MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amewekwa njia panda na baadhi ya wabunge wa chama chake hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2019MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma, imetoa amri ya kuzuia kufanyika uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, hadi shauri la madai...
By Regina MkondeMarch 20, 2019MAMBO yanzidi kwenda kombo ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) ambapo Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo alikabidhiwa lundo la kadi...
By Bupe MwakitelekoMarch 20, 2019MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemweleza Zitto Kabwe kwamba sio mnafiki. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akikaribishwa Makao...
By Yusuph KatimbaMarch 19, 2019HATUA ya Maalim Seif Shariff Hamad kundoka katika Chama cha Wananchi (CUF) na kuhamia Chama cha ATC-Wazalendo imeathiri chama chake cha awali. Anaripoti Bupe...
By Bupe MwakitelekoMarch 19, 2019UAMUZI wa Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo umekwenda sambamba na kubebwa kisha...
By Masalu ErastoMarch 18, 2019MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 18 Machi 2019 ametangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti...
By Regina MkondeMarch 18, 2019HATIMAYE Mahakama Kuu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo tarehe 18 Machi 2019 imetoa uamuzi kwamba, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ni mwenyekiti halali wa...
By Faki SosiMarch 18, 2019KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), yuko mbioni kuondoka chama hicho na kujiunga na moja ya vyama viwili vikubwa vya kisiasa nchini....
By Mwandishi WetuMarch 18, 2019JOSHUA Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki amemtaka Spika Ndugai kupitia upya uamuzi wake ambao haujazingatia ubinadamu na hata kupewa nafasi ya kusililizwa. Anaripoti...
By Faki SosiMarch 17, 2019HATIMAYE Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francies Mutungi, amekamilisha kazi...
By Hamisi MgutaMarch 16, 2019JINA la Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) linakwenda ukingoni ndani ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeMarch 16, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesikitishwa na hatua ya “waziri mkuu mstaafu,” Edward Lowassa, kukihama chama hicho. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea)....
By Hamisi MgutaMarch 15, 2019FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa amesema, amekutana na mambo ya kuumiza alipkuwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini...
By Faki SosiMarch 15, 2019HATUA ya Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) kuandika taarifa ya kusitishiwa mshahara na stahiki zingine na Ofisi ya Bunge, imemsukuma Job...
By Bupe MwakitelekoMarch 15, 2019HATUA ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutangaza kumvua ubunge mbubge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Arumeru Mashariki,...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2019SPIKA wa bunge Job Ndugai amemwandikia barua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Semistocles Kaijage kumtaarifu kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Joshua...
By Danson KaijageMarch 14, 2019MADAI ya Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kwamba, amesitishiwa mshahara na stahili zake zingine za kibunge yameshindwa kupatiwa ufafanuzi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Madai...
By Regina MkondeMarch 14, 2019FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, anakumbana na misukosuko mfululizo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Uongozi wa Wilaya...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2019PROFESA Ibrahim Lipumba ametwaa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Miongoni mwa majukumu ya leo...
By Bupe MwakitelekoMarch 13, 2019DIANA Simba, mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 13 Machi 2019, amejitokeza na kumwaga sera kwamba, anaweza kuongoza chama hicho bila...
By Regina MkondeMarch 13, 2019MBUNGE wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko wote Chadema wamekuwa kuvutio katika ukumbi wa Pius Msekwa kwa kushangiliwa...
By Danson KaijageMarch 12, 2019SIMU iliyopigwa na Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ‘iliwapoza’...
By Masalu ErastoMarch 12, 2019WAKATI wengine wakimtete Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 na kuamua kuhamia CCM tarehe 1 Machi 2019, Umoja...
By Danson KaijageMarch 11, 2019KESI ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini imekwama baada ya kiongozi huyo mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na wadhamini wake...
By Faki SosiMarch 11, 2019MIKAKATI inayofanywa na Kambi ya Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambiliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ina lengo...
By Faki SosiMarch 11, 2019NDEGE ya kampuni ya Ethiopia aina ya Boeing 737 iliyokuwa ikisafiri kutoka Adis Ababa kuelekea Nairobi imeanguka Jumapili asubuhi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2019ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Light House Christian Center Dar es Salaam, Dk. Rejoice Ndalima amewakemea baadhi ya watu ambao wanajiita watumishi wa...
By Danson KaijageMarch 10, 2019MGOGORO ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) unachochewa na waliopo nje ya chama hicho hivyo kuwa na wakati mgumu kumalizwa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Siku...
By Regina MkondeMarch 9, 2019VIJANA kwa wazee mkoani Arusha leo tarehe 9 Machi 2019 wamejitokeza kumpokea Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2019HATUA ya Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema kurejea CCM imetajwa kwamba ni usaliti kwa waliomwamini na kumpigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu...
By Regina MkondeMarch 8, 2019MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imewarejesha uraiani wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (Hai) na Esther...
By Faki SosiMarch 7, 2019SAFARI ya mwisho ya Ephrahim Kibonde, mtangazaji na Mahiri wa Clouds FM aliyekuwa akitangaza kipindi cha Jahazi, ilishika kasi siku ya mazishi ya...
By Bupe MwakitelekoMarch 7, 2019SIKU tatu baada ya kufariki Ruge Mutahana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group (CMG), Ruge Mutahaba, leo tarehe 7...
By Bupe MwakitelekoMarch 7, 2019HAMISI Mgeja, swahiba wa Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, leo tarehe 6 Machi 2019 ametangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Kelvin Mwaipungu...
By Kelvin MwaipunguMarch 6, 2019MBUNGE wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu, “amempasha,” Prof. Palamagamba Kabudi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Lissu...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2019WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa, yuko mbioni kueleza ulimwengu, kilichomsukuma kuondoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kurejea Chama...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2019MVUA kubwa imenyesha jiji Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumapili na bado inaendelea “kupiga” katika maeneo kadhaa jijini hapa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2019WAZIRI mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa, ametangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Lowassa aliondoka CCM katikati ya mwaka 2015, kufuatia chama hicho...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2019WAZIRI Mkuu Mstaafu wa serikali ya awamu ya nne, Edward Lowassa amerejea CCM akitokea Chadema. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Lowassa amerejea CCM...
By Regina MkondeMarch 1, 2019MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kupinga Mahakama Kuu, kusikiliza maombi ya kurejeshewa dhamana kwa wabunge...
By Faki SosiMarch 1, 2019NIA na dhamira ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa mlezi wa Ruge Mutahabu, mwanahabari aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) yamekatizwa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, kufuatia shahidi wa upande wa mashitaka...
By Faki SosiFebruary 28, 2019KIWANDA cha Bora kilichopo maeneo ya Tazara, barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam kinawaka moto. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2019SHAHIDI wa Serikali katika kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo amekwamisha tena kesi hiyo kwa kinachodaiwa kuwa amepata dharura iliyomfanya...
By Faki SosiFebruary 27, 2019EMMANUEL Papian, Mbunge wa Kiteto kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuukana ukweli mbele ya kadamnasi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2019MKURUGENZI wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia leo nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Khalifa Abdallah...
By Masalu ErastoFebruary 26, 2019WABUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF), wamelalamikia hatua ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, kuchelewa kutoa maamuzi kwenye mashauri kadhaa yaliyofunguliwa na...
By Regina MkondeFebruary 26, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imekataa ombi la serikali kutaka itolewe hati ya kukamatwa mwanasiasa wa upinzani nchini, Tundu...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2019NI wachache kati ya wananchi wanaokuwa kwenye ukumbi wa mahakama huendelea kutarajia kusikia hukumu ya kesi wanayoifuatilia baada ya kumuona asiyekuwa jaji msikilizaji...
By Jabir IdrissaFebruary 25, 2019