Maisha
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), inatarajiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi 128,285 sawa na ongezeko la asilimia 4.5 ikilinganishwa...
By Danson KaijageApril 29, 2019WATANZANIA wametahadharishwa kuhusu mlipuko wa magonjwa ya kuambukiza kwa watoto ukiwemo ugonjwa wa surua, unaotajwa kuanza kuathiri nchi jirani. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumzia maadhimisho...
By Regina MkondeApril 25, 2019HATUA ya Bajeti ya Elimu kupungua siku hadi siku, imelalamikiwa na wadau wa elimu nchini. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Akizungumza na waandishi wa habari...
By Hamisi MgutaApril 24, 2019GODLUCK Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) amesema kuwa, Wilaya ya Ulanga inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa kifafa Tanzania na duniani. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageApril 18, 2019NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwita Waitara ametoa wito kwa wananchi na wadau wa maendeleo kushirikiana na serikali katika kukarabati nyumba za...
By Danson KaijageApril 12, 2019SERIKALI imetoa taarifa kwa Umma kuwa bado kuna ugonjwa wa homa wa Dengue hapa nchini licha ya kuwa ugonjwa huo, mpaka sasa hakuna...
By Danson KaijageApril 11, 2019Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameahidi kutoa Tsh. Milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa jengo...
By Hamisi MgutaApril 7, 2019TAASISI ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), imetangaza kutoa bure miguu bandia 600 kwa watu wenye ulemavu wa miguu. Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeApril 5, 2019WANAFUNZI waliomaliza Kidao cha IV mwaka 2018 na matokeo yao kutangazwa, sasa wanaweza kutumia mfumo maalumu kubadili chaguo za masomo na tahasusi kulingana...
By Danson KaijageMarch 29, 2019KUKAMILIKA kwa ujenzi wa jengo la Bohari ya Taifa ya chanjo, umesaidia kuokoa Sh. 10 bilioni kwa mwaka ambazo zingetumika katika kuhifadhi chanjo...
By Masalu ErastoMarch 28, 2019WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa maofisa elimu nchini kutojihusisha kwenye vitendo vya kupanga na kuiba mitihani ya kitaifa. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMarch 27, 2019WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa katika kila Watanzania 100,000, kati yao 269 wanahisiwa kuwa...
By Hamisi MgutaMarch 24, 2019NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea Taasisi ya Tiba ya mifupa, upasuaji wa ubongo,...
By Hamisi MgutaMarch 22, 2019ULAJI holela wa dawa za kupunguza maumivu ni moja ya sababishi ya ugonjwa wa Figo, imeelezwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo...
By Danson KaijageMarch 14, 2019SERIKALI imetangaza kuajiri walimu 4,549 wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2018/19 ili kupunguza uhaba wa walimu ulipo nchini....
By Danson KaijageMarch 1, 2019WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameishauri jamii kuwa na utaratibu na utamaduni wa kuchangiana kwenye matibabu pindi...
By Moses MsetiFebruary 27, 2019RAIS John Magufuli amefanya mazungumzo na Profesa Zhao Yuanil, Mkuu wa Idara ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa kutoka China kuhusu uboreshaji huduma...
By Regina MkondeFebruary 26, 2019CHAMA cha walimu Wilayani Chamwino mkoani Dodoma (CWT), kimelalamikia walimu kufanyishwa kazi siku za mwisho wa wiki (wikiendi) bila malipo wala chakula kinyume...
By Danson KaijageFebruary 21, 2019MPANGO wa Taifa wa Damu salama imetakiwa kuhakikisha Hospitali Binafsi zote zinaanza kuchangia gharama za huduma za afya ili kupata mgao wa damu....
By Masalu ErastoFebruary 13, 2019HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH), kesho inatarajia kuzindua rasmi maabara ya upasuaji magonjwa ya moyo ikiwemo matundu na kuziba kwa mishipa. Anaripoti Danson...
By Masalu ErastoFebruary 11, 2019WANAFUNZI 2,615 wa Shule ya Msingi Kanindo iliyopo Kata ya Kishili jijini Mwanza wanalazimika kusoma kwa zamu ili kuachiana vyumba vya madarasa vilivyopo kitendo ambacho kinaonekana...
By Moses MsetiFebruary 8, 2019MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Magonjwa ya Kibingwa ya Benjamini, Dk. Alphonce Chandika amesema, hospitali hiyo inatarajia kuanza kutibu ugonjwa wa selimundu kwa...
By Danson KaijageFebruary 7, 2019IKIWA leo tarehe 4 Februari 2019 dunia inaadhimisha siku ya saratani, serikali imeendelea kusisitiza wananchi kupima afya zao ili kukabiliana na ugonjwa huo....
By Regina MkondeFebruary 4, 2019SERIKALI imesema kuwa jumla ya wananchi 367,985 wa halmashauri ya wilaya ya Tarime wanapata huduma za afya katika hospitali ya wilaya hiyo Tarime...
By Danson KaijageJanuary 30, 2019DIWANI wa Kata ya Ipagala Gombo Dotto (CCM) amewataka viongozi wa kata hiyo, wazazi na walimu kushirikiana kwa ukaribu ili kuwezesha watoto wao...
By Danson KaijageJanuary 28, 2019MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne ya watahiniwa wa shule yanaonesha kuwa idadi ya watahiniwa waliofaulu imeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia...
By Danson KaijageJanuary 24, 2019KAMATI ya Siasa ya CCM mkoa wa Dodoma imeiagiza Bohari Kuu ya Dawa (MSD), kuhakikisha inapeleka vifaa tiba na dawa katika vituo vya...
By Danson KaijageJanuary 22, 2019HOSPITALI ya Rufaa ya KCMC imesitisha kutoa huduma za afya kwa wanufaika wa mashirika takribani saba kutokana na kudaiwa madeni yenye thamani ya...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2019SERIKALI imetaja magonjwa kumi yaliyochangia vifo kwa mwaka 2018 huku ugonjwa wa shinikizo la damu ukijitokeza katika magonjwa hayo na kuchangia vifo kwa...
By Danson KaijageJanuary 18, 2019SERIKALI imesema kuwa Watanzania wapatao 2,405,296 hadi kufikia tarehe Oktoba 2018 walipima VVU kupitia Kampeni ya ‘Furaha Yangu’ ambao ni sawa na asilimia...
By Danson KaijageJanuary 10, 2019MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amewataka watumishi wa umma katika idara mbalimbali mkoani humo kuacha kufanya siasa katika sehemu zao za...
By Moses MsetiJanuary 10, 2019KANISA la Tanzania Asembless of God (TAG) la Swaswa halisi limewahimiza wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule kwa wale wenye umri...
By Danson KaijageJanuary 5, 2019KWA kipindi ya miezi nane yaani Machi hadi Desemba mwaka jana Hospitali ya Benjamini Mkapa imewatibia wagonjwa 187 wa tezi dume. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageJanuary 5, 2019CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimemrudishia hadhi ya uanafunzi Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo baada ya kuondolewa chuoni...
By Regina MkondeJanuary 4, 2019WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imelaani na kukemea vikali vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoendelea kujitokeza nchini....
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2019SHIRIKA la Wototo Duniani (UNICEF) limeeleza kuwa siku ya mwaka mpya kutazaliwa watoto 395,072 ambapo nchini Tanzania watazaliwa watoto 5,500 ambao ni sawa...
By Faki SosiDecember 31, 2018BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamemaliza darasa la saba na kufaulu mitihani yao na kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza...
By Danson KaijageDecember 28, 2018SERIKALI imesema kuwa elimu inayostahili kutolewa nchini ni ile ambayo inajikita katika kutatua matatizo yote na ambayo ni bora na siyo bora elimu. Anaripoti...
By Danson KaijageDecember 5, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) kuhakikisha wanakamilisha kuleta vifaa...
By Masalu ErastoDecember 1, 2018LEO yaweza kuwa siku ngumu kwa utawala na baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) iwapo Dk. Vicensia Shule...
By Faki SosiNovember 30, 2018TAASISI ya Mifupa (MOI) imetakiwa kuanzia leo kuwasiliana na wateja wao kwa njia ya simu pale panapotokea mabadiliko ya watoa huduma kutokuwepo mahali...
By Masalu ErastoNovember 29, 2018WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kufyekelea mbali ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma katika taasisi za elimu...
By Regina MkondeNovember 27, 2018BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo tarehe 21 Novemba 2018 imeanza kupokea rufaa za mikopo kwa mwaka wa...
By Regina MkondeNovember 21, 2018SERIKALI imepiga marufuku walimu kuwachapa viboko wanafunzi kinyume na utaratibu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Agizo hilo limetolewa leo tarehe 13 Novemba 2018...
By Regina MkondeNovember 13, 2018TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imezuia udahili wa wananfunzi wapya katika vyuo vikuu vinne pamoja na kuamuru wanafunzi wake wa shahada ya...
By Regina MkondeNovember 9, 2018NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbulu mkoa wa Manyara,...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2018WATAHINIWA 733,103 kati ya 943,318 wamefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wa mwaka 2018. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitangaza matokeo hayo...
By Regina MkondeOctober 23, 2018WALIMU wa Shule ya Msingi Kibeta, Respicius Mtaganzira na Herieth Gerald wanaotuhumiwa kumuua kwa kukusudia aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo, Sperius Eradius, wamekana...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2018PRESHA imeshuka. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wanafunzi 682 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliofutiwa usajili kutakiwa kurejeshwa. Anaandika Regina Mkonde …...
By Regina MkondeOctober 22, 2018KUNDI la vijana wa kike wenye umri kuanzia miaka 10 hadi 24 limetajwa kuongoza kwa kupata maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (UKIMWI)....
By Mwandishi WetuOctober 20, 2018