Kimataifa
Mwanawe Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amemwandikia Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ujumbe ulioibua mjadala mzito miongoni mwa mataifa hayo...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022RAIS wa Mali aliyeondolewa madarakani, Ibrahim Boubacar Keita amefariki akiwa na umri wa miaka 76, familia yake na rafiki zake wamesema. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022Mwenyekiti wa Chama cha ODM nchini Kenya, Elgeyo Marakwet Micah Kigen amemkosoa kiongozi wake na mgombea urais wa chama hicho Raila Odinga...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2022WAHENGA husema kipendacho roho hula nyama mbichi na miaka si chochote wala lolote mbele ya mapenzi, miaka ni namba tu. Hilo limejitokeza...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2022Musah Noah Kamara, mchezaji kandanda wa Sierra Leone, ameagwa kwa mapenzi na bashasha la kipekee kutoka kwa mkewe wakati akijiandaa kuelekea katika...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2022POLISI nchini Liberia wamemkamata na kumfungulia mashtaka mwanamume mmoja raia wa Sierra Leone mwenye umri wa miaka 29 kwa madai ya kujaribu...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2022RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura Nyusi wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona na sasa wamejitenga kwa muda. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2022WATU wenye silaha wamedaiwa kujaribu kumuua Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry wakati wa sherehe ya kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru wa nchi...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2022WAZIRI Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok, aliyewekwa madarakani na jeshi la nchi hiyo Novemba 2021, amejiuzulu kufuatia maandamano ya wananchi, wanaoshinikiza utawala...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2022SERIKALI ya Afrika Kusini ambako ndiko aina mpya ya kirusi cha Corona (Omicron) ilianzia, imesema huenda wimbi la sasa la maambukizi limeshapita kilele...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021Mazishi ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Afrika Kusini na mwanaharakati wa muda mrefu dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021Nguli wa muziki wa Rhumba kutoka Congo, Général Defao (63) amefariki dunia nchini Cameroon alikokwenda kutumbuiza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Defao...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021RAIS wa Somalia, anayemaliza muda wake, Mohamed Abdullahi Farmajo, amemsimamisha kazi Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble, ili kupisha uchunguzi...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2021MWILI wa aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu Afrika Kusini, Desmond Tutu, unatarajiwa kuzikwa Jumamosi, tarehe 1 Januari 2022, mjini Cape Town, nchini humo....
By Mwandishi WetuDecember 27, 2021ASKOFU mkuu mstaafu nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu amefariki dunia leo Jumapili, tarehe 26 Desemba 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tutu...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2021UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE), zimesitisha safari za ndege kwa abiria wanaotoka nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia na Nigeria, huku ikiongeza...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2021SHEREHE za kumpata mshindi wa kula mkate na kunywa soda jana tarehe 22 Disemba, 2021 ziliisha kwa simanzi, baada ya mwanafunzi mmoja...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2021WAKENYA ambao hawatokuwa na cheti cha kupokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona hawatoruhusiwa kupokea huduma za serikali ya Kenya ifikapo mwishoni...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2021MKE wa Rais wa Ufaransa, Brigitte Macron amesema anatarajia kuchukua hatua za kisheria kuhusu madai ya mitandao ya kijamii kwamba yeye alizaliwa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo tarehe 22 Disemba, 2021 wamekutana na kujadili ajenda ya kuiruhusu Jamhuri ya...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021JESHI la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mmiliki wa shamba, Gelvas Bambo pamoja na wenzake watatu kwa kosa la kufanya vurugu na kuchoma...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021MCHANGO wake Naibu Rais wa Kenya, William Ruto wa Sh milioni 20.3 kwa kukindi akiba na mikopo kilichoundwa na wanawake wanaojihusisha na...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021RAIS wa Congo-Brazzaville, Denis Sassou-Nguesso (78), amewekwa karantini baada ya watu kadhaa wa karibu naye kuthibitishwa kuwa wana maambukizi ya virusi vya...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021OMBI la nchi ya Kidemokrasia ya Congo ( DRC), kujiunga katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), linatarajiwa kujadiliwa tarehe 22 Desemba 2021....
By Regina MkondeDecember 18, 2021TAASISI ya Usimamizi wa Dawa ya Ulaya – (EMA), imeidhinisha matumizi ya aina mbili za dawa za kutibu maradhi ya COVID-19, pamoja...
By Faki SosiDecember 17, 2021KANSELA mpya wa Ujerumani, Olaf Scholz amelihutubia kwa mara ya kwanza bunge leo Jumatano, tarehe 15 Desemba 2021 na kuelezea miongozo ya...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021Mahakama ya Afrika Kusini imeamua rais wa zamani wa Taifa hilo, Jacob Zuma anapaswa kurejea gerezani, kwa sababu msamaha wa kimatibabu aliopewa...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021MRITHI wa Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amepatikana leo mjini Berlin, kufuatia Bunge la nchi hiyo, kumuidhinisha Olaf Scholz kuwa Kansela mpya. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2021Takriban wafungwa 38 wamefariki dunia na wengine 69 kujeruhiwa katika ajali ya moto ulioteketeza gereza kuu la mji mkuu wa Burundi – Gitega...
By Gabriel MushiDecember 7, 2021Polisi katika jimbo la Maharashtra – Magharibi mwa India wamemkamata kijana anayeshukiwa kumkata kichwa dadake mkubwa aliyekuwa mjamzito. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Gabriel MushiDecember 7, 2021Rais wa Gambia, Adama Barrow ameshinda tena uchaguzi mkuu wa nchi hiyo katika kura zilizopigwa kwa mara ya kwanza kwa miongo kadhaa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021KATI ya wanakwaya 24 ambao wameripotiwa kufariki dunia kutokana na ajali mbaya ya basi iliyotokea katika mto wa Enziu, eneo la Mwingi...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021DUNIANI kuna mambo ya kushangaza, ndivyo unaweza kutafisiri Uchaguzi Mkuu wa Gambia baada ya kushuhudiwa wananchi wa taifa hilo lililo magharibi mwa...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021Serikali ya Uganda na ubalozi wa China mjini Kampala wamekanusha ripoti kwamba China inaweza kuchukua udhibiti wa uwanja wa ndege wa kimataifa...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Usafirishaji nchini Uganda, Jenerali Edward Wamala ameagiza kusimamishwa kazi wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Uganda baada ya video...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MATAIFA mbalimbali duniani ikiwemo Ufaransa yameanza kuzuia safari za ndege kutoka mataifa ya Kusini mwa bara la Afrika, baada ya aina mpya ya...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021BONDIA mstaafu raia wa Marekani, Mike Tyson ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021MAGAIDI watatu walionaswa kichakani katika kijiji cha Kamuluyuni kilichoko kaunti ya Kitui nchini Kenya baada ya kutoroka gereza la Kamiti, walijaribu kuwahonga...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021MWANAMKE mmoja raia wa Kenya aliyefahamika kwa jina la Karambu Meme (40) anadaiwa kumshambulia na kumkata korodani mumewe Meme Kabati (56) kwa...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni aamesema waasi wa kundi Allied Democratic Forces (ADF) linastahili kujisalimisha na kusisitiza kuwa serikali yake imejitolea kukabiliana...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021TAASISI ya Usimamizi wa Dawa nchini Uingereza (NHS) pamoja na mashirika mengine ya msaada imeidhinisha matibabu ya sindano mpya yenye ufanisi wa...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2021SIKU chache baada ya wafungwa watatu wa ugaidi nchini Kenya kutoroka katika gereza lenye ulinzi mkali, askari saba waliokuwa wanalinda gereza hilo...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2021JUMLA ya watu sita wameripotiwa kupoteza maisha nchini Uganda na wengine 33 kujeruhiwa vibaya kutokana na milipuko ya bomu iliyotokea leo asubuhi...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021KATIKA milipuko miwili ya bomu iliyotokea leo asubuhi katikati mwa jiji la Kampala nchini Uganda, imedaiwa kusababisha majeruhi na vifo vya watu...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021JUMLA ya watu 400 raia wa Misri wamelazwa hospitalini baada ya kung’atwa na nge na kujeruhiwa katika sehemu mbalimbali za miili yao. Pia...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021Milipuko miwili imetokea katikati mwa jiji la Kampala nchini Uganda na kujeruhi watu kadhaa ambao idadi yao haijajulikana. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea)...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021MWANAHARAKATI na mmiliki wa chaneli ya Ishema TV katika mtandao wa Youtube, Dieudonné Niyonsenga amehukumiwa kwenda jela miaka saba na kulipa faini...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021NI takribani miaka 34 imepita tangu kuuawa kwa aliyekuwa Rais wa Burkina Faso, Thomas Sankara. Lakini kesi juu ya mauaji yake imeanza...
By Masalu ErastoNovember 11, 2021RAIS wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, Frederik Willem de Klerk amefariki dunia akiwa na umri...
By Masalu ErastoNovember 11, 2021RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemfuta kazi Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo, Jaime Augusto Neto bila kufafanua sababu halisi za kumchukua...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2021