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani...

Habari za Siasa

Kange Lugola atoa neno kupotea kwa mwandishi wa habari

KANGE Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, amesema wizara hiyo haihusiki na kupotea kwa mwandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communication Limited...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Majimarefu afariki dunia

STEVEN Ngonyani aliyefahamika zaidi kwa jina la Profesa Majimarefu, Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), amefariki dunia leo usiku Jumatatu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

Habari za SiasaTangulizi

Mengi yaibuka kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba

KUONDOLEA kwa Mwigulu Nchemba katika nafasi ya Waziri wa Mambo na Ndani ya Nchi kumezua mijadala mikali kwa wadau wa siasa, huku kila...

Habari za SiasaTangulizi

Mwigulu Nchemba atupwa nje Baraza la Mawaziri

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na kumteua Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi...

KimataifaTangulizi

‘Watu wasiojulikana’ wavamia ofisi za gazeti waua watano

WATU wasiojulikana wamevamia ofisi za gazeti la Capital Gazette na kufyatua risasi na kuua watu watano na kuwajeruhi wengine, katika jiji la Maryland,...

MichezoTangulizi

Afrika wawaachia wenye mpira wao

KOMBE Dunia linaingia katika hatua ya mtoano bila kuwa na timu kutoka Bara la Afrika, baada timu zote tano kutolewa hatua ya makundi....

Habari za SiasaTangulizi

Nape aitabiria mabaya CCM

MBUNGE wa Mtama kwa tiketi ya CCM, Nape Nnauye ameitabiria mabaya chama chake, kuwa kisipokuwa makini kitakufa na kupotea kabisa katika mikoa ya Kusini kama...

Habari Mchanganyiko

Ajali yaua 14 Mkuranga

AJALI mbaya imetokea mapema leo maeneo ya Kiguza, Mkuranga mkoa wa Pwani na kusadikika kuuwa watu zaidi ya 14 waliokuwa katika gari dogo la...

Habari za Siasa

Mbowe na wenzake mahakamani tena kesho

VIONGOZI tisa wa Chama cha Demokrasia na Maanedeleo (Chadema), wanatarajiwa kutinga mahakamani tena kesho kusikiliza kesi inayowakabili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wanaotarajiwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tumerejea

MTANDAO wa MwanaHALISI unaopatikana kupitia www.mwanahalisionline.com umererejea tena mtaani kwa wasomaji wake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hii ni baada ya kukamilisha taratibu zote...

Habari za SiasaTangulizi

Ndesamburo mwingine aondoka Moshi

HAWA Mushi, diwani wa Chadema katika kata ya Mawenzi, katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi, hatimaye amezikwa mchana huu, nyumbani kwake Mawenzi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kifua mbele Tunduma, serikali yasusa

UJENZI wa barabara, ujenzi wa vyoo, shule na uchimbaji visima umeimarisha taswira ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Mji...

error: Content is protected !!