Wednesday , 1 May 2024
Home mwandishi
8753 Articles1254 Comments
Habari za Siasa

Rais Magufuli ‘amparula’ hadharani Mbunge wake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, amewaagiza viongozi wa Manispaa na Mkoa wa Morogoro, kuwaacha wafanya biashara ndogondogo kuendelea kufanya...

Habari za Siasa

CCM Arusha kuanza kutibuana wiki hii

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Arusha, kinatarajia kuanza kazi ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

Wananchi waingiwa hofu malipo ya fidia Tanga

SAKATA la malipo ya fidia kwa wakazi wanaopisha mradi wa bomba la mafuta vijiji vya Kata ya Chongoleani, limeingia sura mpya baada ya...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji wadogo Sikonge wamwaga fedha serikalini  

KIKUNDI  cha wachimbaji wadogo kinachomiliki mgodi wa dhahabu wa Kapumpa uliopo tarafa ya Kitunda wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora kimeongoza kwa kulipa mrabaha...

Habari Mchanganyiko

Mongella atoa neno kwa wakazi wa Mwanza

WANANCHI mkoani Mwanza wametakiwa kupenda kushiriki kikamilifu katika kupima Afya na kufanya usafi wa mazingira yanayowazunguka na wanayofanyia kazi ili kuweza kuondokana adha...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wamtimua kazi mwenyekiti wa kijiji

WANANCHI wa kijiji cha Bulige kata ya Bulige katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamemkataa mwenyekiti wa kijiji hicho, mtendaji pamoja...

Habari Mchanganyiko

Bodi mpya NCAA yaahidi kutatua changamoto

BODI ya Mamlaka ya Ngorongoro (NCAA), imesema itakabiliana na changamoto zinazoikabili mamlaka hiyo kufikia dira ya uhifadhi, anaandika Mwandishi Wetu. Kaimu Mwenyekiti mpya...

Habari za Siasa

Mbunge akumbuka wanawake Sumbawanga

MBUNGE wa jimbo la Sumbawanga mjini, Aesh Hilaly (CCM), ameahidi kukabidhi vitanda vitano maalumu kwa ajili ya kujifungulia wakina mama wajawazito pamoja na...

Habari za Siasa

Jiji la Arusha lawaonya wanaoleta vurugu

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, limeonya kuwachukulia hatua za kisheria wanaojihusisha na mgogoro wa maduka yake yaliyopo eneo la standi ndogo, anaandika Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mrisho Gambo ‘awapiga mkwara’ wafugaji

MKUU wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo amesema mwananchi yeyote atakayeshindwa kutoa ushirikiano wa kujua idadi ya mifugo aliyo nayo atatiwa nguvuni, anaandika Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wapewa somo la unyonyeshaji

WANAWAKE wamehimizwa kunyonyesha watoto kwa kipindi kinachoshauriwa kitaalamu ili kuwaepusha na madhara ya utapiamlo na udumavu wa akili, anaadika Mwandishi Wetu. Mratibu wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Manyanya avutiwa ujenzi wa madarasa

NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuwa wazalendo kwa nchi yao...

Habari za Siasa

Wakili awalipua wasaidizi wa Rais Magufuli

WAKILI wa kujitegemea Mchungaji Kuwayawaya Stephen, amesema kuwa viongozi waliopo madarakani katika serikali ya awamu ya tano wengi wao bado hawajaonyesha uwezo wao...

Habari za Siasa

UVCCM wang’ata na kupuliza Mwanza

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewataka viongozi wa wilaya kuwachukulia hatua watendaji wao wa chini wanaotoa mikpo kwa vikundi hewa,...

Habari Mchanganyiko

Prof. Mbarawa awatoa hofu wananchi Shinyanga

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amewatoa hofu wananchi wa Kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga kwamba hakuna mtu atakayechukuliwa...

Habari Mchanganyiko

Bendera azifunda halmashauri zake Manyara

HALMASHAURI ya Wilaya ya Simanjiro, imeendelea kupata hati safi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG), kwa mwaka...

Elimu

DC Muheza apiga marufuku mitihani siku za Ibada

SERIKALI wilayani Muheza mkoani Tanga imepiga marufuku shule zote za msingi na sekondari wanafunzi kufanyishwa mitihani siku za ibada ikiwamo Ijumaa, Jumamosi na...

Habari za SiasaTangulizi

Lipumba azidi kusulubiwa Dar

WENYEVITI wa Serikali za mitaa wa Chama cha Wananchi (CUF) mkoa wa Dar es Salaam, wamemuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto kigeugeu

ZIARA ya Rais John Magufuli mkoani Kigoma, imethibitisha kuwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo) ni kigeugeu, anayeweza kubadili kauli yake wakati...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ugonjwa wa ajabu watesa wanafunzi Tanga

WANAFUNZI wanaosoma shule ya sekondari ya Kwamkabara kata ya Kwamkabara wilayani Muheza mkoani Tanga wamepatwa na ugonjwa wa ajabu unaosababisha kuanguka hovyo, anaandika...

Elimu

Walimu wanaorubuni wanafunzi kukiona

SERIKALI Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma  imeahidi kuwachukulia hatua za kisheria walimu wote ambao watatajwa kujihusisha kimapenzi na watoto wa kike wanaosoma katika shule...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atangaza neema mkoani Songwe

WAZIRI Mkuu,  Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.669 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji katika wilaya ya Ileje mkoani...

Habari Mchanganyiko

AMDT imejipanga kuwafikia wakulima 500,000

TAASISI ya kuendeleza mifumo ya masoko kwenye kilimo nchini (AMDT), imepanga kuwafikia wakulima 500,000 wa zao la alizeti wa mikoa 12 ya Tanzania...

Habari Mchanganyiko

Jela kwa ujangili wa meno ya tembo

MAHAKAMA ya Wilaya ya Manyoni, imewahukumu kifungo cha miaka 25 jela kila mmoja majangili wawili baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mbalimbali ikiwemo...

Habari za SiasaTangulizi

Upelelezi wa Lowassa bado pasua kichwa

JESHI la Polisi Tanzania bado halijakamilisha upelelezi wa tuhuma zinazomkabiri Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, hivyo wamelazimika kumwachia na kumtaka arudi tena...

Kimataifa

Makamu wa rais Afghanistan azuiwa kurudi nchini

MAKAMU wa rais wa Afghanistan, Jenerali, Abdul Dostum amezuiwa kuingia nchini mwake akitokea nchini Uturuki, anaandika Mwaandishi wetu. Ndege ya kiongozi huyo iliyojaribu...

Habari Mchanganyiko

Magari mapya yaja Zimamoto

JESHI la Zimamoto na Uokoaji nchini limetengewa Sh. 3 bilioni kwa ajili ya kununulia vitendeakazi zikiwemo gari za kuzima moto na madawa ya...

Habari za Siasa

Vongozi Chadema waachiwa

VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, wabunge wawili na viongozi wengine waliokamatwa juzi na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma leo wameachiwa, anaandika Mwandishi...

Elimu

Tazama matokeo ya kidato cha sita

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) jana lilitangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita, kama ulikosa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awafunda viongozi Chadema

SAA chache baada ya Dkt. Vincent Mashinji, Katibu  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wenzake kukamatwa na Polisi kwa mahojiano...

Habari za Siasa

Viongozi wa Chadema washikiliwa polisi

DKT. Vincent Mashinji, Katibu  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe ambaye pia ni...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wavuruga mkutano wa Chadema Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mwanza limevamia ukumbi wa Hill Front Hotel uliopo Igoma, katika Manispaa ya Nyamagana, kuvunja kongamano la vijana lililoandaliwa na...

Habari za Siasa

Mrithi wa Anna Mghwira ACT huyu hapa

CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimemtangaza Yeremia Maganja kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa imeachwa wazi na Anna Mghwira, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa...

Habari za Siasa

Mkapa sasa aonywa

VIONGOZI wandamizi serikalini wameonywa kutojihusisha na matamshi ya kejeli na matusi dhidi ya wananchi, kwa kuwa yanachochea chuki na uhasama nchini, anaandika Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mahakama ya Kisutu yamwachia huru Kamishna wa TRA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru aliyekuwa Kamishna wa TRA, Tiagi Masamaki na wenzake watano waliokuwa wakishtakiwa na makosa ya uhujumu uchumi...

Habari za SiasaTangulizi

Tusiruhusu kutawaliwa na mademagogi

BAADA ya mkasa uliomkuta Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, wiki iliyopita, nimekumbuka kwa uchungu, mazungumzo yangu na waandishi wa habari tarehe 12 Februari...

Habari za Siasa

Bavicha wamnanga Rais Magufuli

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli apunguze kutoa kauli...

AfyaRipoti

Upasuaji wa sehemu za siri za kike waongezeka

NI jambo la kawaida kufanya marekebisho ya kitabibu katika viungo vya mwili wa binadamu kama vile  makalio, nyonga, ngozi na sura. Hata hivyo, hivi...

Michezo

TFF yawatimua wajumbe wanaomtetea Malinzi

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefanya mabadiliko ya Kamati ya Uchaguzi na kuwaengua wajumbe wanne walioonyesha kumtetea...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi Chadema jela mwaka mmoja

MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga   imewahukumua viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumikia  kifungo cha mwaka mmoja jela kila...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu afunguka kuhusu miswada ya madini

KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imesema miswada mitatu ya kulinda rasilimali iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni na Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Sheria na...

Habari za Siasa

Zitto ampinga Mnyika

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, amepinga hoja ya John Mnyika, Waziri Kivuli ya...

Habari Mchanganyiko

EWURA yatangaza kushusha bei ya Mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti  wa  Huduma  za  Nishati  na  Maji (EWURA), imetangaza kuwa kuanzia tarehe Mosi Julai, 2017 bei ya mafuta itashuka kwa Sh. 37 kutokana na kushuka  kwa gharama  za usafirishaji  wa  mafuta  katika  soko...

Habari Mchanganyiko

TLS ya Lissu yahaha kujiokoa na kitanzi

CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimeitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama, ikiwa ni jitihada za kutaka kujiokoa na ‘rungu’ la serikali,...

Habari za Siasa

Polepole ajibu mapigo Chadema

MUDA mchache baada ya Baraza la Wazee Chadema kujitokeza kupinga kauli ya Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ya kutaka Rais Magufuli awe Rais...

Habari za Siasa

‘Mwinyi anatupeleka pabaya’

WAZEE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemtaka John Magufuli, Rais wa Tanzania kujitokeza na kutoa msimamo wake kuhusu kauli ya Rais...

MichezoTangulizi

Malinzi aburuzwa mahakamani, wapo pia vigogo wa Simba

JAMAL Malinzi (57), Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), anatarajiwa kufikishwa mahakamani mchana huu jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za matumizi...

Elimu

La sita, la tano wasoma chumba kimoja

WANAFUNZI wa shule ya msingi Magwalisi wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wanatumia chumba kimoja, kwa wakati mmoja wakati wa kufundishwa wanafunzi wa madarasa wa...

MichezoTangulizi

Takukuru wafunguka kushikiliwa kwa Malinzi, Mwesigwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwachunguza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar mguu sawa sikukuu ya Eid

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia  hali ya usalama na amani wakazi, wananchi wa jiji la Dar es Salaam katika...

error: Content is protected !!