BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TRA, NCAA, TANAPA na TAWA kuunda kamati ya pamoja kuongeza mapato August 5, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wameafikiana kuunda kamati…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Wafanya usafi Kinondoni wafikiwa na Meridianbet July 30, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Meridianbet imeandika historia nyingine ya kipekee kwa kuonesha kuwa mafanikio ya kweli hayapimwi kwa mizani ya fedha tu, bali pia kwa namna taasisi inavyowekeza katika ustawi wa watu…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA MICHEZO Biteko awaongoza washiriki 12,000 Mbio za NBC Dodoma Marathon, Mil 700 zakusanywa July 27, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko leo ameongoza washiriki zaidi ya 12,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma huku akiwapongeza waandaaji wa mbio…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA MICHEZO NBC yakabidhi pikipiki 10 kwa Polisi kuimarisha usalama, yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma July 24, 2025 Erasto Masalu Waandaaji wa mbio za NBC Dodoma Marathon, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo wamekabidhi pikipiki 10 zenye thamani ya sh mil 28 kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mgombea CCM agawa pikipiki kwa wajumbe July 21, 2025 Erasto Masalu MGOMBEA wa Ubunge wa jimbo la Msalala, wilayani Kahama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), (jina linahifadhiwa) anadaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC yakutana na wateja wake wakubwa Arusha, yajadili fursa, ufanisi wake July 20, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa kutoka kampuni, wateja binafsi na taasisi mbali mbali (Corporates) wa jijini Arusha ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Polepole avunja mwiko, azungumza July 18, 2025 Erasto Masalu HUMPHREY Polepole, aliyekuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC) ya chama kilichoko Ikulu, amekosoa utaratibu uliompa Rais Samia Suluhu Hassan, tiketi ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Polisi wafunguka sakata la kuchukuliwa dada yake Polepole July 18, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina la Christina Hezroni Polepole Kinyangazi, mwenye umri wa miaka…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Rostam: Sekta binafsi iko tayari kuisadia ukuaji wa uchumi wa dola trilioni moja July 17, 2025 Erasto Masalu MFANYABIASHARA na mwanasiasa mashuhuri nchini, Rostam Aziz amedai kuwa sekta binafsi Tanzania iko tayari kusaidia kuiongoza nchi kuelekea kuwa na uchumi wa dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mohamed Abdulrahman: Gwiji la utangazaji DW laanguka July 16, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA mhariri na naibu mkurugenzi wa Idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani (Deutsche Welle), Mohamed Abdulrahman, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Cologne. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mohamed…