HABARI MCHANGANYIKO SIASA Kesi ya Lissu shahidi wa kwanza wa Serikali aanza kutoa ushahidi wake June 16, 2025 Erasto Masalu SHAHIDI wa kwanza wa Jamhuri aliyejitambulisha kama PF 22863 Inspekta Jonh (45) aliyekuwa Inspecta wa Polisi tangu tarehe 6 Juni 2025 na kwamba kabla ya hapo alikuwa Inspacta msaidia wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Lissu apewa muda kushauriana na mawakili wake kesi ya uchochezi June 16, 2025 Erasto Masalu HAKIMU Mkazi Mkuu, Godfrey Mhini anayesikiliza shauri Na. 8606 na uchochezi linamkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewapa muda wa nusu saa mawakili wa Lissu…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC, Mbogo Ranches zasaini makubaliano ya Utoaji Mikopo ya Mbegu Bora ya Mifugo kwa Wafugaji June 16, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Mbogo Ranches yanayotoa fursa kwa wafugaji nchini kuweza kunufaika kupitia upatikanaji wa mikopo rafiki kutoka benki hiyo…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Puma Energy Tanzania yadhamini Mkutano wa Wadau wa Ukuaji wa Sekta ya Anga Afrika 2025 June 16, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI Puma Energy Tanzania imedhihirisha kujidhatiti kwake katika kukuza sekta ya usafiri wa anga nchini kwa kudhamini Mkutano wa Wadau wa Ukuaji wa Sekta ya Anga Afrika mwaka 2025 unaojulikana…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Vifungu vilivyozuia kushtakiwa Rais, Spika, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu vyabatilishwa June 14, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania leo imeagiza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta vifungu vinne vya sheria vilivyokuwa vikiweka vikwazo mashauri ya kikatiba yenye maslahi ya umma. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA MICHEZO Kampuni ya Maestro yaja na ubunifu wa kukutanisha na kuonyesha vipaji vyao June 13, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Maestro Africa Solutions Ltd, kwa kushirikiana na Peak Performance Company Ltd na Rehoboth Organization na The Ark Africa wameandaa Maonyesho Maalum ya Baby Market yatakayofanyika tarehe 28 mwezi…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Mmoja anusurika kwenye ajali ya Air India June 13, 2025 Erasto Masalu VISHWASHKUMAR Ramesh raia wa Uingereza ameripotiwa kuwa ndiye mnusurika pekee wa ajali ya Air India iliyowaua watu takribani 241. Anaripoti Joyce Ndeki kwa msaada wa mitandao ya kimataifa … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Kicheko kwa watumiaji gesi za kupikia June 12, 2025 Erasto Masalu SERIKALI katika kuhakikisha kuwa inatekeleza adhma yake ya matumizi ya nisgati safi ya kupikia sambamba kupunguza matumizi ya mafuta nchini imefuta kodia yab ongezeko la thamani (VAT) kwenye gasi asilia.…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Bajeti ya mwaka 2025/2026 trilioni 56.49 June 12, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imesema kuwa inatarajia kukusanya kiasi cha Sh. 56.49 trilioni kwa ajili ya bajeti ya mwaka 2025/2026. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akiwasilisha Bajeti hiyo Dk. Mwigulu Nchemba, Waziri…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Deni la Taifa kinara kwenye matumizi June 12, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imesema kuwa kiasi cha Sh. 11.16 trilioni zilitumika kulipa deni la serikali huku kiasi cha Sh.10.27 Trilioni ikitumika kulipa mishahara ya watumishi wa umma huku Sh. 741.5 Bilioni akitumika…