Thursday , 9 May 2024
Home mwandishi
8821 Articles1245 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Bunge, Chadema watifuana

GOGORO kubwa limeibuka kati ya ofisi ya Spika wa Bunge la Jamhuri kwa upande mmoja na familia ya aliyekuwa mbunge wa Buyungu, Mwalimu Kasuku...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amchana Spika Ndugai

Anaandika Tundu Lissu Sheria ya Uendeshaji wa Bunge, 2008, inasema Bunge litagharamia matibabu ya mbunge ndani na nje ya nchi. Aidha, Bunge litaweka...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yakumbwa na msiba mzito

MWALIMU Kasuku Bilago, mbunge wa Buyungu, wilayani Kakonko, mkoani Kigoma (Chadema), amefariki dunia. Anaripoti Saed Kubenea kutoka Dodoma…(endelea).  Mwalimu Bilago amekutwa na mauti...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto afichua yaliyojificha ununuzi ndege mpya

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini amefichua siri nzito iliyijifichika katika ununuzi wa ndege mpya ya Dreamliner 787-8. Anaripoti Mwandushi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Uhamiaji watinga kijijini kwa Askofu Kakobe

BAADA ya kupiga kambi hapa wilayani Kakonko, kwa wiki mbili sasa, uchunguzi wangu umebaini pasipo shaka, kwamba, Idara ya Uhamiaji, Dar-Es-Salaam; imewatuma maafisa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu anena makubwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Moshi Vijijini, Anthony Bahati Komu, ametinga nchini Ubelgiji ili kumjulia hali mbunge mwenzake wa Singida Mashariki, Tundu Lissu....

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema hoi, akimbizwa Muhimbili

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Mwalimu Kasulu Bilango, yuko mahututi. Anasumbuliwa na tatizo la kujikunja kwa utumbo wake. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mke wa Mwandishi Kibiki amtafuta JPM

Tobina Emmanuel, ambaye ni Mkewe Emmanuel Kibiki yule mwandishi wa habari wa Iringa, Makambako, aliyevamiwa usiku wa manane hivi karibuni, amewaomba waandishi kusaidia...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea awachonganisha wabunge wa CCM na JPM

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ameweka rehani mshahara wake wa mwezi huu, ikiwa Leo jioni wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wataweza...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri mwingine awekwa rehani bungeni

MBUNGE wa Monduli (CHADEMA), Julius Karanga, ametuhumu serikali kuwanyonya wafugaji nchini na kusema, “wakati wengine (Chama Cha Mapinduzi), wakifikiri mifugo ni chakula, wao...

Habari Mchanganyiko

Hakimu wa Nondo agoma kujitoa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Iringa imekataa ombi la Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo la kukataa kuendelea usikilizwaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe aishika tena pabaya Serikali ya JPM

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameishika vibaya Serikari ya Rais John Magufuli kwa kuichambua bajeti ya Wizara ya Kilimo ambayo imeonyesha imekuwa...

MichezoTangulizi

Mahakama Kuu yamtoa gerezani Lulu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imembadilishia kifungo Msanii wa Filamu, Elizabeth Micheal ‘Lulu’ kutoka kwenye kifungo cha Magereza na kutumikia kifungo...

Habari za SiasaTangulizi

BAKWATA yatikiswa bungeni

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amehoji hatua ya serikali ya kulipa mamlaka ya mwisho ya kupeleka mahujaji nchini Saudia, Baraza Kuu la...

Habari za SiasaTangulizi

Wananchi wa Dar poleni na mafuriko

MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, zimesababisha madhara makubwa katika baadhi ya maeneo, ikiwamo watu kupoteza maisha na kutokuwa na makazi....

Habari MchanganyikoTangulizi

TEF watoa kauli nzito kwa Magufuli

HOTUBA YA KAIMU MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA (TEF), DEODATUS BALILE KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA...

Habari za SiasaTangulizi

DPP amfutia Kubenea kesi ya Shonza

MKURUGENZI wa mashitaka ya jinai nchini (DPP), amemfutia mashitaka yaliyokuwa yanamkabili mahakamani, mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Akiwasilisha...

Habari za Siasa

Serikali yapiga stop kuagiza mita za luku

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema kuanzia Julai mwaka huu, serikali itasitisha uagizaji wa mita za luku ya umeme kutoka nje ya...

Habari Mchanganyiko

Nondo apewa tuzo kwa kuwatetea vijana

MWENYEKITI wa Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo amepata tuzo kama mtetezi kijana chipukizi wa haki za binadamu (wanafunzi) Tanzania, tuzo aliyopewa...

Habari za SiasaTangulizi

Meya wa Chadema aliyejiuzuru Iringa, avuliwa uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Iringa kimemvua uanachama Dady Igogo aliyekuwa diwani wa Kata ya Gangilonga na Naibu Meya wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdogo wa Heche adaiwa kuuwawa mikononi mwa Polisi

MDOGO wa Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche aitwaye Chacha Heche Suguta, adaiwa kuuwawa akiwa chini ya Jeshi la Polisi baada ya kukutwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Lema yafutwa, akamatwa tena

JESHI la Polisi Mkoani Arusha limemkamata Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa kile kinachodaiwa “uchochezi” dhidi ya Rais kuhusiana na ndoto aliyowahi...

Habari za SiasaMichezoTangulizi

Ujumbe mzito wa kifo cha Masogange

JULIUS Mtatiro, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF ameandika ujumbe mzito wenye kufikirisha wengi juu ya msiba wa Agnes Gerrald “Masogange.’ Mtatiro...

Habari za SiasaTangulizi

Joseph Selasini aanza kusakamwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utawala wa Rais John Magufuli.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

CCM wamtelekeza Mzee Makamba

JANUARY Makamba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira ametoa madai mazito kwa chama chake, kuwa Chama cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge wa Chadema ang’ang’aniwa Polisi

MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (Chadema) ameshikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central) kwa madai amebakishwa kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kupasuliwa kwa mara nyingine

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), muda huu atafanyiwa upasuaji mwingine katika mguu wake wa kulia, ikiwa ni mara ya 20 tangu alipoanza kutibiwa...

Michezo

Wanamichezo Jumuiya ya Madola ‘wazamia’

WANAMICHEZO nane wa Cameroon hawaonekani katika makazi yao katika michezo ya Jumuiya madola nchini Australia, maafisa wa timu hiyo wamethibitisha. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Mch. Msigwa aweka rehani ubunge wake kisa Makonda

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema yupo tayari kujiuzuru ubunge wake kama itathibitika kuwa amemtelekeza mtoto kwa mwanamke mmoja jijini Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Shonza aitwa mahakamani kesho

MAHAKAMA ya Hakim Mkazi mkoani Dodoma imemuagiza naibu waziri wa utamaduni, Sanaa na michezo, Juliana Shonza, kufika mahakamani kwa “hiari kesho” Ijumaa, vinginevyo...

Habari za Siasa

Wabunge wanusurika kifo katika ajali ya gari

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepata ajali ya gari jana usiku mkoani Morogoro wakati wakitokea Dodoma kuelekea Dar es...

Habari za Siasa

Watoto wa Rungwe wapatikana

WALE watoto wa Mzee Hashim Rungwe akiwemo mpwa wake wa kike, waliokuwa hawaonekani kwao, “wameachiwa.” Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rungwe, mfanyabiashara mkubwa...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la kina-Mbowe, Chadema kukutana, kutoka na mazito

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wabunge na Madiwani wa chama hicho wanakutana kujadili sakata la Mwenyekiti na viongozi waandamizi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Moil yafunga biashara Tanzania, yahamia Uganda, DR Congo

KAMPUNI ya mafuta ya Moil, inadaiwa kuwa imeanza kuondoa biashara zake za uuzaji wa mafuta nchini na kuzihamishia katika nchi za Uganda na...

Habari za SiasaTangulizi

Nondo aachiwa kwa dhamana Iringa

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo ameachiwa kwa dhamana leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za Siasa

Kubenea atinga kwa Lissu

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, leo Jumapili amekutana na madiwani wa jimbo la Singida Mashariki, linaloongozwa na Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Maaskofu wa KKKT watoa waraka mzito kwa serikali

MAASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametoa waraka mzito waliouta ‘Ujumbe wa Sikukuu ya Pasaka’ ambao utasomwa kesho katika makanisa...

Habari za SiasaTangulizi

Machozi ya Mbowe kwa JPM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Mbunge wa Hai, Freeman...

Habari Mchanganyiko

ATC yaleta taharuki Dodoma

NDEGE ya shirika la ndege la taifa (ATC), iliyokuwa imetokea Dar es Salaam kuja Dodoma leo Jumatano, imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege...

Habari za SiasaTangulizi

Ni sarakasi, Polisi Vs Nondo, Daruso, LHRC

BADO hakijaeleweka. Wakati Mawakili wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso)...

Habari za SiasaTangulizi

Namba ya simu ya Nondo yazua taharuki

NAMBARI ya simu ya mkononi ya Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), ambaye bado anashikiliwa na polisi jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Mambosasa: Tunamshikilia Nondo kwa kutoa taarifa ya uongo

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linamshikilia Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo kwa kosa la...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai apasua vichwa wabunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, amepanga upya Kamati za Bunge, kufuatia kumalizika kwa muda wa kamati za awali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika...

Habari za Siasa

Job Ndugai apangua Kamati za Bunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefanya uteuzi wa wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli apingwa kila kona

RAIS wa Jamhuri, John Pombe Magufuli, ameonya wananchi wake wanaotaka kufanya maandamano ya amani kupinga utendaji wa serikali yake, kuwa watakabiliana na jeshi...

Michezo

Yanga yazidi kuikaribia Simba, bado tatu

YANGA imerudi nafasi ya pili baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu azidi kuimarika, kutembea kwa miguu yake kwanukia

MBUNGE wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, aliyeko kwenye matibabu nchini Ubelgiji, anaendelea kuimarika siku hadi siku. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aruhusiwa hospitali

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC ameruhusiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za Siasa

Afya ya Mbowe yazidi kuimarika

AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe inazidi kuimalika baada ya kufikishwa kwenye hospitali na Rufaa ya KCMC...

Habari za Siasa

Kimenuka Waislamu na serikali

MGOGORO mkubwa unafukuta kati ya serikali na viongozi wakuu wa madhehebu ya kiislamu mkoani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu. Mgogoro unatokana na hatua ya...

error: Content is protected !!