HALI ya afya ya Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed (Chadema) imebadilika ghafla na kulazimika kupewa mapumziko katika Zahanati ya Bunge kwa ajili...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2017MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema Bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai limekataa kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki,...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2017SAKATA la uvamizi na kupigwa risasi na watu wasiojulikana limemuibua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Venance Mabeyo ambaye amesema vyombo vya...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2017KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesihi Rais John Magufuli aitishe kikao cha dharura kitakachoshirikisha watendaji mahsusi wa...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2017TUNDU Lissu Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), kabla ya kupigwa risasi leo alitoa tahadhari kwamba anafuatiliwa na watu aliodai kwamba wanatoka usalama wa...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2017NI taharuki, vilio na simanzi katika hospitali ya mkoa wa Dodoma, baada ya Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na MBunge wa Singida...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2017YUSUF Manji, diwani wa CCM katika Kata ya Mbagara, amevuliwa udiwani kutokana na kushindwa kuhudhuria vikao vitatu mfululizo bila sababu za msingi, anaandika...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2017WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC), ametangaza tarehe mpya ya kurudia uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 17 Oktoba 2017, anaandika...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2017KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo.abla ya kufanyika uchaguzi,...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2017MBUNGE wa Kaliua, Magdalena Sakaya, ametoa mwaliko kwa wabunge wote wa Chama Cha Mapinduzi, kuhudhuria tafrija na sherehe kubwa ya kuapishwa wabunge saba...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imetakiwa kufuata muongozo wa fedha unaokubalika ili kudhibiti fedha haramu zisiingie katika mzunguko halali, anaandika Mwandishi Wetu. Aidha,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017WANASAYANSI nchini Uingereza wamegundua kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu, anaandika Mwandishi Wetu. Kifaa hicho kimeundwa...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017KOREA Kusini inasema kuwa kuna dalili kuwa Korea Kaskazini inapanga majaribio zaidi ya makombora yanayokwenda masafa marefu, anaandika Mwandishi Wetu. Maofisa wa ulinzi...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa taifa hilo lina ‘matatizo’ na idara ya mahakama ambayo inahitaji marekebisho, anaandika Mwandishi Wetu. Alikuwa akizungumza...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2017SI ajabu hivi sasa nchini Tanzania kukamatwa viongozi wa upinzani kwa tuhuma za makosa yasiyokuwemo katika vitabu vya sheria na imeanza kuzoeleka kwao...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2017MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefunguka na kumsifu Rais Uhuru Kenyatta kuwa mvumilivu na kuheshimu Wakenya baada ya...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2017SAKATA la Mawakili binafsi kutakiwa kugoma kufanya kazi leo limetibuka baada ya kubainika baada ya baadhi yao wamekaidi agizo la Rais wa Chama...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2017HATIMAYE mbunge wa Bunda (Chadema), Ester Bulaya amepata dhamana baada ya kushikiliwa na Polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya kwa amri ya...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2017SERIKALI imesema asilimia 75 ya wananchi jijini Dar es Salaam wamejenga katika maeneo holela ambayo hajapimwa, anaandika Mwandishi wetu. Hayo yamesemwa na Waziri...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2017CHAMA cha Wafamasia nchini (PST), kimeiomba serikali kusaidiana nacho ili kuhakikisha wanatokomeza tatizo la usugu wa dawa za binadamu, anaandika Mwandishi wetu. PST...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2017WAPINZANI nchini Kenya, wakiongozwa na Raila Odinga wa chama cha ODM na muungano wa NASA, wamekuwa wakipewa haki zote za kisiasa na za...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2017MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amewataka viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chdema (Bawacha), jimbo la Ubungo, kukitetea na kulinda chama...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017DEMOKRASIA imejidhihirisha nchini Kenya baada ya Wakenya wanaoishi nje ya nchi hiyo kupiga kura huko huko wanapoishi katika uchaguzi unaofanyika leo, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017KENYA imeweka rekodi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, baada ya Tume ya Uchaguzi, kuruhusu watu waliofungwa gerezani pamoja na wale waliopo rumande kupewa...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017IDARA ya Uhamiaji imesema hati ya kusafiria ni haki ya kila Mtanzania ambaye anakidhi vigezo vya kuimiliki na inatolewa na serikali siyo matapeli...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017MAJESHI ya nchi saba za Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika (SADC), yameanza mazoezi ya kijeshi yenye lengo la kujiandaa na tishio la mashambulizi ya...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017WAGOMBEA wa urais wawili wenye nguvu nchini Kenya, Raila Odinga (NASA) na Uhuru Kenyatta (Jubilee), leo wamepiga kura katika uchaguzi mkuu nchini humo...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017WADAU wa taasisi za fedha mkoani Kilimanjaro, wameeleza kuwa changamoto ya mabadiliko ya kiuchumi imewasababishia wakose faida katika kipindi cha kuanzia mwaka jana,...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2017MTANDAO wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), umeazimia kuishauri Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Uvuvi kutowatoza gharama wakulima wanaoshirikia maonesho ya...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2017MWENYEKITI wa Kitongoji cha Namayani wilayani Arumeru, Elias Mollel (Chadema), ameibuka mshindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2017MWENYEKITI wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda, amewataka Watanzania kutorubuniwa na baadhi ya wanasiasa kuwa hali...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2017ALIYEWAHI kuwa Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Absolom Mwakyoma ‘ameukwaa’ Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Mfumuni, Manispaa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2017SERIKALI imesema kuwa Taifa kwa sasa linajitosheleza kwa chakula kwa asilimia 120 kulingana na tathmini iliyofanyika mwaka huu, anaandika Mwandishi wetu. Kauli hiyo...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2017SERIKALI imeombwa kuwasaidia wamiliki wa shule binafsi mkoani Dodoma kupatiwa mikopo kupitia mifuko ya hifadhi ya jamii ili shule zao ziweze kuchukua wanafunzi...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2017MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), leo ameendelea na ziara yake ya kukagua uhai wa chama chake na kutembelea wananchi wake katika jimbo...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017KATIBU Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amewataka wananchi wa kijiji cha Iyenze kata Iyenze wilayani Kahama mkoani Shinyanga kuhakikisha wanawasaidia wanzeo...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dk. Hamis Kigwangala ametoa miezi mitatu kwa halmashauri ya mji wa Kahama...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017MGOMO wa wafanyakazi zaidi ya 290 wa Kampuni ya Kimataifa ya Geo Engineering ya China inayotekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara ya...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017WACHIMBAJI wadogo wa madini wametakiwa kuzingatia taratibu za kitalaam wakati wa uchimbaji ili kuepuka ajali maeneo hayo, anaandika Mwandishi wetu. Haya yamebainishwa na...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017MADEREVA wa Bodaboda katika jiji la Dar es Salaam wameonekana kuanza kuelewa umuhimu wa matumizi wa kofia ngumu wakati wa kuendesha usafiri huo,...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefichua siri nzito kwamba kina program maalum kwa ajili ya kupambana na kandamizaji wa demokrasia unaofanywa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017WAJUMBE wa kamati ya kuratibu rasilimali ya madini kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu wamepongeza Rais Dk John Magufuli kwa jitihada anazofanya...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017MCHAKATO wa kumpata Naibu Meya wa Manispaa ya Dodoma ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeanza huku wagombea waliojitokeza katika kinyang’anyiro hicho wakionywa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017HALMASHAURI ya jiji la Arusha imekusanya asilimia 60 ya mapato yatokanayo na miradi ya ndani ya maendeleo kwa kipindi cha bajeti ya mwaka...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017KAYA zipatazo 700 za Kitongoji cha Irmorijo katika Kijiji cha Emairete wilayani Monduli zilizokuwa zinatumia maji ya bwawa zinatarajia kunufaika na mradi wa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mndeme amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Mhande huku akiwaonya watakaoharibu miundombinu ya mradi huo...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kampuni ya SBC Tanzania Ltd kinachotengeneza vinywaji baridi pamoja na kiwanda cha kukata na kung’arisha mawe...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017MWENYEKITI wa CCM wa Mkoa wa Katavi anayemaliza muda wake mwaka huu, Mselemu Abdallah ameandika barua ya kujiondoa dakika za mwisho madai kuwa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017FAMILIA mbili za Kijiji cha Mureru, Kata ya Lalaji, wilayani Hanang’ zimedasi kuishi kwa kuhofia maisha yao baada ya kutengwa na jamii kijijini...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2017WATU waliofunga ndoa na kuunganika kuwa kama mwili mmoja na kuepukana na masuala ya kufanya ngono zembe, imebainishwa wao kwa sasa ndio wamekuwa...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2017