August 18, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Zitto ampinga Mnyika

Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini

Spread the love

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, amepinga hoja ya John Mnyika, Waziri Kivuli ya Nishati na Madini, aliyetaka miswada mitatu inayohusu ulinzi wa rasilimali za nchi kutowasilishwa Bungeni kwa hati ya dharura, anaandika Mwandishi Wetu.

Ili kusikiliza zaidi alichosema Zitto kuhusu hoja za Mnyika, fuatilia video hapo chini, pia usiasahau ‘kusubscribe’ channel yetu kupata habari kwa haraka.

error: Content is protected !!