Maisha
SERIKALI imeruhusu hospitali na zahanati za Shirika la Marie Stopes kuendelea kutoa huduma baada ya kufungiwa wiki kadhaa zilizopita kutokana na kukiuka miongozo...
By Regina MkondeOctober 17, 2018MADAKTARI nchini wamepigwa marufuku kuandika dawa za wagonjwa kwa kutumia majina ya kampuni kwa kuwa kitendo hicho kinasababisha baadhi ya wagonjwa kukosa dawa.Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2018Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amemtaka Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Diwani Athuman kutuma wataalamu...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2018WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameuagiza uongozi wa Hospitali ya Dini ya St.Francis kupunguza gharama za matibabu...
By Masalu ErastoOctober 5, 2018MASHINE kumi za mionzi (digital X-ray) zenye thamani ya Sh. 1.74 bilioni zimenunuliwa na serikali kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini....
By Mwandishi WetuOctober 2, 2018BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limefuta matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi wa mwaka 2018 katika shule zote za msingi...
By Regina MkondeOctober 2, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya , Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Waganga Wafawidhi kuonesha vipindi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2018WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itadhibiti matumizi mabaya ya baadhi ya dawa za hospitali na kemikali zinazowekwa katika vyakula, ambazo hutumiwa kama...
By Regina MkondeSeptember 17, 2018WATUMISHI takribani 29 wa Taasisi ya Elimu nchini (TIE) wamesimamishwa kazi na kufunguliwa mashtaka ya kinidhamu kutokana na sakata la baadhi ya vitabu...
By Regina MkondeSeptember 12, 2018KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde amesema kuwa kuanzia mwaka huu muundo wa mtihani ya darasa la...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2018MGANGA Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Bakari Kambi ameongoza timu ya wataalam wa Afya kutoka Wizara ya Afya na Shirika la Afya Duniani...
By Masalu ErastoAugust 31, 2018TUKIO la Mwalimu Respecious Patrick wa Shule ya Msingi Kibeta, iliyoko Bukoba mkoani Kagera anayedaiwa kumwadhibu mwanafuzi Sperius Eradius, na kupelekea mwanafunzi huyo...
By Regina MkondeAugust 30, 2018Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa kitendo cha Mwalimu kumpiga mwanafunzi hadi kufa ni cha bahati mbaya. Anaripoti Khalifa...
By Masalu ErastoAugust 29, 2018VIONGOZI wa dini zote wametakiwa kushirikishwa kwenye maandalizi ya mapambano ya ugonjwa wa ebola ambao umetaatifiwa upo nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia...
By Masalu ErastoAugust 29, 2018SERIKALI imetenga Sh. 30 bilioni kwa ajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya hospitali za Rufaa za Mikoa kila mkoa ili kuweza kuwawezesha...
By Masalu ErastoAugust 28, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yaendelea kuweka mikakati thabiti katika maeneo yote hatarishi ikiwemo mipakani na...
By Masalu ErastoAugust 27, 2018IDADI ya wagonjwa waliofanyiwa huduma ya kupandikizaa figo katika hospitali ya Taifa Muhimbili imefikia 19 tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo mwaka 2017. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 21, 2018WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) unaonesha...
By Masalu ErastoAugust 21, 2018SERIKALI ya China imetoa ufadhili kwa wanafunzi 20 kutoka nchini Tanzania kwa ajili ya kwenda China kusoma masuala yahusuyo mafuta na gesi. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 20, 2018AKINA Mama wajawazito wametakiwa kuwahi kliniki mara wanapohisi wana ujauzito na kufuata ushauri wa wataamu wa afya ili kuwakinga watoto wanaotarajia kujifungua dhidi...
By Masalu ErastoAugust 17, 2018MTANDAO wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umetoa shukrani kwa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kwa kukubali ushauri wao wa utaratibu mpya wa wanafunzi wa...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kuwa na mfumo mpya wa kielektroniki utakomwezesha mwanafunzi kuthibitisha chuo anachokwenda kusoma baada ya kuchaguliwa na...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya mkakati wa kuhakikisha watanzania wote wanaougua magonjwa ya damu watibiwe ndani ya nchi kwa kujengea uwezo hospitali zote...
By Masalu ErastoAugust 13, 2018UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya hali ya juu ili kujikinga na...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa idadi ya wanawake wanaotumia huduma za Afya za Kisasa...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amelitaka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kuvifungia vyuo visivyokidhi vigezo hasa...
By Regina MkondeAugust 9, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza jamii ya Tanzania juu ya utumiaji wa maji safi na...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amesema Serikali imejipanga kuandaa na kutoa mafunzo ya uwezeshaji wa programu za kisomo na...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, inatarajia kufanya udahili wa wanafunzi kwa asilimia 100 kutoka wanafunzi 150...
By Masalu ErastoAugust 6, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza kuwa huduma za uzazi kwa wajawazito zinatolewa bila ya malipo...
By Masalu ErastoAugust 1, 2018UPUNGUFU wa Kinga Mwilini (Ukimwi) ndio unaoonekana kuwa tishio lakini Ugonjwa wa Homa ya Ini unatajwa kuuwa Ukimwi na hata Kifua Kikuu. Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 29, 2018WATOTO tisa wenye umri kuanzia miezi mitatu hadi 17 wamefanyiwa upasuaji wa kufungua kifua na Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa watoto wa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2018SERIKALI inayoongozwa na Rais John Magufuli imepongezwa kwa kufanya vizuri katika utekelezaji wa kutoa na kuchukua hatua hasa katika magonjwa ya mlipuko. Anaandika Khalifa...
By Masalu ErastoJuly 26, 2018TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imeeleza kuwa, Virusi Vinavyosababisha Ukimwi (VVU) vinaendelea kusambaa na kwamba, wananchi wanapaswa kuwa na tahadhari. Anaripoti...
By Faki SosiJuly 24, 2018BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja...
By Faki SosiJuly 13, 2018MWENYEKITI wa Mtandao wa Wanafunzi Nchini (TSNP), Abdul Nondo amekitaja kikwazo kingine kwenye mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni Wakala wa Usajili,...
By Faki SosiJuly 12, 2018OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekabidhiwa msaada wa magari sita na shirika la USAID Global Health Supply...
By Danson KaijageJuly 10, 2018WAZAZI na walezi wenye watoto walemavu wa akili na viungo nchini wameiomba Serikali kuwakatia Bima ya Afya kwa ajili ya matibabu ya watoto...
By Christina HauleJuly 10, 2018SERIKALI imetoa ajira mpya za watumishi kada za afya katika Mamlaka za serikali za Mitaa (TAMISEMI) 6180 kwa mwaka wa fedha 2018/19. Anaripoti...
By Danson KaijageJuly 10, 2018TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeanza kutoa mafunzo kwa wanahabari wa vituo vya radio Jamii ili kuweza kusaidia kampeni ya...
By Danson KaijageJuly 7, 2018WANAFUNZI Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameandamana usiku huu kutoka kampasi kuu ya Mlimani mpaka mabweni ya Mabibo, wakisherekea ushindi wa rais...
By Charles WilliamMay 23, 2018SERIKALI imesema kuwa ni vigumu kupata idadi ya wanafunzi waliopewa mimba ba madereva wa pikipiki maafuru kwa madereva wa bodaboda. Anaripoti Dany Tibason...
By Danson KaijageMay 23, 2018SERIKALI imesema kuwa imefanikiwa kukamata vifaa mbalimbali ambavyo ni dawa na vifaa tiba ambavyo havifai kwa matumizi ya binadamu, katika vituo vya tiba...
By Danson KaijageApril 10, 2018VIJANA wengi wanaomaliza elimu ya juu wanatakiwa kuachana na fikra za kutaka kuajiriwa na serikali na badala yake wafikirie kutumia elimu yao kwa...
By Danson KaijageApril 9, 2018SERIKALI imesema kuwa baadhi ya Mameneja, Wakurugenzi pamoja na wamiliki wa shule binafsi na vyuo wanalalamikiwa kwa vitendo vya rushwa ya ngono hasa...
By Danson KaijageApril 6, 2018KAMPUNI ya Mawakala wa Elimu Solution Ltd, imetoa ufafanuzi jinsi wanavyo wadhamini wanafunzi wa vyuo vikuu, wajasiliamali, na wafanyakazi kwenda kusoma nchini China,...
By Bupe MwakitelekoJanuary 17, 2018WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamemtuhumu Rais wa serikali yao, kwa kukiuka katiba na kutumia nafasi yake kufanya mambo...
By Faki SosiJanuary 16, 2018BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB), imetangaza vita dhidi ya waajiri hapa nchini ikiwamo wale wa serikali ili...
By Hamisi MgutaJanuary 3, 2018IKIWA ndani ya mwaka mpya watoto 48,000 wamezaliwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini shirika la watoto duniani Unicef limezisihi nchi za ukanda...
By Faki SosiJanuary 1, 2018MPANGO wa Damu Salama, unakabiliwa na uhaba wa vitanda kwa vinavyotumiwa na watu wanaofika hapo kwa ajili ya kuchangia damu kwa hiari, anaandika...
By Masalu ErastoDecember 19, 2017