Friday , 19 April 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

Zitto kufuata nyayo za Tundu Lissu

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amefuata nyayo za Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kufanya ziara nchini Ujerumani. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za SiasaTangulizi

Kamatakamata; Lijuakali, Kiwanga wawindwa

PETER Lijuakali, Mbunge wa Kilombero na Susan Kiwanga, Mbunge wa Jimbo la Mlimba yote ya mkoani Morogoro wanawindwa na Jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba aanza kupotea

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, amemzidi kete, Prof. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Msajili...

Habari za SiasaTangulizi

‘Bao la Mkono’ lamtoa chozi Nape 

NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi sasa anajutia kauli yake ‘bao la mkono’ aliyoitoa miaka minne iliyopita. Anaripoti Bupe Mwakiteleko...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko ‘ngoma bado mbichi’

MAHAKAMA ya Rufani leo tarehe 18 Februari 2019 imeanza kusikiliza rufaa ya serikali ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kusikiliza rufaa ya...

Tangulizi

Rufaa ya Mbowe ulinzi mkali waimarishwa

ULINZI makali umeimarishwa na Jeshi la Polisi na Magereza kwenye Mahakama ya Rufani wakati mahakama hiyo ikijiandaa kutoa uamuzi wa rufaa ya Freeman Mbowe na...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba, Maalim Seif nani kununa leo?

UAMUZI utakaofikiwa leo tarehe 18 Februari 2019 na Jaji Benhajj Masoud wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kuhusu wajumbe halali wa...

Habari za SiasaTangulizi

Hakuna serikali moja – Dk. Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amekana kuwepo mpango wa kuupeleka Muungano wa Tanzania kuwa wa...

MichezoTangulizi

Kocha wa Simba afichua siri ya ushindi dhidi ya Yanga

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga, kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amedai kuwa klabu yake ilistahili kushinda...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda aungana na wanaomgwaya Lissu

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amedai kuwa mwanasiasa mashuhuri nchini kwa sasa, Tundu Lissu, asijadiliwe kwa kuwa hajaweza kupona...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuvunja ‘mwiko’ wa JPM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepanga kuvunja kauli ya Rais John Magufuli ya kukataza mikutano ya hadhara. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kimeeleza...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea atoa neno zito, agawa madawati

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amekabidhi madawati 290 yatakayotumika katika shule za Msingi na...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Ninamashaka na wanaotaka nirejee

MWANASIASA mashuhuri nchini na ambunge wa upinzani katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, ametilia mashaka “uadilifu” wa watu wanaomng’ang’aniza kurejea nyumbani. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mkakati kumvua Lissu ubunge wavuja     

MKAKATI wa kumvua ubunge, Mwasheria Mkuu wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (CHADEMA) na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni, Tundu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif kukinukisha

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema, amechoka kuchezewa. Amesema muda siyo mrefu atakinukisha. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Zanzibar…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Uhujumu uchumi NIDA: TAKUKURU wamtaka kumhoji upya mtuhumiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeombwa kufanya mahojiano upya na Xavery Kayombo, anayeshitakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Karibu nitawataja walionishambulia – Tundu Lissu

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, anaendelea “kumwaga sumu,” katika nchi kadhaa Ulaya na...

MichezoTangulizi

‘Ulissu’ wamponza Michael Wambura

MICHAEL Richard Wambura, aliyepata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), amepandishwa kizimbani jijini Dar es Salaam. Ameshitakiwa kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu abadili upepo siasa za CCM

SIASA ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinazidi kuchukua sura mpya baada ya  kujielekeza kwenye  mashambulizi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). CCM imeanza utaratibu...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto rasmi UKAWA bungeni

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) na kiongozi mkuu wa chama hicho, Zitto Zuberi Kabwe, sasa ameruhusiwa kujiunga rasmi na kambi ya upinzani bungeni....

Habari za SiasaTangulizi

Uwanja wa ndege Chato, waibua mapya

SERIKALI imeamua kupandisha hadhi baadhi ya mapori ya akiba kuwa hifadhi za taifa yaliyopo kwenye mikoa ya Geita na Kigoma, ili kujisafisha na tuhuma za...

Habari za SiasaTangulizi

Mshahara wa Lissu, sasa kaa la moto

MJADALA juu ya kusimamishwa mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, umezidi kupamba moto. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ambaye...

Habari za SiasaTangulizi

Sheria nyingine ‘katili’ yaja, ni ile ya Majengo, sasa hadi matembe kulipa kodi

SERIKALI ya Rais John Pombe Magufuli, sasa imeamua “kula matapishi yake.” Jumamosi wiki hii, inarudi tena bungeni kuwasilisha mabadiliko mengine kwenye Sheria Mpya...

Habari za SiasaTangulizi

Njama za kumnyima mshahara wa ubunge Lissu hizi hapa

KUNA njama zinasukuwa na ofisi ya Bunge za kutomlipa mshahara, posho na stahiki nyingine, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika...

Habari za SiasaTangulizi

Heche, Zitto waivuruga serikali

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CHADEMA/UKAWA), John Heche, amezua tafrani bungeni, kufuatia hatua yake ya kuituhumu serikali kuwa imejifunga kwenye mkataba wa kitapeli na...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lazidi kuikaanga serikali ya Magufuli

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imetoa mapendekezo 19 kwa serikali, yanayohitaji kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu atinga kwa Obama

MWANASHERIA mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasili jijini Washington, nchini Marekani ili kuzungumza katika mdahalo wa aina yake...

Habari za SiasaTangulizi

Nape  Nnauye ajiuzulu

NAPE Nnauye, amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii. Kujiuzulu kwake, kunatokana kile kinachoitwa, “kugoma kunyofoa baadhi ya...

Tangulizi

Kesi ya uchochezi; Mahakama yamtaka mdhamini wa Lissu

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomas Simba ameagiza wadhamini wa Tundu Lissu katika kesi inayohusu tuhuma za uchochezi kupitia...

Habari za SiasaTangulizi

Mwambe ataka kuundwa Kamati ya Bunge kuchunguza ujenzi wa Viwanda  

MBUNGE wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe, amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuunda Kamati Maalum ya Bunge, ili kuchunguza utekelezaji wa sera ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kuelekea 2020: Ndugai aanza kumpigia chapuo Rais Magufuli

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameanza kampeni ya kumnadi Rais John Magufuli. Ameagiza kuandaliwa muswada wa Bima ya Afya kwa wote, kabla ya...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli anadanganywa na wasaidizi wake – Silinde

DAVID Silinde, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Momba, mkoani Songwe amesema, Rais John Magufuli, amezunguukwa na watu...

Habari za SiasaTangulizi

Haihitajiki ‘damu mpya’ kuijenga Z’bar

WAZANZIBARI wanaoamini katika utawala mwema unaojali haki, ushirikishwaji na utu, wameshiriki kwa mara nyengine tukio la kukumbuka mauaji ya wananchi wenzao yaliyotokea miaka...

Habari za SiasaTangulizi

Rais wa TFF achafua hali ya hewa, Chadema wamvaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kauli ya ukakasi iliyotolewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Korosho: Mbunge ajiweka rehani

MBUNGE wa Nchinga kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Hamidu Hassan Bobali, ameituhumu serikali kudhulumu wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema atoboa siri ya wizi wa Sh. 2.4 trilioni  

MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Mara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Catherine Ruge, “ameivua nguo serikali.” Amesema, kiasi cha Sh. 2.4...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Tril. 1.5 majibu ni haya

BUNGE limetoa ufafanuzi kuhusu ‘upotevu’ wa kisasi cha Sh. 1.5 trilioni zilizoelezwa kutojulikana matumizi yake katika Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Chadema wamsuta Spika Ndugai

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemjibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuhusu ya matibabu ya mbunge wake wa Singida Mashariki,...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai: Bunge limemlipa Lissu mamilioni

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri, ameueleza umma kuwa, Tundu Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki amelipwa Sh. 250 milioni na...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai: Nilimchapa viboko mpinzani wangu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, amekiri kumshambulia kwa fimbo Dk. Joseph Chilongani, ambaye aliyekuwa mmoja wa washindani wake wenye nguvu wakati...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko mahakamani tena

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko, kesho Alhamisi, tarehe 30 Januari, wanarudi...

Habari za SiasaTangulizi

Uungu’ wa Msajili wa Vyama kuanza na Lissu, Zitto  

NGUVU za kimamlaka zilizowekwa kwenye sheria ya vyama vya siasa na kupigiwa chapuo na baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zaweza...

Habari za SiasaTangulizi

Muswada Vyama vya Siasa wapita, wazua sintofahamu

BUNGE la Jamhuri, jana tarehe 29 Januari 2019, limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa (2018), katikati ya msuguano mkali...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Zitto, waisambaratisha Serikali kwenye Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea amewavaa vigogo watatu wanasheria kuwa wamepeleka bungeni Muswada wa Marekebisho wa Vyama vya Siasa wa mwaka 2018,...

SiasaTangulizi

CCM, UKAWA watafunana Muswada wa Vyama vya Siasa

WABUNGE kutoka chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale kutoka vyama vya upinzani wameanza kumenyana kuhusu Muswada mpya wa Vyama vya Siasa...

Habari za SiasaTangulizi

Mtolea aonja jeuri ya upinzani bungeni

ABDALLAH Mtolea, Mbunge wa Temeke ameapishwa leo tarehe 29 Januari 2019 bungeni mbele ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa CUF...

Habari za SiasaTangulizi

Bungeni; Ni Serikali vs Wananchi  

MKUTANO wa 14 wa Bunge la Jamhuri unaanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, hatma ya maoni ya wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Kitendawili cha Muswaada wa Vyama vya Siasa kuteguliwa

LEO MKUTANO wa kumi na nne Bunge la kumi na moja linatarajiwa kuanza shughuli zake jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

‘Mbaya wa Mbowe’ aukwaa ujaji

HAKIMU Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Wilbard Richard Mashauri, ni miongoni mwa maofisa 15 wa mahakama waliotangazwa na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maofisa wa madini, wakuu wa mikoa kushirikiana kulinda madini

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa maelekezo kwa Maofisa madini kote nchini kunakochimbwa madini kushirikiana na wakuu wa Mikoa kwa lengo la...

error: Content is protected !!