Thursday , 18 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Rais Samia awapa tano wauguzi
Habari Mchanganyiko

Rais Samia awapa tano wauguzi

Spread the love

RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri wauguzi wote nchini katika kusherehekea siku ya wauguzi duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Katika ujumbe aliobandika kwenye ukurasa wake wa Twitter leo tarehe 12 Mei, 2022 Rais Samia amesema Watanzania wanathamini mchango wa wauguzi katika kulinda afya ya wananchi.

“Tutaendelea kuwekeza zaidi katika sekta ya afya ili kuimarisha mazingira ya utendaji kazi pamoja na masilahi yenu.

Siku ya wauguzi husherehekewa tarehe 12 Mei kama siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Florence Nightngale, mwana takwimu na mwanzilishi wa uuguzi wa kisasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Carbon First, Ruangwa wasaini makubaliano ya biashara ya hewa ukaa

Spread the love  KAMPUNI ya Carbon First Tanzania Limited na Halmashauri ya...

Habari Mchanganyiko

CBE yawakumbuka wenye mahitaji maalum Jangwani

Spread the loveCHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada mbalimbali na...

Habari Mchanganyiko

Mume auwa mke kwa kumchoma visu, ajisalimisha Polisi

Spread the loveJACKSON Kalamji (49), anashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza,...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa ajira watumishi 46,000, yatangaza utaratibu mpya kuajiri

Spread the loveSERIKALI imetangaza nafasi za ajira za watumishi wa umma 46,000...

error: Content is protected !!