August 13, 2022

Uhuru hauna Mipaka

DC Mkuranga azindua Mwalimu Spesho

Spread the love

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga (DC), Mkoa wa Pwani, Khadija Nasri Ali amezindua Kongamano la ‘Mwalimu Spesho’ wilayani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Khadija Nasri Ali (wa pili kushoto) Pamoja na Meneja wa NMB Tawi la Mkuranga, Peter Masaki (wanne Kulia), wakizindua kwa kongamano la ‘Mwalimu Spesho’ katika wilaya ya Mkuranga. Kulia ni Meneja Mwandamizi Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Ally Ngingite, Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Mwantum Mgonja.
error: Content is protected !!