HABARI MCHANGANYIKO Kwaheri Joshua Nassari, Karibu DC Lawuo July 16, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari amemkabidhi rasmi ofisi Mkuu mpya wa Wilaya, Jubilate Lawuo kufuatia uteuzi uliofanywa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
HABARI MCHANGANYIKO Msikubali pombe ikasababisha kurudisha nyuma maendeleo July 15, 2025 Erasto Masalu WANAKIJIJI wa Msogezo kata ya Chitete, wilaya ya Momba mkoani Songwe, wametakiwa kuacha tabia ya kunywa pombe muda wa kazi na kuipa kipaumbele katika maisha yao kwani urudisha maendeleo nyuma…
HABARI MCHANGANYIKO Msiharibu miundombinu ya selikalini ili mjipatie kipato July 15, 2025 Erasto Masalu MAFUNDI kuchomelea wa Mtaa wa Nyerere, kata ya Chipaka, wilaya ya Momba mkoani Songwe wametakiwa kutambua athari kubwa za kuharibu miundombinu ya serikali kwa nia ya kujipatia kipato kitendo ambacho…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Polepole amejiuzulu mwenyewe – Makalla July 14, 2025 Erasto Masalu KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema kujiuzulu kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humprey Polepole, kumetokana na utashi wake binafsi. Anaripoti…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC yazindua Msimu wa Pili wa Kampeni ya NBC Shambani kuhamasisha kilimo cha kahawa Ruvuma July 14, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha msimu wa pili wa kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ mkoa wa Ruvuma ikilenga kuchochea kasi ya uzalishaji…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Polepole ajiuzulu Ubalozi, adai misingi ya haki imekiukwa July 13, 2025 Erasto Masalu BARUA wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Hesron Polepole, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya kidiplomasia na uongozi wa umma, akitaja kukosekana kwa uelekeo sahihi katika uongozi wa kitaifa, kufifia kwa…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Maadhimisho ya Nne ya Lugha ya Kiswahili yapokewa kwa bashasha Harare, Zimbabwe July 12, 2025 Erasto Masalu MAADHIMISHO ya nne ya Lugha ya Kiswahili yamefanyika Zimbabwe huku maadhimisho hayo yakipokelewa kwa namna yapekee Nchini humo na washiriki kutoka maitafa mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Ubalozi wa Tanzania, Zimbabwe ……
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Msitumie kalamu zetu kuligawa taifa – Biteko July 11, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko, amewataka waandishi wa habari nchini Tanzania, kuwa makini na ili kutoligawa taifa. Anaripoti Asha Bani, Dar es Salaam … (endelea). Alisema,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Siamini ‘sana’ dhana ya uandishi wa katikati – Prof. Mkumbo July 10, 2025 Erasto Masalu PROFESA Kitila Mkumbo anasema yeye haamini katika dhana ya mwandishi au chombo cha habari kutochukua upande linapotokea tukio linaloonesha wazi kuna dhulma. Anaripoti Jabir Idrissa, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Sita wadaiwa kumuua Sheikh Jabir July 10, 2025 Erasto Masalu WATU sita wanaotajwa kuwa ni wakaazi wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar wamefikishwa mahkamani wakituhumiwa kumuua kwa makusudi mwanadini Jabir Haidar Jabir, ambaye kifo chake kilizusha mjadala mkubwa kwa vile…