March 5, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mbowe aruhusiwa hospitali

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

Spread the love

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC ameruhusiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Mbowe alilazwa hospitalini hapo jana akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa. 

Ofisa Habari wa KCMC, Gabriel Chisseo amesema kuwa Mbowe ameruhusiwa baada ya madaktari kuridhishwa na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.

error: Content is protected !!