Rais wa Romania, Klaus Iohannis amewasili Zanzibar kwa boti ya AZAM na kupokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023KIONGOZI anayeondoka madarakani nchini Liberia, George Weah, anaweka historia nchini humo kwa kuwa rais wa kwanza kushindwa katika kinyang’anyiro cha kuwania muhula wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amemtaka Mkuu wa kambi ya wakimbizi Nduta iliyopo Kibondo mkoani Kigoma kufungua kambi hiyo ili wananchi...
By Faki SosiNovember 18, 2023Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kijana Mtanzania Clemence Felix Mtenga amefariki katika mapigano yanayoendelea kati ya majeshi...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameibwaga tena Serikali mahakamani katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, baada...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023ALIYEKUWA Rais wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amesema bora amestaafu kuongoza Tanzania katika kipindi ambacho idadi ya watu ilikuwa ndogo, akisema...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023KATIBU Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima amewataka viongozi wa dini kukemea dhambi zinazojitokeza katika chaguzi, ili kuhakikisha zinakuwa...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023Rais wa Romania, Klaus Iohannis, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia leo tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kufuatia mwaliko wa Rais...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa katazo kwa kampuni zinazosimamia na kutekeleza miradi ya umeme nchini, kutonunua nje...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ifanye uratibu wa madai ya vyombo vya habari, sambamba na...
By Gabriel MushiNovember 13, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya ziara ya kikazi katika Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi kwa lengo la...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewasisitiza Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kufanya kazi kwa ushirikiano ili kazi...
By Gabriel MushiNovember 13, 2023Chama cha ACT Wazalendo kimeielekeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho kuichambua Miswada ya Sheria kuhusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi na Vyama...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2023MUSWADA wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, pamoja na Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, imesomwa kwa mara...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2023BAADHI ya wabunge wameitaka Serikali ikamilishe mchakato wa kugawa majimbo, kata na tarafa zenye maeneo makubwa, ili kusogeza karibu na wananchi huduma za...
By Regina MkondeNovember 10, 2023Serikali imesema hali ya upatikani umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Hayo yameelezwa na...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimetia saini mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023SERIKALI imesema inaendelea kuwalipa pensheni ya ulemavu wazee 272, waliopigana vita ya Kagera 1979. Anaripoti Jemimah Samwel, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameshauri mipango mbalimbali inayowekwa na Serikali, ijielekeze katika utekelezaji miradi ya kufuta umasikini nchini. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023SERIKALI imemaliza mgogoro wa ardhi kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi, kwenye eneo la Bondo, uliodumu kwa miaka kadhaa. Anaripoti Jemimah Samwel,...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameitaka Serikali kushughulikia sakata la wafugaji wilayani Ngorongoro kuuziwa mifugo yao zaidi ya 1,000 kinyume cha sheria,...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023WABUNGE wamepitisha azimio la kumchangia fedha aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule, ili kumfariji kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeNovember 9, 2023MBUNGE wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda (CCM) ameiomba Serikali iweke mkazo katika usajili wa makanisa na taasisi za dini za madhehebu mbalimbali, ili...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2023MBUNGE wa Kwela, Deus Sangu, amewasilisha hoja ya dharura bungeni jijini Dodoma, akitaka kikao cha Bunge kiahirishwe kwa muda ili kujadili mgogoro sugu...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2023KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amedai kama dosari zinazoendelea kujitokeza katika chaguzi ndogo visiwani Zanzibar, hazitatokomezwa, Uchaguzi Mkuu wa 2025 utakuwa mbaya zaidi...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amewasilisha mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya 2024/25, bungeni jijini Dodoma, akisema Serikali imepanga kukusanya...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuunda tume maalum kwa ajili ya kuchunguza mali na utajiri wa mawaziri wake,...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza wakuu wa shule zilizoko wilayani Tunduma, Mkoa wa Songwe, waliosimamishwa kazi kwa tuhuma za kuwachezesha wanafunzi...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, kufanya tathimini ili kujua wilaya...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023MBUNGE wa Wingwi, Omary Issa Kombo (CCM), ameitaka Serikali iongeze fedha za mfuko wa jimbo katika majimbo yenye uhitaji mkubwa, ikiwemo jimbo lake....
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023MANENO ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, juu ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli imemliza mjane wake, Janeth...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023MBUNGE wa Geita Vijiji, Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma, amehoji kwa ajili sakata la Tegeta Escrow haliishi baada ya Kampuni ya IPTL inayohusishwa...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ametaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa TRC,...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023MBUNGE wa Viti Maalum, Ester Bulaya, ametaka aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, apelekwe bungeni jijini Dodoma, kwa ajili...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023MBUNGE wa Songwe, Philipo Mulugo, ameomba mwongozo bungeni jijini Dodoma, juu ya tabia ya baadhi ya mawaziri wanaodaiwa kutumia simu (kuchati na kuongea...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023Ujumbe wa Marafiki waliosoma na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ukiongozwa na Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe umetoa...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023SERIKALI imeagiza watumishi wa afya kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya kwamba watoto wote wachanga wapatiwe matibabu kupitia bima ya afya iliyokatwa na...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023KITENDO cha baadhi ya wezi wa fedha za umma kutochukuliwa hatua za kisheria, kimewachefua baadhi ya wabunge ambao wametaka sheria mahususi itungwe itakayoweka...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amesema Serikali yake haijakitenga Kisiwa cha Pemba na kwamba inachukua hatua kuhakikisha maendeleo kati yake na Unguja...
By Regina MkondeNovember 3, 2023Serikali ya Ujerumani imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji ili kuhifadhi kumbukumbu sahihi kwa ajili ya wakati huu...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amempa miezi sita Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, atatue migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi.Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefika mbele ya Mahakama ya Rufani jijini Arusha, kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limesikitishwa na mahudhulio duni ya mawaziri wa jumuiya hiyo, jambo ambalo linasababisha baadhi ya hoja...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan,amesema kuimarika kwa demorasia, utawala wa sheria na haki za binadamu, kumewavutia wawekezaji kutoka Ujerumani kuja kuwekeza...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2023RAIS wa Shirikisho la Ujerumani, Dk. Frank Walter Steinmeier, ameahidi kufanya mazungumzo na watu walioathiriwa na ukoloni uliofanywa na taifa hilo, juu ya...
By Regina MkondeOctober 31, 2023NAIBU Spika wa Bunge, Azzan Zungu, amesema kilichofanya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, achaguliwe kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023SERIKALI imemtaka Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, kutumia nafasi hiyo kuhakikisha analinda maslahi ya Tanzania katika jumuiya za...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023WAZAWA watapewa kipaumbele kushiriki katika uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, pindi Kampuni ya DP World na Mamlaka ya Bandari nchini (TPA),...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 1 Novemba 2023. ...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2023