
Spread the love
AJALI mbaya imetokea mapema leo maeneo ya Kiguza, Mkuranga mkoa wa Pwani na kusadikika kuuwa watu zaidi ya 14 waliokuwa katika gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).
Ajali hiyo iliyohusisha magari mawili moja wapo likiwa gari la abiria la Toyota Hiace lililogongana uso kwa uso na gari la mchanga aina ya Scania.
More Stories
NBS yatangaza nafasi za kazi 300
Mapadri 25, Masista 60 waaga dunia Tanzania
TCRA yajitosa bei za vifurushi