HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Prof Kitila: Tunahitaji vyombo vya habari imara July 8, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwezeshaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema Serikali inahitaji vyombo vya habari imara (visivyoionea au kuipendelea) kwa ajili ya kuichagiza gurudumu la maendeleo na…
HABARI MCHANGANYIKO Wanaosifia dawa za kulevya kuchukuliwa hatua kali – DCEA July 6, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imetoa onyo kali kwa watu wote wanaotangaza, kusifia au kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya kwa namna yoyote ile, iwe…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Tundu Lissu apinga kesi yake kuahirishwa tena July 1, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayekabiliwa na kesi ya uhaini, amepinga vikali ombi la upande wa mashtaka la kutaka kesi hiyo iahirishwe tena kwasababu ya upelelezi haujakamilika,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Idadi ya waliofariki ajali ya Same yafikia 39 June 30, 2025 Erasto Masalu IDADI ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea tarehe 28 Juni, 2025 katika eneo la Sabasaba, Same mjini ikihusisha basi la Kampuni ya Chanel One lililokuwa likitokea Moshi kwenda Tanga na…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO DAS Kinondoni aipongeza MONTI International kwa kuibua, kulea vipaji vya watoto June 30, 2025 Erasto Masalu KATIBU tawala wilaya ya Kinondoni – DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea vipaji vya watoto ili kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia katika dunia…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TANESCO: Yaomba radhi, sasa hakuna tatizo tena June 29, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange amesema changamoto ya hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika Mfumo wa Gridi ya Taifa ilisababisha kukosekana kwa umeme kwa maeneo mbalimbali…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Julai 11 Mahakama kuamua mapingamizi ya Serikali kesi Lissu June 27, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, tarehe 11 Julai 2025, inatarajia kutoa uamuzi juu ya pingamizi zilizowasilishwa na upande wa Jamhuri katika maombi ya marejeo yenye shauri…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO SBL yakabidhi mradi wa maji kwa wakazi 14,000 Kwadelo, Kondoa June 26, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL), kwa kushirikiana na shirika la Africa Community Advancement Initiative (Africai), imekamilisha na kuzindua rasmi Mradi wa Maji wa Kwadelo katika Wilaya ya Kondoa, Mkoa…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Meridianbet yaigusa hospitali ya Palestina Sinza June 25, 2025 Erasto Masalu Ikiwa kama mwendelezo wa kurejesah kwenye jamii Jumatano ya leo mapema kabisa wakali wa ubashiri Meridianbet waliamua kuitembelea hospitali ya Palestina Sinza na kugawa vyandarua kwa kina mama ambao wamejtoka…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Bosi Kituo cha Afya Salaaman ashinda kesi mbili za jinai dhidi yake June 24, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachiliwa huru Dk. Abdi Hirsi, Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya Salaaman Health Services Ltd inayomiliki Kituo cha Afya cha Salaaman (Salaaman Health Centre), baada…