Tuesday , 26 September 2023
Home Gazeti Makala & Uchambuzi Odinga pasua kichwa Kenya, agoma kushiriki uchaguzi marudio
Makala & Uchambuzi

Odinga pasua kichwa Kenya, agoma kushiriki uchaguzi marudio

Raila Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu na Kiongozi Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Upinzani nchini Kenya (CORD)
Spread the love

KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo.abla ya kufanyika uchaguzi, anaandika Mwandishi  wetu.

Odinga amesema kuwa anataka kuwepo mikakati ya kisheria na kikatiba inayohitajika, kabla ya yeye kukubali kushiriki uchaguzi huo.

Amesema anataka Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), kufanyiwa marekebisho kabla ya uchaguzi nchini humo.

Jana Jumatatu Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Kenya ilitangaza kwamba uchaguzi mpya wa urais nchini humo utafanyika tarehe 17 Oktoba.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Wafula Chebukati alisema uchaguzi huo utashirikisha wagombea wawili pekee wa urais, Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu mstaafu Raila Odinga.

“Hakutakuwa na uteuzi mpya wa wagombea wa urais katika uchaguzi huo upya. waliopinga matokeo ya uchaguzi kortini, Raila Odinga na mgombea mwenza wake Stephen Kalonzo Musyoka na mshtakiwa wa tatu Rais Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza wake, William Samoei Ruto, watakuwa ndiyo wagombea pekee,” alisema

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Prof Mwafenga ulijiamini katika utendaji wako na degree zako 10 – Maige

Spread the loveKIFO cha Prof Hadley Mpoki Mwafenga- Afisa Usimamizi wa Fedha...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Hii ndio sura halisi ya Rais Samia

Spread the loveKILA zama na kitabu chake. Hizi ni zama za Rais...

Makala & Uchambuzi

Safari ya Siah Malle katika uhandisi inavyoibua vipaji vipya vya wanawake

Spread the loveSiah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja...

Makala & Uchambuzi

Rekodi ya watalii kuandikwa Desemba 2023

Spread the love  WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema ifikapo Desemba 2023...

error: Content is protected !!