August 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Wakenya waishio nje wapigakura kuchagua Rais

Wafula Chebukati, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya (IEBC)

Spread the love

DEMOKRASIA imejidhihirisha nchini Kenya baada ya Wakenya wanaoishi nje ya nchi hiyo kupiga kura huko huko wanapoishi katika uchaguzi unaofanyika leo, anaandika Mwandishi Wetu.

Katika nchi mbalimbali umeandaliwa utaratibu ambao leo umewezesha wananchi wa Kenya kupiga kura wakiwa nje ya nchi yao.

Uchaguzi huu unawakutanisha wanasiasa wanaotambiana katika siasa za Kenya, Rais Odinga (Nasa) na Uhuru Kenyatta (Jubilee).

error: Content is protected !!