August 10, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Bodaboda waanza kuelewa somo

Spread the love

MADEREVA wa Bodaboda katika jiji la Dar es Salaam wameonekana kuanza kuelewa umuhimu wa matumizi wa kofia ngumu wakati wa kuendesha usafiri huo, anaandika Mwandishi wetu.

MwanaHALISI Online limeshuhudia kundi la madereva wa bodaboda wakiwa wamevalia kofia hizo katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa eneo la Magomeni jambo ambalo linaashiria kutii agizo la kuvaa kofia hizo.

Watazame hapa kwenye VIDEO hii…

https://youtu.be/Z7LoVEnJJnA

error: Content is protected !!