Friday , 26 April 2024

Month: October 2020

Habari za Siasa

Vipaumbele 20 Chadema ikiingia Ikulu 

SIKU 11 zimebaki kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wa Rais, Wabunge na Madiwani nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yapigwa ‘stop’ kufanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania haipaswi kufanya mambo makuu manne wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif afungiwa kufanya kampeni

KAMATI ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemfungia siku tano kutofanya kampeni, Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kuanzia...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Wanataka kuni – Lissu

MAALIM Seif Sharif Hamadi, mgombea urais visiwani Zanzibar amesema, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inataka kumfungia kama Tundu Lissu, mgombea urais Tanzania kupitia...

Habari Mchanganyiko

Mvua Dar: Tahadhari yatolewa

WAKAZI wa Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani, wametakiwa kuchukua tahadhari ya magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua  zinazoendelea kunyesha. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Vijana wapo tayari

MAALIM Seif Shariff Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema safari hii vijana wapo tayari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). “Tunapambana na...

Habari za Siasa

Mkakati wa Kubenea TFF huu hapa

SAED Kubenea, mgombea ubunge Kinondoni, jijini Dar es Salaam  kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, miongoni mwa mambo atakayosimamia ni kuhakikisha linaundwa Shirikisho la Mpira...

Habari Mchanganyiko

Mvua Dar: 12 wapoteza maisha

WATU 12 wamefariki dunia jijini Dar es Salaam kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa  iliyonyesha tarehe 13 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Michezo

Azam Fc, Mwadui Dimbani leo

LIGI kuu Tanzania Bara itaendelea tena leo kwa jumla ya michezo miwili kupigwa kwenye viwanja tofauti ambapo klabu ya Azam Fc itashuka dimbani...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima ‘ambeba’ Mdee mbele ya JPM

ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesifu miradi iliyotekelezwa jimboni humo kwa mwaka 2015 – 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri Kabudi apata ajali

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amepata ajali ya gari mkoani Morogoro leo Jumatano tarehe 14 Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Rais Magufuli amebakiza siku 14 Ikulu

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema, Rais John Pombe Magufuli amebakisha siku 14 kubaki Ikulu, kwa kuwa...

Michezo

Ligi Kuu VPL kurejea tena leo

LIGI kuu soka Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa kupigwa jumla ya michezo minne katika viwanja tofauti mara baada ya mapumziko ya michezo...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atumia mtumbwi kuwafikia wapigakura

MSAFARA wa Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema umelazimika kutumia mtubwi kutoka Kisorya mkoani Mara kwenda Ukerewe Mkoa wa Mwanza. Anaripoti...

Habari za Siasa

IGP Sirro awaangukia wanasiasa  

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amewasihi viongozi wa vyama vya siasa na wagombea mkoani Mara, kutotumia vikundi vya vijana...

Habari Mchanganyiko

Wakuliwa watakiwa kupewa elimu sahihi ya matumizi ya mbolea

NAIBU Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba amewataka wadau mbalimbali wa maendeleo, maafisa ugani na watafiti kuendelea kujipanga kimkakati kutoa elimu ya matumizi sahihi...

Habari za SiasaTangulizi

Msafara wa Lissu warushiwa mawe Chato

MSAFARA wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu umepigwa mawe na watu wasiojulikana Chato mkoani wa...

Habari za Siasa

Maalim Seif ‘akusanya’ kijiji Pemba

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, amekusanya wananchi wa Pemba na kusikiliza kero zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba …...

Habari za Siasa

Kubenea: Hii ndiyo kazi ya kwanza nitaifanya bungeni

MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema, akishinda ubunge kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha waliovunjiwa nyumba zao mabondenu wanalipwa fidia....

Michezo

Bosi GSM kuongoza kamati ya ushindi Taifa Stars

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteuwa Ghalib Said Mohammed kuwa Mwenyekiti wa kamati ya ushindi ya Timu...

Habari za Siasa

Lissu akumbana na kikwazo Chato

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekumbana na kituko cha kwanza Chato mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Sikuhonga kupata urais – JPM

DAKTARI John Pombe Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, hakuhonga kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

Habari za SiasaTangulizi

NEC yaijibu Chadema ‘tangazeni sera’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, zabuni ya kumpata mchapishaji wa karatasi za kupigia kura ilitangaza kwa mujibu wa Sheria...

Habari Mchanganyiko

Bosi Takukuru aomba kukiri makosa uhujumu uchumi

MKURUGENZI wa zamani wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor, ameiomba Ofisi ya Mkurugenzi...

Habari za Siasa

Kubenea kuanzisha benki, kiwanda cha taka Kinondoni

SAED Kubenea, Mgombea Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo amesema, ana mpango wa kuanzisha benki kwa ajili ya wananchi wa jimbo hilo. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Stori ya Enock iliyomuumiza Lissu Singida

STORI ya kushambuliwa kwa Wilfred Enock, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imemuumiza Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama...

Habari za Siasa

Mgombea Chadema amwangushia jumba bovu mgombea CCM

CONCHESTA Rwamlaza, mgombea ubunge katika Jimbo la Bukoba vijinini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtuhumu Jason Rweikiza, mgombea mwenzake kupitia Chama...

Habari za Siasa

‘Mchawi’ wa Mbowe Hai achunguzwa

OFISA wa Jeshi la Polisi katika Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, anachunguzwa na jeshi hilo kwa madai ya kumtabiria Freeman Mbowe, mgombea ubunge...

Habari za Siasa

Gambo apanga kummaliza Lema

MRISHO Gambo, mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), ameamua kubadili mtindo wa kummaliza Godbless Lemba, mgombea ubunge wa jimbo...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif akwepa kitanzi cha NEC

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ameshindwa kumnadi kwa jina Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia...

Habari Mchanganyiko

Tamwa yatoa mbinu mtoto wa kike anavyoweza kufikia ndoto zake

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimewataka watoto kuvunja ukimya na kupaza sauti mara tu waonapo dalili za kufanyiwa ukatili ili kuwawezesha kufikia...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yaweka masharti matumizi ya simu vituoni Oktoba 28

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeweka masharti ya matumizi ya simu katika vituo vya kuhesabu, kupigia na kujumulishia kura katika...

Habari za Siasa

Zitto atoka hospitalini ‘narudi kwenye kampeni’

KIONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu baada...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaihoji NEC ‘karatasi za kura, mfumo wa kujumlisha matokeo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetakiwa kuweka wazi mambo mbalimbali yahusuyo Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 ikiwemo kampuni...

Habari za Siasa

IGP Sirro awaonya polisi kutoingilia NEC

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, Polisi hawahusiki kutangaza mshindi wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...

Habari za Siasa

Lissu kurejea jukwaani leo

TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumamosi tarehe 10 Oktoba 2020 ataanza tena kampeni...

Habari za Siasa

IGP Sirro atoa onyo Z’bar ‘tusikubali kutumiwa’

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro, amewataka Wazanzibar kufuata taratibu za upigaji kura zilizowekwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)...

Michezo

Taifa Stars, Burundi kuchimbika

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Burundi Sadio Berahino amesema wako tayari kuwakabiri timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye mchezo wa kirafiki utakaopigwa...

Habari za Siasa

Mgombea ubunge Ubungo abadili mbinu za kampeni

KABENDERA Eugene, Mgombea wa Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amefanya kampeni ya aina yake kupitia mkutano na waandishi...

Habari za Siasa

Kubenea atikisa kambi ya Tarimba

MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, amefanya kampeni ya nyumba kwa nyumba katika Kata ya Hananasif, Wilaya Kinondoni jijini Dar es...

Michezo

Bocco awekwa nje kikosi cha Taifa Stars

KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Etiene Ndayilagije amemuweka nje ya kikosi mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco kutokana...

Habari za Siasa

Lissu atinga Mlimani City

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ametembelea Mlimani City jijini Dar es Salaam na kufanya manunuzi mbalimbali katika moja ya maduka....

Habari za Siasa

Salum Mwalimu ampigia kampeni Ado wa ACT-Wazalendo

USHIRIKIANO kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 umeanza kushika kasi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli awageuzia kibao wakandarasi, RC Dar ‘badilika’

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufulki ameagiza kampuni iliyopewa zabuni ya kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam,...

Michezo

KMC yaipeleka Yanga CCM Kirumba

TIMU ya KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imehamishia mchezo wake wa nyumbani dhidi ya klabu ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,...

Habari Mchanganyiko

Fisi aliyeua mtoto auawa

KIKOSI dhidi ujangili kutoka Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori (TAWA) kimefanikiwa kumdhibiti fisi aliyemuua mtoto Kwangu Makanda (11) na kujeruhi watu wawili katika...

Habari za Siasa

Kubenea akumbusha ya Kikwete, Mkapa

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo amewataka wananachi kuchagua viongozi wenye uchungu na taifa lao. Anaandika Yusuph Katimba,...

Habari za Siasa

Majaliwa aipa siku tatu wizara ya kilimo

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa...

Habari za Siasa

Magufuli, Dk. Chakwera wazungumzia uchaguzi mkuu

MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Dk. Lazarus Chakwera wa Malawi wamezungumzia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atinga Kariakoo kwa mwendokasi

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuliboresha Jiji la Dar es Salaam, endapo atashinda Uchaguzi...

error: Content is protected !!