March 2, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Kenya wapiga ‘stop’ tiles za Tanzania

Spread the love

NCHI ya Kenya imezuia uingizwaji wa tiles vinavyotoka Tanzania hali iliyosababisha kudorola kwa soko hilo nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Hayo yalisemwa jana na Msafiri Figa Meneja Uajiri kutoka kiwanda kinachozalisha tiles cha Goodwill Tanzania Cerami co. Ltd kilichopo Mkiu, wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.

Figa alisema kitendo hicho kimesababisha ukosefu wa soko la tiles hali iliyoathiri shughuli za kiwanda hicho.

Alisema, kabla ya Kenya kuzuia uingizwaji wa tiles hivyo, walikuwa wanazalisha tires laki nane (800,000) kwa siku. Lakini kwa sasa wanazalisha tiles laki sita kwa siku.

error: Content is protected !!