Friday , 29 March 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Madini yampaisha Rais John Magufuli
Habari za Siasa

Madini yampaisha Rais John Magufuli

Rais John Magufuli akizungumza
Spread the love

WAJUMBE wa kamati ya kuratibu rasilimali ya madini kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu wamepongeza Rais Dk John Magufuli kwa jitihada anazofanya za kudhibiti uvunaji haramu wa rasilimali hiyo na wamewaomba viongozi wa nchi zingine kuiga mfano huo, anaandika Mwandishi Wetu.

Wakizungumza baada ya kumaliza kikao chao kilichokuwa kinafanyika mjini Arusha, wajumbe hao kutoka nchi 12 za Ukanda wa Maziwa Makuu walishauri jitihada zilizoonyeshwa na Rais John Magufuli zifanyike katika nchi zote za ukanda huo ikiwa ni pamoja na kuhakikisha sheria zote za uchimbaji, uuzaji wa madini zinazingatiwa na nchi husika zinanufaika.

Mratibu wa kikao hicho kutoka sekretarieti ya nchi za ukanda huo, Balozi Zachary Muhuri Muita, alisema uchimbaji wa madini ukifanyika kwa njia halali na wachimbaji wakalipa kodi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nani anasema kuna hasara ATCL?

Spread the loveRIPOTI za makusanyo na matumizi ya fedha katika Kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

CAG: Wastaafu, wenza wao chanzo NHIF kufilisika

Spread the loveRIPOTI ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Habari za SiasaTangulizi

Vikundi hewa 851 vyalamba bilioni 2.6 mikopo ya halmashauri

Spread the loveVIKUNDI hewa vya wajasirimali wadogo 851 kutoka katika halmashauri 19...

Habari za SiasaTangulizi

Mashirika matano yapata hasara mabilioni ya fedha

Spread the loveMASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni...

error: Content is protected !!