HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Janeth Rithe aachiwa kwa dhamana June 23, 2025 Erasto Masalu LEO tarehe 23 Juni 2025, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe amepewa dhamana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rithe aliyekuwa anashikiliwa na…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI ACT Wazalendo: Deni la Taifa linakuwa kwa kasi, uchumi wa nchi hatarini June 21, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT Wazalendo imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la deni la taifa, ambalo hadi Aprili 2025 limefikia Sh. 107.7 trilioni kutoka trilioni 91.7 mwaka uliopita — ongezeko la trilioni…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI ACT Wazalendo hawajui hatma ya Janeth Rithe June 21, 2025 Erasto Masalu SHANGWE Ayo, Naibu Katibu wa Uenezi wa Chama cha ACT Wazalendo, amesema kuwa chama hicho hakijajua muafaka wa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama hicho, Janeth Rithe anayeshikiliwa tangu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA CCM yalaumiwa kwa kutochukua hatua kikokotoo cha wastaafu June 21, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT Wazalendo kimelaumu Serikali kwa kushindwa kusikiliza kilio cha wastaafu kuhusu marekebisho ya kikokotoo cha mafao ya pensheni kwa watumishi wa umma na sekta binafsi. Kauli hiyo imetolewa…
HABARI MCHANGANYIKO Prof. Kitila awataka waandishi kusimamia misingi katika uchaguzi June 21, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amewataka waandishi wa habari kusimamia misingi ya uandishi wa habari katika kipindi hiki cha uchaguzi, ili kuhakikisha nchi…
HABARI MCHANGANYIKO Madiwani Malinyi kifua mbele, waitendea haki serikali June 20, 2025 Erasto Masalu MKUU wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Sebastian Waryuba amesema, madiwani na wadau wa maendeleo wa wilaya hiyo, wameitendea haki serikali katika kipindi cha miaka mitano (2020 – 2025). Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO IGP Wambura afanya mabadiliko ya maofisa ndani ya jeshi la Polisi June 17, 2025 Erasto Masalu CAMILLIUS Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania amefanya uhamisho wa makamanda watatu wa jeshi hilo. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya uhamisho huo imetolewa leo…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi watakiwa kutekeleza majukumu yao wakiwa na hofu ya Mungu June 17, 2025 Erasto Masalu AFISA Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Akama Shaaban amewataka Maofisa (10) na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi mmoja, kwenda kuvitendea haki vyeo vyao walivyovipata kwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mahakama yakubali ombi la serikali kukatisha ushahidi wa kwanza kesi ya Lissu June 16, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaruhusu upande wa kukatisha ushahidi walioanza kutoa leo tarehe 16 Juni 2025 mpaka pale upande huo utakapomleta mahakamani hapo shahidi mtaalamu kwa ajili ya kuwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA ‘Polisi wanaiba kura’ ilivyomuibua shahidi wa serikali June 16, 2025 Erasto Masalu INSPEKTA John ambaye ni mpelelezi wa masuala ya makosa ya jinai ndani ya Jeshi la Polisi anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi Na.8606 ya uchochezi dhidi ya Lissu. Anaripoti Mwandishi…