August 19, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Serikali yawapigia debe maskini Kahama

Baadhi ya wananchi wakiwa sehemu ya mapokezi ya hospitali, tayari kwa kupata huduma

Spread the love

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amewataka wananchi wa kijiji cha Iyenze kata Iyenze  wilayani  Kahama mkoani Shinyanga kuhakikisha wanawasaidia wanzeo wasiojiweza kwa kuwalipia  Bima ya Afya iliyoboreshwa(CHF), anaandika Mwandishi Wetu.

Kijiji  hicho kina kaya 1177 wakati 7932 na idadi ya watu wanafikia zaidi ya 7000 kwa mujibu wa sensa ya  mwaka 2012.

Kauli hiyo imetolewa katika uzinduzi wa CHF ambayo inatoa  huduma katika vituo vya fya vya serikali uliofanyika katika kijiji cha Iyenze.

error: Content is protected !!