CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU NEC KUHALALISHA UBATILI ULIOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI Chama cha Demokrasia...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2018HATUA ya waajiri kutolipa michango ya wafanyakazi wao katika mifuko ya kijamii imepatiwa dawa. Anaripoti Yusuph Katimba…(endelea). Ilivyo sasa mwajiri akishindwa kulipa, atapelekwa...
By Yusuph KatimbaAugust 16, 2018MATOKEO ya ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2017 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yamebainisha kwamba...
By Regina MkondeAugust 16, 2018MANENO ya mwisho ya Mwalimu Julius Nyerere ambapo yaliyopata kuandikwa ni pamoja na haya, “Najua ugonjwa huu sitapona, Watanzania watapata shida, lakini nitawaombea kwa Mungu.”...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2018MKUU wa jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro, ametangaza mabadiliko ya makamanda wa mikoa katika jeshi lake kwa kuhamisha baadhi huku na...
By Regina MkondeAugust 15, 2018CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali pamoja na wadau wa demokrasia nchini kuitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kwa ajili ya kujadili...
By Regina MkondeAugust 15, 2018SERIKLI ya Misri kupitia Waziri wa Michezo, Ashraf Sobhy ametangaza rasmi kuwaruhusu mashabiki wa mpira wa miguu kuingia uwanjani katika michezo ya Ligi...
By Kelvin MwaipunguAugust 15, 2018NCHI ya Kenya imezuia uingizwaji wa tiles vinavyotoka Tanzania hali iliyosababisha kudorola kwa soko hilo nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yalisemwa...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2018DK. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM amesema kitendo cha wabunge na madiwani wa vyama vya CUF na Chadema kujivua unachama na kujiunga...
By Regina MkondeAugust 15, 2018MTANDAO wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umetoa shukrani kwa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kwa kukubali ushauri wao wa utaratibu mpya wa wanafunzi wa...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018KAMPUNI ya Star Media (T) Ltd inayomiliki king’amuzi cha StarTimes imesalimu amri kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiAugust 14, 2018WaAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema kwamba kuanzia sasa vibali vya ujenzi vitakuwa vinatolewa kila wiki na vitakuwa...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2018DK.Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, amesema kuwa uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzitaka kampuni zinazomiliki Zuku, DSTV...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018KAMATI Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM imeteuwa wagombea watatu watakaokiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti...
By Regina MkondeAugust 14, 2018EDWIN Van Der Sar, mlinda mlango wa zamani wa Manchester United ni moja kati ya majina matatu yaliotajwa kuja kukalia kiti cha Mkurugenzi...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018NENO LA SHUKRANI Na Elia F Michael Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa chama wilaya ya Kakonko na Chama Taifa kuniona kama...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2018MSHAMBULIAJI wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohammed Salah ameingia matatizoni na polisi wa Merseyside baada ya kuibuka kwa video mitandaoni...
By Kelvin MwaipunguAugust 14, 2018TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kuwa na mfumo mpya wa kielektroniki utakomwezesha mwanafunzi kuthibitisha chuo anachokwenda kusoma baada ya kuchaguliwa na...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018HALI ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla inazidi kuimarika ambapo kwa mara ya kwanza tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa...
By Regina MkondeAugust 14, 2018DEREVA wa Mbunge wa Jimbo la Kyaddondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Bobi Wine, Yasin Kawuma amefariki baada ya kupigwa risasi na watu...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2018CHAMA cha Demorasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara, kimepanga kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo...
By Regina MkondeAugust 14, 2018MUDA wowote kuanzia sasa, wateja wanaotumia king’amuzi cha Star Times watashindwa kupata matangazo yanayopitia king’amuzi hiko kutokana na kugoma kutii sheria kama inavyoelekezwa...
By Faki SosiAugust 14, 2018SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya mkakati wa kuhakikisha watanzania wote wanaougua magonjwa ya damu watibiwe ndani ya nchi kwa kujengea uwezo hospitali zote...
By Masalu ErastoAugust 13, 2018IFUATAYO ni orodha ya majina ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali walioteuliwa na kuhamishiwa vituo vya kazi leo tarehe 13...
By Regina MkondeAugust 13, 2018BODI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania imefanya mabadiliko ya ratiba ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni wiki mbili kabla ya...
By Kelvin MwaipunguAugust 13, 2018ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Zubeir amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin …...
By Regina MkondeAugust 13, 2018RAIS John Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya mabadiliko kadhaa kwa Wakuu wa Wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini huku sehemu...
By Regina MkondeAugust 13, 2018MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Christopher Chiza, Mgombea wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika...
By Regina MkondeAugust 13, 2018WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Pudencis Protas kumkamata Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2018NI kweli kuwa, taifa si mtu mmoja kwa maana kwamba, akiondoka wengine watashika nafsi na siku zitasonga mbele. Anaandika Mchambuzi Wetu … (endelea). Lakini...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2018GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari...
By Mwandishi MaalumAugust 12, 2018WAKAZI wa Jimbo la Buyungu lililoko Wilayani Kankonko mkoa wa Kigoma, wamejitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin …...
By Regina MkondeAugust 12, 2018ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amekula matapishi yake baada ya kutangaza kuunga mkono juhudi za...
By Faki SosiAugust 12, 2018KWENYE siasa hatufuati watu. Ukiwafuata watakuacha solemba. Fuata misingi. Anaandika Ansbart Ngurumo … (endelea). Msando na Mtatiro walikuwa wafuasi. Hawakuwa waanzilishi. Hata wangekuwa...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2018WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa. Edward Lowassa leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Migungani Wilayani Monduli katika...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2018SERIKALI imevifunga viwanda viwili vya wachina vilivyoko Kibaha mkoa wa Pwani vinavyojihusisha na utengenezaji wa nondo na uzalishaji wa malighafi ya kutengenezea Gypsum...
By Masalu ErastoAugust 11, 2018ALIYEKUWA mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
By Saed KubeneaAugust 11, 2018MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Heritier Makambo amepewa ruhusa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ‘CAF’ kuitumikia klabu hiyo katika mchezo wa Kombe...
By Kelvin MwaipunguAugust 11, 2018NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama...
By Regina MkondeAugust 11, 2018JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama...
By Regina MkondeAugust 11, 2018IKIWA kesho tarehe 12 Agosti, 2018 ni siku ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge Buyungu na kata thelathini na sita (36),...
By Regina MkondeAugust 11, 2018CHAMA kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe ‘Movement for Democratic’ (MDC) kimeenda mahakamani kwa lengo la kukata rufaa, ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa...
By Regina MkondeAugust 11, 2018UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya hali ya juu ili kujikinga na...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa idadi ya wanawake wanaotumia huduma za Afya za Kisasa...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018VIJANA nchini wametakiwa kukitumia vyema Chuo cha Kilimo – Mati Ilonga ili kupata elimu mbalimbali ikiwemo ya usindikaji wa mazao itakayowasaidia kujikwamua kiuchumi...
By Christina HauleAugust 10, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandiishi wa habari wa Wapo Radio...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018HAKIMU mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba ametoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kubadilisha hati ya mashtaka ili kuwaondoa kwenye kesi...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2018MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Mara amesitisha mikutano yote ya kampeni ya vyama vya upinzani kwenye kata hiyo....
By Regina MkondeAugust 10, 2018MBUNGE wa jimbo la Mbozi mkoani Songwe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pascal Haonga na wenzake wameshinda kesi iliyokuwa inawakabili katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2018WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amehidi kufanya ziara za kushtukiza kwenye vituo vya polisi nchini ili kupambana na baadhi...
By Regina MkondeAugust 10, 2018