MKUU wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo amesema mwananchi yeyote atakayeshindwa kutoa ushirikiano wa kujua idadi ya mifugo aliyo nayo atatiwa nguvuni, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017WANAWAKE wamehimizwa kunyonyesha watoto kwa kipindi kinachoshauriwa kitaalamu ili kuwaepusha na madhara ya utapiamlo na udumavu wa akili, anaadika Mwandishi Wetu. Mratibu wa...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuwa wazalendo kwa nchi yao...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017WAKILI wa kujitegemea Mchungaji Kuwayawaya Stephen, amesema kuwa viongozi waliopo madarakani katika serikali ya awamu ya tano wengi wao bado hawajaonyesha uwezo wao...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewataka viongozi wa wilaya kuwachukulia hatua watendaji wao wa chini wanaotoa mikpo kwa vikundi hewa,...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amewatoa hofu wananchi wa Kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga kwamba hakuna mtu atakayechukuliwa...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017HALMASHAURI ya Wilaya ya Simanjiro, imeendelea kupata hati safi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG), kwa mwaka...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017SERIKALI wilayani Muheza mkoani Tanga imepiga marufuku shule zote za msingi na sekondari wanafunzi kufanyishwa mitihani siku za ibada ikiwamo Ijumaa, Jumamosi na...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017WENYEVITI wa Serikali za mitaa wa Chama cha Wananchi (CUF) mkoa wa Dar es Salaam, wamemuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2017ZIARA ya Rais John Magufuli mkoani Kigoma, imethibitisha kuwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo) ni kigeugeu, anayeweza kubadili kauli yake wakati...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2017WANAFUNZI wanaosoma shule ya sekondari ya Kwamkabara kata ya Kwamkabara wilayani Muheza mkoani Tanga wamepatwa na ugonjwa wa ajabu unaosababisha kuanguka hovyo, anaandika...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2017SERIKALI Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma imeahidi kuwachukulia hatua za kisheria walimu wote ambao watatajwa kujihusisha kimapenzi na watoto wa kike wanaosoma katika shule...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2017WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.669 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji katika wilaya ya Ileje mkoani...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2017TAASISI ya kuendeleza mifumo ya masoko kwenye kilimo nchini (AMDT), imepanga kuwafikia wakulima 500,000 wa zao la alizeti wa mikoa 12 ya Tanzania...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2017MAHAKAMA ya Wilaya ya Manyoni, imewahukumu kifungo cha miaka 25 jela kila mmoja majangili wawili baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mbalimbali ikiwemo...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2017JESHI la Polisi Tanzania bado halijakamilisha upelelezi wa tuhuma zinazomkabiri Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, hivyo wamelazimika kumwachia na kumtaka arudi tena...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2017MAKAMU wa rais wa Afghanistan, Jenerali, Abdul Dostum amezuiwa kuingia nchini mwake akitokea nchini Uturuki, anaandika Mwaandishi wetu. Ndege ya kiongozi huyo iliyojaribu...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2017JESHI la Zimamoto na Uokoaji nchini limetengewa Sh. 3 bilioni kwa ajili ya kununulia vitendeakazi zikiwemo gari za kuzima moto na madawa ya...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2017VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, wabunge wawili na viongozi wengine waliokamatwa juzi na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma leo wameachiwa, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2017BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) jana lilitangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita, kama ulikosa...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2017SAA chache baada ya Dkt. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wenzake kukamatwa na Polisi kwa mahojiano...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2017DKT. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe ambaye pia ni...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2017JESHI la Polisi mkoani Mwanza limevamia ukumbi wa Hill Front Hotel uliopo Igoma, katika Manispaa ya Nyamagana, kuvunja kongamano la vijana lililoandaliwa na...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2017CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimemtangaza Yeremia Maganja kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa imeachwa wazi na Anna Mghwira, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2017VIONGOZI wandamizi serikalini wameonywa kutojihusisha na matamshi ya kejeli na matusi dhidi ya wananchi, kwa kuwa yanachochea chuki na uhasama nchini, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru aliyekuwa Kamishna wa TRA, Tiagi Masamaki na wenzake watano waliokuwa wakishtakiwa na makosa ya uhujumu uchumi...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2017BAADA ya mkasa uliomkuta Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, wiki iliyopita, nimekumbuka kwa uchungu, mazungumzo yangu na waandishi wa habari tarehe 12 Februari...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2017BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli apunguze kutoa kauli...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2017NI jambo la kawaida kufanya marekebisho ya kitabibu katika viungo vya mwili wa binadamu kama vile makalio, nyonga, ngozi na sura. Hata hivyo, hivi...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2017KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefanya mabadiliko ya Kamati ya Uchaguzi na kuwaengua wajumbe wanne walioonyesha kumtetea...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2017MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga imewahukumua viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela kila...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2017KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imesema miswada mitatu ya kulinda rasilimali iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni na Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Sheria na...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2017ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, amepinga hoja ya John Mnyika, Waziri Kivuli ya...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2017MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kuwa kuanzia tarehe Mosi Julai, 2017 bei ya mafuta itashuka kwa Sh. 37 kutokana na kushuka kwa gharama za usafirishaji wa mafuta katika soko...
By Mwandishi WetuJune 30, 2017CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimeitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama, ikiwa ni jitihada za kutaka kujiokoa na ‘rungu’ la serikali,...
By Mwandishi WetuJune 30, 2017MUDA mchache baada ya Baraza la Wazee Chadema kujitokeza kupinga kauli ya Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ya kutaka Rais Magufuli awe Rais...
By Mwandishi WetuJune 29, 2017WAZEE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemtaka John Magufuli, Rais wa Tanzania kujitokeza na kutoa msimamo wake kuhusu kauli ya Rais...
By Mwandishi WetuJune 29, 2017JAMAL Malinzi (57), Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), anatarajiwa kufikishwa mahakamani mchana huu jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za matumizi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2017WANAFUNZI wa shule ya msingi Magwalisi wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wanatumia chumba kimoja, kwa wakati mmoja wakati wa kufundishwa wanafunzi wa madarasa wa...
By Mwandishi WetuJune 28, 2017TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwachunguza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2017JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia hali ya usalama na amani wakazi, wananchi wa jiji la Dar es Salaam katika...
By Mwandishi WetuJune 23, 2017KIKOSI cha wachezaji 22 wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kinaondoka leo Alhamisi Juni 22, 2017 kwenda Afrika Kusini katika michuano ya kuwania...
By Mwandishi WetuJune 22, 2017KITENDO cha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtambulisha Isihaka Juma Karanda kuwa ni mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, ilikuwa ni kumdanganya...
By Mwandishi WetuJune 22, 2017BONIFACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ubungo, amewataka viongozi na wanachama...
By Mwandishi WetuJune 22, 2017RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha shabiki maarufu...
By Mwandishi WetuJune 21, 2017WABUNGE wa kambi ya upinzani bungeni, jana waliamua kumsusia futari, Spika wa Bunge, Job Ndugai, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka kiongozi mmoja mwandamizi...
By Mwandishi WetuJune 21, 2017JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa tamko la kulaani kitendo cha Dk. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kulifungia gazeti...
By Mwandishi WetuJune 20, 2017UONGOZI wa hospitali ya Mafia, iliyopo mkoa wa Pwani umeiomba serikali na wadau wa maendeleo kusaidia upatikanaji wa vifaa tiba kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuJune 20, 2017JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kukamata jumla ya wahalifu 284 katika operesheni iliyochukua siku 20, anaandika Yasinta Francis....
By Mwandishi WetuJune 20, 2017SIKU tatu baada Jeshi la Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuonekana wakiwaadhibu watu wenye ulemavu waliokuwa wakifanya maandamano kupinga kuzuiwa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2017