JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumfungulia Mwanahabari wa gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma mashitaka ya kuandamana...
By Regina MkondeAugust 10, 2018MWANAMUZIKI wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnum leo tarehe 9 Agosti, 2018 amezua kizaazaa kwenye msiba wa Amri...
By Faki SosiAugust 9, 2018MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2018 umepungua kutoka asilimia 3.4 mwezi Juni, 2018 hadi kufikia asilimia 3.3. Anaripoti Regina Kelvin...
By Regina MkondeAugust 9, 2018RAIS wa Tanzania, John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya watanzania kuaga mwili wa marehemu muigizaji wa vichekesho Amri Athumani...
By Faki SosiAugust 9, 2018JAMII imeshauriwa kubadilika na kula maharage ya SUA Karanga ambayo yanatengenezwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) huku yakiwa...
By Masalu ErastoAugust 9, 2018WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko Charles Mwijage amewataka wazalishaji wa mbegu ya Mpunga zinazotoa harufu ya kunukia aina ya Aroma kuongeza uzalishaji...
By Christina HauleAugust 9, 2018JESHI la Polisi wilayani Tarime limewaachia kwa dhamana, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema) na Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania...
By Regina MkondeAugust 9, 2018KIUNGO wa Simba Haruna Niyonzima amezua taharuki na hali ya sintofahamu kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo baada ya kutoonekana jana katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 9, 2018WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amelitaka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kuvifungia vyuo visivyokidhi vigezo hasa...
By Regina MkondeAugust 9, 2018TUZO ya mwanamke mwenye ushawishi na mhamasishaji zaidi kisiasa Afrika imechukuliwa na Mange Kimambi, raia wa Tanzania. Anaripoti Regina Kelivin … (endelea). Waandiaaji...
By Regina MkondeAugust 9, 2018MUIGIZAJI maarufu Amir Athuman (Mzee Majuto) amefariki dunia usiku huu kwenye Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiAugust 9, 2018VYAMA vinavyounda Muungano wa Common Front for Congo (FCC) umemteua aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo, Emannuel Shadari kuwa mrithi wa...
By Regina MkondeAugust 8, 2018JESHI la Polisi limezuia mkutano wa pamoja wa wabunge, Zitto Kabwe ( ACT), Upendo Peneza (Chadema) na John Heche (Chadema) wa kumnadi mgombea...
By Regina MkondeAugust 8, 2018TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameruhusiwa kutoka hospitalini alipokuwa anatibiwa kwa miezi saba, nchini Ubelgiji. Anaripoti Mwandishi Weti … (endelea). Lissu amesambaza...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2018SERIKALI imeiagiza Tume ya Madini Tanzania, kuzuia mali na mitambo yote ya Kampuni ya Canaco inayomiliki leseni ya Uchimbaji Madini ya dhahabu, kutokana...
By Regina MkondeAugust 8, 2018WAKAZI wa kata ya Chemchem wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wameiomba serikali kuwatatulia kero ya muda mrefu ya uchakavu wa miundombinu ya mabomba ya...
By Danson KaijageAugust 8, 2018SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu (SHIVYAWATA) mkoa wa Dodoma limeomba Wizara ya Elimu kuwapeleka walimu wenye taaluma ya elimu maalum kwenye...
By Danson KaijageAugust 8, 2018IKIWA zimebaki siku tatu kabla ya michuano ya vijana ya kufuzu fainali za Afrika chini ya umri wa miaka 17, katika ukanda wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 8, 2018WaBUNGE wa Chadema – Saed Kubenea (Ubungo) na Cecilia Paresso (Viti Maalum), mkoani Arusha – wamemtumia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumuombea...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2018VIONGOZI na watendaji wakuu wa halmashauri ya Jiji la Tanga wametakiwa kuwa wabunifu katika kuhakikisha wanawafikia wanawake wengi wanaoishi mjini ili waweze kujiunga...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza jamii ya Tanzania juu ya utumiaji wa maji safi na...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018WATU 13 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo utakatishaji fedha wa Sh....
By Masalu ErastoAugust 7, 2018SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imefuta kongamano la kimataifa la kujadili mustakbali wa maridhiano Zanzibar lililokuwa lifanyike kesho. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea)....
By Jabir IdrissaAugust 7, 2018WADAU wa kilimo na wakulima wakubwa kwa ujumla wameshauriwa kuanzisha makampuni ya mbegu ili kuifanya Sekta ya Mbegu kuwa na uzalishaji wa kutosha...
By Christina HauleAugust 7, 2018JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa kosa la kufanya shughuli za uganga wa kienyeji bila kibali. Anaripoti Regina Kelvin …...
By Regina MkondeAugust 7, 2018YOWERI Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini ifikapo tarehe 9 Agosti 2018. Anaripoti...
By Regina MkondeAugust 7, 2018PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amesema Serikali imejipanga kuandaa na kutoa mafunzo ya uwezeshaji wa programu za kisomo na...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) limetakiwa kusitisha uagizaji wa viunganishi vya miundombinu ya umeme (Accessories) kutoka nje...
By Regina MkondeAugust 7, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, inatarajia kufanya udahili wa wanafunzi kwa asilimia 100 kutoka wanafunzi 150...
By Masalu ErastoAugust 6, 2018WAFANYAKAZI wa kampuni ya ulinzi ya Tele Security Campan Ltd wamemuomba Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama kuingila...
By Danson KaijageAugust 6, 2018WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ametoa mwezi mmoja kwa Kampuni binafsi za Ulinzi kuhakikisha yanarekebisha mfumo wao wa kuajiri...
By Regina MkondeAugust 6, 2018BAADA ya aliyekuwa Mbunge wa Ukonga, Mwita Mwikabe Waitara kuzungumzia tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, tarehe 7 Septemba mwaka jana, Mbunge huyo...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2018TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo tarehe 4 Agosti, 2018 imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo matatu na wa udiwani katika...
By Regina MkondeAugust 4, 2018WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amepata ajali alfajiri ya leo tarehe 4 Agosti, 2018 kwenye eneo la Magugu mkoani Manyara...
By Regina MkondeAugust 4, 2018WAFUGAJI hapa nchini wameshauriwa kuzingatia matumizi ya dawa za mifugo wanayopewa na wataalamu ili kuongeza kipato na kuboresha uchumi wao na Taifa kwa...
By Christina HauleAugust 3, 2018SHIRIKA linaloshughulika na masuala ya utafiti nchini, linalofahamika kwa jina la TWAWEZA, lidai kutishwa na vyombo vya serikali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....
By Regina MkondeAugust 3, 2018MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeshauriwa kuweka mikakati thabiti itakayowezesha kudhibiti upotevu wa makusanyo ya kodi yatokanayo na sekta madini kuanzia kwa wachimbaji...
By Christina HauleAugust 3, 2018MABINGWA wa Tanzania Bara Simba kupitia mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wao Haji Manara wametangaza vingilio katika tamasha lao kubwa la...
By Kelvin MwaipunguAugust 3, 2018JESHI la Polisi Kanda Maluum ya Dar es salaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuteka watu na kudai fedha kwa kutumia gari...
By Masalu ErastoAugust 3, 2018MAOFISA wa Uhamiaji wamemnyang’anya Hati ya Kusafiria (passport) Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali Twaweza Aidan Eyekuze. Anaandika Regina Kelvin … (endelea)....
By Regina MkondeAugust 3, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Africa (CAF) limetoa majibu ya uchunguzi wa waamuzi wanne wa Tanzania waliofikishwa kwenye Shirikisho hilo kufuatia kuripotiwa kwa...
By Kelvin MwaipunguAugust 3, 2018RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze mkoani Pwani ameeleza kufurahishwa na namna serikali na wadau wa maendeleo wanavyoshiriki kulivusha Jimbo la Chalinze katika vikwazo...
By Yusuph KatimbaAugust 3, 2018MFALME wa maigizo ya uchekeshaji nchini, Amri Athuman anayefahamika kama ‘Mzee Majuto’ amelazwa chumba cha wagonjwa mahtuti (ICU) kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili....
By Masalu ErastoAugust 3, 2018RAIS wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zimbabwe kwa kwa asilimia 50.8 ya kura dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2018SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu anasema, anakwenda Hijja leo Agosti 02, 2018 pamoja na kutekeleza Nguzo ya...
By Faki SosiAugust 2, 2018WAFUASI wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe (MDC) wameingia barabarani kwa maandamano baada ya kukishtumu chama tawala Zanu- PF kuingilia uchaguzi huo kwa...
By Kelvin MwaipunguAugust 2, 2018VUGUVUGU la madiwani wa upinzani kukimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM) halijapoa, jimboni Hai, Kilimanjaro katika Kata ya Kia, diwani wake amehamia chama tawala....
By Faki SosiAugust 2, 2018MTOTO wa mbunge wa Chadema katika jimbo la Tarime Mjini, Easter Matiko, ameibua mjadala kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuatia mama yake...
By Faki SosiAugust 2, 2018VYAMA vingi vya siasa vimejaa ubinafsi, tamaa ya madaraka na kutaka kushinda uchaguzi ili kutawala. Ajenda hiyo ni rahisi mno. Anaandika Faki Sosi...
By Faki SosiAugust 2, 2018WALIO MPOTOSHA MH. RAIS KUHUSU MAPATO YA HALMASHAURI ZA MKOA WA DAR ES SALAAM WA WAJIBISHWE Tangu jana nimepigiwa simu na Waandishi wa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2018