BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imekamilisha ushiriki wake kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya...
By Gabriel MushiAugust 9, 2022MIKOA yote nchini imeagizwa kutenga maeneo kwaajili ya kilimo kikubwa cha mazao ambayo yanayostawi katika mikoa hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Maagizo hayo yametolewa...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022MTENDAJI wa tarafa ya Ruaha, wilayani Ulanga, mkoani Morogoro, George Kayora, ameieleza mahakama jinsi baadhi ya viongozi wa ngazi ya kitongoji wilayani Ulanga,...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ametoa wito kwa vijana kuwekeza kwenye sekta ya kilimo kutoka na fursa nyingi zilizopo na uboreshwaji...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza watafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kwa kazi kubwa za utafiti wanazofanya ambazo zinakuza sekta...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), imesema katika mwaka 2022/23 kuhakikisha Ajenda 10/30 Kilimo ni Biashara inafanikiwa wanatarajia kuzalisha tani 1,400 za...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Edward Mpogoro amewahamasisha vijana katika wilaya hiyo kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi itakayofanyika...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022WAFUGAJI wa Nyuki nchini wameshauriwa kutumia zana za kisasa katika ufugaji wa nyuki na kuandaa asali ili kupata bidhaa yenye ubora. Anaripoti Selemani...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022MWALIMU wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Dar es Dar es Salaam Ally Issa amebuni dawa ya asili ya ‘Lab Natural...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema maboresho ya Miundombinu yanayoendelea katika sekta ya elimu yanalenga kuhakikisha watoto wa...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022MENEJA wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya kati, Nickonia Mwambuka amewataka watanzania kuhakikisha wanatumia bidhaa zenye nembo ya TBS kwa nia ya...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022WIZARA ya uwekezaji, viwanda na biashara kupitia Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) imesema inaendelea na utambuzi wa fursa za uwekezaji, kutangaza fursa za...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022BENKI ya watu wa Zanzibar PBZ ameeleza kuwa ni benki ambayo inajikita kuifikia jamii ya juu, kati na chini ili kuwawezesha kadiri ya...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022WAKULIMA wametakiwa kuendelea kutumia viuatilifu vinavyosambazwa na kampuni ya Mogreen ili kupata tija katika mavuno yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea). Wito...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022MSIMU wa pili wa mbio za hisani za NMB Marathon, zitakazofanyika tarehe 24 Septemba 2022 na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, umezinduliwa....
By Gabriel MushiAugust 7, 2022WATAFITI wa mazao ya mafuta kutoka vituo vya Taasisi ya Utafiti Kilimo Tanzania (TARI), wamesema ili kukabiliana na uhaba wa mafuta ya kula...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022WAZAZI pamoja na walezi wameshauriwa kuwapatia watoto wao fursa ya kushiriki michezo mbalimbali ili kuibua vipaji vyao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma… (endelea). Ushauri...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limejinasibu kuwa kwa sasa linaweza kuingia katika ushindani wa kibiashara katika soko la kidunia. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022TRENI ya reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es salaam kuelekea Mwanza zinatarajiwa kuanza kati ya Januari na Februari mwaka 2023. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022SPIKA wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametembelea banda la Benki ya NMB katika maonesho ya Nanenane kwenye Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya....
By Gabriel MushiAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni wakuu wa wilaya wataanza kutimuana tena kwa ajili ya usimamizi wa ujenzi wa madarasa 8000 ya...
By Gabriel MushiAugust 6, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inatambua mchango wa wahandisi wanawake nchini hivyo wajiandae kwa fursa na...
By Gabriel MushiAugust 5, 2022KAMPUNI ya NICOL Investment (PLC), imeendelea kupata faida na hisa zake kuendelea kufanya vizuri katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)....
By Mwandishi WetuAugust 5, 2022KAMPUNI ya NICOL Investment (PLC), imeendelea kupata faida na hisa zake kuendelea kufanya vizuri katika Soko la Hisa la Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2022SERIKALI imesema kuwa tayari imeongea na baadhi ya Taasisi za kifedha nchini na kufikia makubaliano juu ya kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo hali...
By Gabriel MushiAugust 5, 2022Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga (DC), Mkoa wa Pwani, Khadija Nasri Ali amezindua Kongamano la ‘Mwalimu Spesho’ wilayani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).
By Gabriel MushiAugust 4, 2022ASILIMIA kubwa ya migogoro ya ardhi kwa upande wa uthamini unasabishwa na wahusika kushindwa kutambulisha mali zao kwa usahihi. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageAugust 4, 2022SERIKALI imepanga kufanya maendeleo katika maeneo mawili muhimu ya ujenzi na uchukuzi ikiwemo kuhakikisha inaunganisha makao makuu ya mikoa yote kwa barabara...
By Masalu ErastoAugust 4, 2022BODI ya nafaka na mazao mchanganyiko nchini imewataka wakulima na wafugaji kuendelea kuzalisha kwa bidii kwani soko la mazao bado ni kubwa katika...
By Gabriel MushiAugust 4, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Tulia Ackson ameguswa na kupongeza jitihada za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema hatma ya mkataba Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) itajulikana mwezi Septemba mwaka...
By Seleman MsuyaAugust 4, 2022HUDUMA zinazotolewa na Benki ya Exim Tanzania kwa wadau wa sekta ya kilimo zimeendelea kuwavutia washiriki wengi wa Maonesho ya Kilimo Nanenane yanayofanyika...
By Gabriel MushiAugust 4, 2022IMEELEZWA kuwa ushirikiano, ubunifu, mbinu za kisasa kwenye usimamizi wa sekta ya nishati nchini utafanikisha sekta hiyo kuwa endelevu na salama. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Selemani Said Bungara (Bwege) amealikwa nchini Kenya kumpigia kampeni mgombea wa Azimio la Umoja, Raila...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022WAKILI Mashaka Ngole amechukua fomu ya kuomba ridhaa kupitia Chama cha Wananchi (CUF) ili kimpitishe kuwa mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki...
By Seleman MsuyaAugust 4, 2022MEYA wa Mpanda, Haidary Hemed ameipongeza Wizara ya Madini kwa uanzishwaji wa masoko ya madini nchini ambayo yamekuwa mkombozi wa wachimbaji wadogo wa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2022TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Temeke imepokea malalamiko 29 yanayohusisha vitendo vya rushwa kutoka katika maeneo tisa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2022WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imejipanga kuweka mkakati kwa wale wote wanaofanya ukatili wa watoto na wanawake...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2022UJUMBE wa Benki ya Dunia jana tarehe 2 Agosti, 2022 umetembelea Ofisi za Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, zilizopo jijini...
By Gabriel MushiAugust 3, 2022KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetumia jumla ya Sh milioni 100 kujenga uzio katika kituo cha afya cha Kasamwa kilichopo mkoani...
By Gabriel MushiAugust 3, 2022BEI ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Julai licha ya Serikali kuendelea kutoa ruzuku ya Sh bilioni 100 kwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022KITUO cha Utafiti wa mbegu Tanzania (TARI) Kibaha kimewataka wakulima wa miwa kutumia aina nne za mbegu zilizotafitiwa ili kukabiliana na changamoto ya...
By Gabriel MushiAugust 2, 2022KIASI cha shilingi bil. 571 zinatarajiwa kutumika katika upanuzi wa kiwanda cha sukari Kilombero, na kusaidia wakulima kuchakata zaidi ya tani milioni 1.5...
By Gabriel MushiAugust 2, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kung’ara kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yanayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya, huku huduma...
By Gabriel MushiAugust 2, 2022SERIKALI imezichagiza benki nchini kuwaongezea wakulima, wafugaji na wavuvi fursa za kukopa ili kuongeza uwekezaji kwenye sekta jumla ya kilimo ili kishamili na...
By Gabriel MushiAugust 2, 2022WAKATI Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), likianza maadhimisho ya miaka 50 tangu kuasisiwa kwake mwaka 1972, jumla ya miti 10,000 inatarajiwa kupandwa...
By Gabriel MushiAugust 2, 2022WAKILI wa Kujitegemea, James Marenga amesema vyombo vya habari nchini Tanzania kwa sasa vinaweza kukosoa tofauti na miaka mitano ama sita iliyopita....
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema hakuna walinda amani Watanzania wanaoshikiliwa wala kuhusika na mauji ya raia nchini DRC. Anaripoti Jonas Mushi,...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022TANZANIA imejumuishwa kwenye orodha ya nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) zitakazonufaika na utekelezwaji wa Programu mpya ya Fit for Market...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022VIJANA wawili Estomi Temu na Nice Mawala wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 24, wamefariki dunia kwa ajali ya gari jijini Arusha...
By Masalu ErastoAugust 1, 2022