March 2, 2021

Uhuru hauna Mipaka

NECTA watangaza matokeo ya kitado cha sita

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde

Spread the love
BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). 

Shule nyingine zilizoshika mkia ni Forest ya (Morogoro), Jang’ombe, St James, Kilolo,(Iringa),  White Lake,(Dar es Salaam) Aggrey,(Mbeya), Nyailigamba,(Kagera) Musoma Utalii, (Mara)  Ben Bella(Mjini Magharibi) na Golde Ridge(Geita).

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde, Mjini Zanzibar.

Kuangalia matokeo kamili ingia hapa 

error: Content is protected !!