Kimataifa
URUSI imesitisha mashambulizi katika miji mingi zaidi ya nchini Ukraine leo tarehe 7 Machi, 2022 ili kuruhusu raia kuondoka, Anaripoti Mwandishi wetu …(endelea)....
By Gabriel MushiMarch 7, 2022KUNDI la wanaharakati huko Urusi limeripoti kwamba padre ambaye alitoa mahubiri ya kupinga vita nchini Ukraine Jumapili, amekamatwa na anatarajiwa kufunguliwa mashtaka leo...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022Serikali ya Urusi imewaandalia ushoroba salama wa kupitia wanafunzi wa kitanzania waliokwama Ukrenia katika Chuo cha Taifa cha Sumy ambapo wataondoka kupitia Urusi....
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022Wachambuzi wengi wa tukio la uvamizi wa Urusi nchini Ukrenia wamekuwa wakilinganisha ukubwa wa jeshi la Putin na lile la Zelensky. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi, amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya, baada ya kulifanyia mabadiliko Baraza lake la Mawaziri wiki hii....
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022RAIS Putin ametoa onyo kwa wale wanaopinga hatua ya Urusi nchini Ukraine “kutozidisha tatizo kuwa baya zaidi” kwa kuiwekea nchi yake vikwazo...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022KATIBU Mkuu wa Umoja wa Kujihami-NATO, Jens Stoltenberg, amekutana na Katibu Mkuu wa Marekani, Antony Blinken pamoja na mawaziri wa mambo ya...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022WAMILIKI wa meli kutoka Estonia wamesema meli yao imezama katika pwani ya Ukreini baada ya kutokea mlipuko. Inaripoti BBC … (endelea). Wamiliki...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022UKREINI imesema majeshi ya Urusi yameshambulia na kuteka mtambo wa kuzalisha nishati ya nyuklia wa Zaporizhzhia ambao ni mkubwa zaidi barani Ulaya....
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022NAIBU Rais wa Serikali ya Kenya, William Ruto amesema kuwa kuna usaliti na vitisho vingi katika harakati za kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022WAKATI watu zaidi ya milioni moja wakiripotiwa kuikimbia Ukraine, wengine wameamua kujitokeza na kuandamana barabarani kuzuia uvamizi wa majeshi ya Urusi. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022KWA mara ya kwanza Urusi imetangaza vifo vya wanajeshi wake 498 na wengine 1,597 kujeruhiwa tangu kuanza kwa vita kati yake na Ukraine....
By Gabriel MushiMarch 3, 2022Vikosi vya Jeshi la Urusi vimeendelea kusonga mbele katika kushambulia na kuteka miji muhimu nchini Ukraine ambapo wanadai kuuteta mji wa Kherson...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022JESHI la Ukraine limedai kuua wanajeshi 5,840 wa Urusi tangu kuanza kwa vita kati ya nchi hizo mbili siku saba zilizopita. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MWIMBAJI mwenye umbo la mbilikimo kutoka nchini Guinnea, Moussa Kaba maarufu kama Grand P amemvalisha pete mpenzi wake mwenye umbo matata raia...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu ICC inatarajia kuanza uchunguzi kuhusu uwezekano wa uhalifu wa kivita nchini Ukraine hali ambayo inatafsiriwa kumweka matatani...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MBAHARIA mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na Mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022TAKRIBAN wanajeshi 70 wameuawa katika shambulio la mizinga lililofanywa na wanajeshi wa Urusi katik miji muhimu ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022WAKATI mapigano kati ya majeshi ya Urusi na Ukraine yakiingia siku ya nne, taarifa zinaeleza kwamba Urusi imekumbana na upinzani mkali ambao...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikiendelea kwa siku ya nne mfululizo, Umoja wa Mataifa umetoa taarifa kuwa hadi sasa jumla...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden amemteua mwanamke wa kwanza mweusi kuwa jaji wa Mahakama ya Juu kabisa nchini humo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikizidi kushika kasi kwa siku ya tatu mfululizo, imeelezwa kuwa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden ametia saini mkataba wa kutoa fedha kiasi cha Dola za Marekani milioni 600 (sawa na Sh trilioni...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022WAKATI leo tarehe 26 Februari, 2022 ikiwa ni siku ya tatu tangu kuibua kwa vita kati ya mataifa Ukraine na Urusi, imeelezwa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022RAIS wa Ukraine, Volodomyr Zelenskky, amesema dunia imewaacha peke yake katika mapambano ya kivita dhidi ya Urusi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022NCHI ya Urusi, imeanzisha rasmi mapigano ya kijeshi katika mikoa ya mashariki ya Ukraine, baada ya Rais wake, Vladimir Putin kutangaza operesheni...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2022LICHA ya kupata chanjo tatu za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona, janga hilo limebisha hodi katika familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg amesema Urusi imepanga kufanya mashambulizi dhidi ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022KIJIJI cha Mafi Dove ni kijiji kinachopatikana katika mkoa wa Volta kusini mashariki mwa nchi ya Ghana. Ni kijiji chenye tamaduni za...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2022Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez amekamatwa na polisi nyumbani kwake kufuatia ombi la Marekani la kutaka kiongozi huyo apelekwa nchini...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022MBWA mmoja aliyepatiwa jina Boji, anapenda kutumia mabasi ya umma, treni na boti kusafiri katika jijini la Istanbul, Uturuki. Licha ya kwamba hakuna...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2022OFISI ya Mwendesha Mashtaka ya Kijeshi imeomba kifungo cha miaka 30 jela dhidi ya Rais wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaoré...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022WACHUNGUZI kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema wanao ushahidi wa kutosha unaoonyesha hatua kwa hatua namna maadui wanavyotaka kuiyumbisha nchi hiyo....
By Kelvin MwaipunguFebruary 9, 2022RAIS wa Senegal, Macky Sall ametangaza leo Jumatatu tarehe 7 Februari, 2022 kuwa siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wa timu ya taifa...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022MWANAJESHI wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwanajeshi...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2022MAPINDUZI yameripotiwa katika nchi ya Afrika Magharibi ya Guinea-Bissau, yamesababisha vifo vya maafisa kadhaa wa vikosi vya usalama, rais wake anasema. Inaripoti...
By Mwandishi MaalumFebruary 2, 2022RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amepinga uamuzi wa Askofu wa Kanisa la Uganda la kuwazuia wasichana wajawazito kurudi shuleni baada ya shule...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022KIONGOZI mpya wa kijeshi wa Burkina Faso ameahidi kurejea kwa utaratibu wa kawaida wa kikatiba wakati hali itakapokuwa sawa. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni ameshutumu vikali mapinduzi yaliyotekelezwa nchini Burkina Faso dhidi ya serikali ya Rais wan chi hiyo, Roch Marc...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022MKUU wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus ana uhakika wa kuiongoza taasisi hiyo kwa muhula wa pili baada ya kupigiwa...
By Gabriel MushiJanuary 26, 2022Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anajiandaa kubaki au kutoka ofisini baada ya kukamilika kwa matokeo ya uchunguzi wa sherehe zilizofanyika katika makazi...
By Gabriel MushiJanuary 26, 2022Jeshi nchini Burkina Faso limetangaza kutwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Tangazo hilo la jeshi limetolewa kupitia...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022GAVANA wa Benki ya Uganda, Emmanuel Tumusiime-Mutebile amefariki dunia akiwa nchini Kenya alipokuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Nairobi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022Rais wa Burkina Faso, Roch Marc Christian Kaboré amezuiliwa katika kambi ya jeshi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto amethibitisha rasmi kuwa chama kipya cha UDA kitaingia katika ushirikiano na chama cha Musalia Mudavadi –...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imeziagiza familia za wanadiplomasia na wafanyakazi wasio wa dharura kwenye ubalozi wa Marekani mjini Kiev kuondoka...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022MKUU wa jeshi la wanamaji nchini Ujerumani, Kay-Achim Schoenbach amejiuzulu, kufuatia matamshi yake yenye utata kuhusu mzozo wa Ukraine. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anakabiliwa na kitisho katika utawala wake baada ya wabunge kadhaa wa chama chake kupanga kuwasilisha barua za...
By Gabriel MushiJanuary 19, 2022SIMBA na Puma katika bustani ya wanyama ‘zoo’ nchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wahudumu wao. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022Mwanawe Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amemwandikia Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ujumbe ulioibua mjadala mzito miongoni mwa mataifa hayo...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022