Monday , 20 May 2024
Home mwandishi
8896 Articles1247 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yawaachia Bwege na wenzake, Polisi yawang’ang’ania

MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi imewaachia kwa dhamana viongozi waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokamatwa juzi kwenye kampeni za udiwani Kata ya...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa wa mauaji ya Dk. Mvungi waachiwa, wakamatwa

WATUHUMIWA wa maauji ya Dk. Sengodo Mvungi aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wameachiwa huru na Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yashinda tuzo ya utalii Urusi

NCHI ya Tanzania imeshinda tuzo ya utalii kwa mwaka 2018 nchini Urusi, katika kipengele cha eneo bora zaidi la utalii duniani (The Best...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa, Rais Magufuli wateta Ikulu

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Dk. Willibroad Slaa, amerejea jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Wavuvi 16 wa Tanzania kuburuzwa mahakamani Kenya

WAVUVI takribani 16 kutoka Tanzania wamekamatwa nchini Kenya Jumapili tarehe 18 Novemba 2018, kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na...

KimataifaTangulizi

Mbunge aliyefyatua risasi bungeni apelekwa ICC

MBUNGE Alfred Yekatom maarufu kama Rambo, aliyekamatwa na vyombo vya dola baada ya kufyatua risasi bungeni nchini Afrika ya Kati (CAR) amefikishwa katika...

Habari Mchanganyiko

Askari mwingine wa Tanzania afariki DR Congo

WALINDA amani saba wa Umoja wa Mataifa akiwemo Mtanzania mmoja na wanajeshi sita wa Malawi wamepoteza maisha katika operesheni ya pamoja iliyofanywa na...

Habari za Siasa

Mbunge Ahmed Katani akana kujiuzulu

MBUNGE wa Tandahimba (CUF), Katani Ahmed Katani, amevunja ukimya na kuutangazia ulikwengu kuwa hawezi kujiuzulu wazifa wake wa ubunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Mtolea awahi kabla ya dirisha la usajili CCM kufungwa

YAMETIMIA. Mbunge wa Temeke, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Abdallah Mtolea, hatimaye amejiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mtolea ametangaza...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yatuhumiwa kuihujumu ilani yake

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetuhumiwa kuhujumu ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2015 na wabunge wa upinzani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Orodha majaji wala rushwa yamfikia JPM

ORODHA ya majina ya baadhi ya majaji wanaodaiwa kuhusika na vitendo vya rushwa imemfikia Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

Nape bado ang’ang’ana na korosho, ahoji 400 mil za wakulima

MBUNGE wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye amehoji mpango mbadala wa serikali katika kufidia fedha zinazochangwa na wakulima wa korosho, kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awaapisha Mawaziri, Manaibu wapya

JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda mchache uliopita amewaapisha mawaziri wawili na manaibu wanne aliowateua siku ya Jumamosi tarehe 10 Novemba, 2018...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aweka tayari magari ya kubebea Korosho

RAIS John Magufuli ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu, amekagua magari ya Jeshi ya Kikosi ncha Usafirishaji cha 95KJ ambayo yanaweza kutumika kubebea korosho...

Habari za Siasa

Tanzania yashtakiwa kesi 13, yadaiwa dola 185 milioni

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amebainisha kuwa, mashauri 13 yenye jumla ya madai kiasi cha dola za Marekani 185.5 Milioni,...

Habari za Siasa

Serikali wawatunishia misuli wanunuzi wa korosho

SERIKALI imetoa siku nne kwa wanunuzi takribani 35 waliojitokeza kununua korosho, kupeleka barua katika Ofisi ya Waziri Mkuu inayoonesha kiasi cha tani wanazohitaji...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yamhoji Sethi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe 8 Novemba 2018 imeelezwa kwamba mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amechukuliwa maelezo yake...

Kimataifa

Kuanguka Trump, mwanasheria mkuu ang’oka

MWANASHERIA Mkuu wa Marekani, Jeff Sessions amejiuzulu wadhifa huo akitekeleza agizo la Rais Donald Trump, lililomtaka kuachia ngazi. Yanaripoti Mashirika ya Kimataifa …(endelea)....

Habari za Siasa

Bunge latoa siku saba serikali kutoa takwimu za watumishi

SPIKA Job Ndugai ametoa siku saba kwa Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutoa takwimu za watumishi wake waliopandishwa madaraja, walioajiriwa katika mwaka wa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa JPM abanwa bungeni

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango ametakiwa kutoa idadi ya wananchi waliotolewa kwenye unyonge wa umasikini, tangu serikali ya awamu ya...

Habari za Siasa

Marufuku mkandarasi aliyeboronga kuhamia mkoa mwingine

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amepiga marufu wakandarasi wanaoharibu miradi, kuhamishiwa maeneo mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Prof. Mbarawa...

Habari za Siasa

Madiwani wa CCM wamsusia Meya kikao

MADIWANI wa CCM katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamegoma kushiriki kikao cha baraza la madiwani kilichotarajiwa kufanyika leo tarehe 7 Novemba 2018....

Kimataifa

Mkuu wa shule, wanafunzi 79 watekwa nyara

MKUU wa shule pamoja na wanafunzi wa kiume 79 wametekwa nyara na makundi ya waasi katika jiji la Bamenda nchini Cameroon. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Coaster lagonga lori sita wafariki papo hapo

WATU sita wamepoteza maisha huku saba wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria iliyotokea leo tarehe 6 Novemba 2018 maeneo ya Segera mkoani...

Habari Mchanganyiko

Babu mbaroni kwa kubaka mtoto

JESHI la Polisi mkoa wa Kinondoni linamshikilia Mohamed Hassani (65) mkazi wa Mburahati jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Nondo baada ya kuibwaga Serikali mahakamani

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo amesema hawezi kurudi nyuma katika harakati zake za kutetea haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi...

Afya

Dk. Ndugulile amweka ndani Mganga Mkuu

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbulu mkoa wa Manyara,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Nondo aachiwa huru kesi ya kujiteka

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Iringa leo imemkuta Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo hana hatia hivyo imemuachia huru. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yagoma kufuta adhabu ya kifo

PAMOJA na kilio cha muda mrefu kutoka kwa taasisi mbalimbali zinazotetea haki za binadamu cha kuitaka serikali kufuta adhabu ya kifo, bado adhabu...

Kimataifa

Trump aitunishia misuli Iran, yajibu mapigo

BAADA ya Rais wa Marekani Donald Trump mwanzoni mwa mwezi Mei 2018, kujitoa katika mkataba wa kimataifa wa nyuklia na Iran wa mwaka...

Habari Mchanganyiko

Magari ya Serikali yagongana, saba wafariki

WATUMISHI saba wamefariki dunia wakati watatu wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la Ofisi ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Mfuko...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Balozi Jumiya ya Ulaya, utata mtupu

UTATA umeibuka juu ya hatima ya baadaye ya Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini Tanzania, Roeland Van De Geer. Anaaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe atinga Kisutu

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, amefikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, muda huu wa mchana wa leo...

Habari za SiasaTangulizi

Shirika la Kimataifa laingilia kati kukamatwa kwa Zitto

SHIRIKA la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International limeitaka Jeshi la Polisi kumpa dhamana au kumfikisha mahakamani, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,...

Habari za Siasa

Ugonjwa wa moyo wampeleka Mbowe nje ya nchi

MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutokana na kuwa nje ya nchi kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Mtangazaji Star TV, Radio Free Afrika afariki dunia

SAMADU Hassan aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha luninga cha Star Tv na Radio Free Africa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe mosi...

Michezo

Wema Sepetu afikishwa mahakamani Kisutu

WEMA Sepetu, Miss Tanzania mwaka 2006 na mwigizaji wa filamu Tanzania, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018....

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wa CCM wasakwa kwa ulawiti, ubakaji

KATIBU Mwenezi wa CCM Kata ya Mkolani, Zephilin Michael na Katibu Mwenezi wa chama hicho katika kata ya Buhongwa, Hassan Bushangama wanasakwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge zaidi kuzidi kupukutika

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewatishia wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani, kuwa kama wanataka kujiunga na chama hicho, wafanye haraka, vinginevyo wanaweza...

Habari Mchanganyiko

Operesheni fagia mashoga yaiva

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa ameshatumiwa majina ya wanaume 100 wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na...

Habari za SiasaTangulizi

Tibaijuka azungumzia sekeseke la utekaji

MBUNGE wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka amewataka watanzania kuwa makini kuhusu usalama wao kutokana na uwepo wa makundi ya wahuni na watekaji...

Kimataifa

Video ya ngono ya Waziri yavuja, aomba radhi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba yuko katika wakati mgumu baada ya video ya ngono iliyomhusisha yeye na mkewe...

Habari za Siasa

Alichozungumza Zitto Kabwe leo

Serikali Imevuruga Zao La Korosho, Imeshindwa Kulinda Ustawi na Usalama wa Raia A: Utangulizi Jana, Kamati ya Uongozi ya Chama cha ACT Wazalendo,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto awavaa Polisi mapigano ya Kigoma

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu tukio la mapigano kati ya askari...

Habari Mchanganyiko

Mfanyabiashara anaswa na dawa za kulevya chooni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar ss Salaam linamshikilia Mfanyabiashara Kageta Kageta (35) mkazi wa Tabata Kinyerezi, kwa kosa la kukutwa na...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafuta minada ya korosho

SERIKALI imefuta minada ya korosho hadi itakapotoa utaratibu mpya ifikapo tarehe 30 Oktoba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hatua hiyo ya serikali...

Habari Mchanganyiko

Takukuru watakiwa kutoa ruhusa Sethi kuhojiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeombwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuamuru mtuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Shilingi ya Tanzania shakani

KUYUMBA kwa uzalishaji na uuzaji wa zao la korosho nchini katika msimu wa korosho wa 2018/2019, kunatajwa kuweza kuporomosha thamani ya Shilingi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya JPM yawafuta machozi wajane wa Aboud Jumbe

SERIKALI ya Rais John Magufuli imewafuta machozi wajane wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaji Aboud Mwinyi Jumbe...

Kimataifa

Trump: Wauaji Khashoggi walikuwa na mawazo duni

SERIKALI ya Saudi Arabia inatokomea kwenye tope baada ya siri za mauaji ya mwandishi wa habari wa gazeti la Washington Post, Jamal Khashoggi...

error: Content is protected !!