March 2, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Kiwanda cha Bora chateketea kwa Moto

Spread the love

KIWANDA cha Bora kilichopo maeneo ya Tazara, barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam kinawaka moto. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Taarifa za awali zinaeleza kuwa, kiwanda hicho kinachotengeneza viatu kimeanza kuungua tangu majira ya saa 10 alfajiri ya leo tarehe 28 Februari 2019.

Kikosi cha zimamoto kiko eneo la tukio kinaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE kwa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.

error: Content is protected !!