CHAMA tawala Zimbabwe ZANU PF kimemtaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu, kauli hiyo imetolewa na viongozi wa matawi ya chama hicho katika majimbo yote...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2017KUMEKUWA na sintofahamu ya kile kinachoendelea nchini Zimbabwe huku kukiwa na taarifa tofauti ya mapinduzi yaliyofanyika nchini humo dhidi ya Rais Robert Mugabe...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2017WABUNGE wawili kutoka vyama vya CUF na Chadema, wako mbioni kuvihama vyama vyao, imeelezwa, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2017HALI ya mambo ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii siyo shwari na sasa Waziri wa wizara hiyo, Dk. Hamisi Kigwangalla amelazimika kumsimamisha...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2017TUME ya Uchaguzi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018. Hata hivyo, upinzani...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2017WATU 26 wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa kanisani na mtu mwenye silaha katika jimbo la Texas nchini Marekani walipokuwa katika ibada. Shambulio hilo...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2017Na Rashid Abdallah KILA nyakati huwa na mbwembwe zake. Nyakati za sasa katika uwanja wa siasa nazo zinazo. Ni mbwembwe nyingi; vituko vingi;...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2017MBUNGE wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amejiuzulu nafasi hiyo na kujiondoa CCM kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa siasa nchini, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2017MEYA wa Jiji la Mwanza, James Bwire amekamatwa na jeshi la Polisi muda mchache kabla ya kutoa salamu zake kwa Rais John Magufuli...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2017MAHAKAMA nchini Ufaransa imemhukumu makamu wa rais wa Equatorial Guinea, Teodorin Obiang kifungo cha miaka mitatu jela ambacho kimeahirishwa. Obiang 48, hufahamika sana...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2017NCHI ya Burundi imekuwa ya kwanza kwa Afrika Mashariki kujiondoa uanachama katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC). Serikali ya taifa...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2017Na Saed Kubenea DK. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ametoa amri ya kuzuia uchapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, kwa...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2017MARAIS wawili wa zamani nchini Marekani wameonyesha wasiwasi wao kuhusu hali ya kisiasa nchini humo bila kumtaja kiongozi wa sasa wa taifa hilo...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2017OFISA Mkuu Mtendaji wa Tume ya Uchaguzi Nchini Kenya, Ezra Chiloba anatarajiwa kuchukuwa likizo ya wiki tatu na hatoshiriki katika uchaguzi wa marudio...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2017MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anatarajiwa kuhutubia kupitia mkanda wa video utakaorushwa na vituo mbalimbali vya kimataifa vya televisheni, ndani ya...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2017KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemugeuzia kibao Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari (Chadema) ambaye...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2017ALIYEWAHI kuwa mchezaji bora wa dunia, Georgr Weah ameibuka mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia katika uchaguzi uliofanyika juzi. Weah amewahi kuichezea...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2017KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mtangazaji wa mpira nchini Urusi ameondoka uwanjani kabla mchezo haujaisha na kuwaacha watazamaji wakiangalia mechi hiyo bila maelezo....
By Mwandishi WetuOctober 12, 2017RAIS Donald Trump ametangaza vita na vyombo vya habari nchini mwake kwa madai kwamba vimekuwa vikikiuka taratibu na kuonyessha ama kuandika habari kwa...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2017SASA inavyoonesha ni kama vile Jeshi la Polisi Tanzania (TPF) linafikiri watu kuzungumzia chochote kuhusu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ni haramu...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ( IGP), Simon Sirro kuacha kutoa vitisho kwa wananchi na...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017Na Mwandishi Wetu SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, aweza kuwa hajasema ukweli kuhusu madai kuwa hamfahamu na wala hajawahi kumuona zaidi...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017Na Rashid Abdallah NINAJIULIZA ni kwanini siasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinaendelea kuwa za vilio, vitisho, mateso na hata vifo....
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017MUUNGANO wa vyama vya Nasa umetangaza kujitoa rasmi katika uchaguzi mkuu wa Kenya uliopangwa kufanyika tarehe 26 Oktoba mwaka huu, anaandika Mwandishi Wetu....
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017POLISI nchini Zambia wamewakamata mashabiki watano kwa madai ya kuvamia nyumba ya mwanasoka wa timu ya taifa ya kandanda, Alex N’gonga. Mashabiki hao...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017WANANCHI nchini Liberia leo wanapiga kura kumchagua mrithi wa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa rais barani Afrika na mshindi wa tuzo la amani...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017HATIMAYE Prof. Kitila Mkumbo, aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Chama Cha ACT Wazalendo, ameonyesha rangi yake halisi baada ya kutangaza rasmi kujiondoa katika...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017WAZIRI wa Afya Nchini Tunisia amefariki kutokana na mshutuko wa moyo baada ya kushiriki katika mbio za kuchangisha fedha za kusaidia kupambana na...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2017RAIS wa Marekani, Donald Trump ameomba ufadhili kwa ajili ya ujenzi wa ukuta ili kusaidia kuwafukuza wahamiaji kutoka nchini Mexico. Mwezi uliopita alifuta...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2017AGIZO la Rais John Magufuli alilotoa mwaka jana la kujenga nyumba eneo la Magomeni Kota limegeuka kuwa ahadi hewa baada ya kazi hiyo...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2017NASEEB Abdul ‘Diamond Platnumz’ atakiwa kufika mahakamani Oktoba 30, 2017 kujibu malalamiko ya kushindwa kumuomba radhi mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto na kushindwa kutoa...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2017MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, “kujipima” kutokana na kile alichoita, “kushidwa kutimiza...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2017SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeeleza matumaini yake ya kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya kipindupindu duniani sambamba na vifo vitokanavyo na ugonjwa...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2017SIKU moja baada ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Medadi Kalemani kupiga marufuku umeme kukatika katika jiji la Dar es Salaam, leo...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2017USIRI uliotanda kuhusu matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu, anayetibiwa nchini Kenya, unaitesa serikali na uongozi wa Bunge la Tanzania,...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2017MWANZONI mwa wiki hii, Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko kwenye serikali ya Dk. Ali Mohamed Shein, Balozi Amina Salum Ali, aliliambia Baraza...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2017KUFUMBA na kufumbua, Bwana Ali Juma Suleiman ametangulia mbele ya haki. La, bora niseme ametangulizwa mbele ya haki kwa kudhulumiwa na makundi ambayo...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2017WALE wanaozielewa siasa za Marekani kwa sasa, watakubali namna mabadiliko yanavyoibadilisha dola hii yenye nguvu kubwa zaidi za kiuchumi na kijeshi, anaandika Rashid...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2017UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya kati pamoja na uongozi wa Chadema mkoa wa Morogoro wameungana kufanya maombi ya...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2017WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson yuko mjini Beijing kufanya mazungumzo na viongozi wa China. Ajenda kuu katika mkutano huo...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2017SHIRIKA la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti inayoonyesha hali ya usalama kutokuwa shwari nchini Burundi, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2017WANAMGAMBO wa Islamic State wametoa kanda ya sauti ya kiongozi wa kundi hilo, Abu Bakr al-Baghdadi, anaandika Mwandishi Wetu. Mzungumzaji aliye na sauti...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2017KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Bunge la Tanzania limeamuru kurudishwa nchini gari linalosaidia kumhudumia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) aliyelazwa nchini...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2017UMOJA wa Mataifa (UN), ofisi za Tanzania umeitaka jamii kudumisha amani na kuhakikisha hapatokei migogoro ili kuenzi siku ya leo ambayo dunia inaadhimisha...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2017NAIBU Jaji Mkuu wa Kenya Philomena Mwilu, amesema kitendo cha Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), kushindwa kufuata maagizo ya mahakama...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2017SINEMA ya kukamatwa wabunge wa upinzani na kuwasafirisha kwa ndege wakiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi imejirudia leo baada ya Mbunge wa...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2017KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, polisi wenye silaha wamezingira hospitali ya Agha Khan aliyokuwa ameenda kupata huduma ya matibabu, Mbunge wa Ubungo Saed...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2017MBUNGE wa Geita Joseph Musukuma leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama Hakimu Mkazi Geita, kujibu tuhuma zake zinazomkabili, baada ya kushikiliwa na polsi tangu...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2017KUPITIA bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa miaka miwili mfululizo (2016/2017 na 2017/2018) serikali ilitazamiwa kutenga fedha kwa ajili ya ukamilishaji...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2017MBUNGE wa jimbo la Tanga mjini na kiongozi mwandamizi katika Chama cha Wananchi (CUF), Mussa Bakari Mbaruku huenda akaingia matatizoni baada ya msimamo...
By Mwandishi WetuSeptember 17, 2017