HABARI MCHANGANYIKO ACT Wazalendo walia kufungwa kwa Kanisa la Gwajima June 3, 2025 Erasto Masalu KUTOKANA na taarifa ya kufutwa kwa usajili wa kanisa la ufufuo na uzima linalosimamiwa na askofu Josephat Gwajima na taarifa ya kukamatwa kwa baadhi ya waumini chama cha ACT Wazalendo…
HABARI MCHANGANYIKO Waumini wa Kanisa la Gwajima mbaroni June 3, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata baadhi ya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, kwa tuhuma za kukaidi agizo la…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Padre Kitima aadhimisha misa ya shukrani June 3, 2025 Erasto Masalu KATIBU Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dk. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka hospitali alikokuwa anapatiwa…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Tanzania, Washirika wazindua mkakati kuwezesha mabadiliko ya Tabia na matumizi ya Nishati Safi Majumbani June 2, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya, Shirika la Maendeleo la Mitaji la Umoja wa Mataifa (UNCDF) na wadau wengine wa maendeleo, leo imezindua rasmi Mkakati wa Mawasiliano…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NMB yapongeza waandaaji wa mbio za Hisani za Pugu Marathon June 1, 2025 Erasto Masalu ZAIDI ya wanariadha 6,000, wameshiriki Mbio za Hisani za Pugu Marathon 2025 zilizodhaminiwa na Benki ya NMB zenye lengo la kuchangisha fedha kusaidia maeneo yenye uhitaji mkubwa katika jamii lakini…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC yampongeza Rais Samia kwa Tuzo ya Heshima ya Bunge May 31, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imempogeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kufutia tuzo maalum ya heshima aliyotunukiwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano…
HABARI MCHANGANYIKO Madereva mkoani Songwe wasiofuata sheria wapewa onyo kali May 30, 2025 Erasto Masalu MADEREVA wanaosafirisha abiria na mizigo kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Songwe wametakiwa kufuata sheria za usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa za madereva wenzao…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Tanzania, Japan wasaini makubaliano ya biashara ya Kaboni May 30, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Japan zimetia saini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano katika mpango wa pamoja wa uwekezaji katika Biashara ya Kaboni utakaowezesha kampuni za nchi…
HABARI MCHANGANYIKO Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan May 29, 2025 Erasto Masalu KASSIM Majaliwa waziri mkuu amekutana na Ishiba Shigeru Waziri Mkuu wa Japan, ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana…
HABARI MCHANGANYIKO Kapinga ataja vigezo vya ziada upelekaji umeme vitongojini May 29, 2025 Erasto Masalu JUDITH Kapinga Naibu Waziri wa Nishati, amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza miradi ya umeme katika Vitongoji kwa kuzingatia vigezo vya ziada ikiwemo ukubwa wa vitongoji, ukubwa…