Friday , 3 May 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri amuweka mtegoni Mkuu chuo cha hali ya hewa

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete amemtaka Mkuu wa Chuo cha Hali ya Hewa Tanzania, Peter Mlonganile kuhakikisha anabuni mbinu zaidi za kukitangaza...

Habari Mchanganyiko

Dk. Yonazi asisitiza ushirikiano sekta binafsi, umma

WATENDAJI wa taasisi za umma na binafsi ambao wanatekeleza ajenda ya kuipeleka nchi katika uchumi wa kidijiti wametakiwa kushirikiana na kutekeleza jukumu hilo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia, Mbatia wamlilia Mrema

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Mrema kilichotokea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mrema afariki dunia

MWENYEKITI wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo tarehe 21 Agosti, 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia apeleka bilioni 20 kusukuma uchumi wa buluu Mwanza

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha vijana kufuga samaki kama njia ya kuwanufaisha na uchumi wa...

Habari Mchanganyiko

NMB yatambulisha mpango maalum kuwahudumia walimu

KWA kutambua umuhimu wa walimu nchini na mchango wao katika mafanikio ya Benki ya NMB, taasisi hiyo kubwa kuliko zote za fedha nchini...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Tusibweteke Corona bado ipo

WAKATI baadhi ya wanajamii wakionesha kutokuwa na kumbukumbu kwa kilichotokea mwaka 2020 baada ya kuibuka kwa maradhi mapya ya UVIKO – 19 na...

Habari Mchanganyiko

LHRC: Katiba ya Kenya iwe darasa Tanzania

  WAKATI jirani zetu nchi ya Kenya wakimaliza uchaguzi wao , Ubora wa Katiba yao umetajwa kuwa sababu ya kutokuwa na machafuko licha...

Habari Mchanganyiko

Kundi la tano kaya 25 kutoka Ngorongoro mbioni kuhamia Msomera

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Pindi Chana amesema kundi la tano la wakazi wa Ngorongoro takribani kaya zisizopungua 25 kwa sasa...

Habari Mchanganyiko

NCT kutoa mafunzo ya utalii kwa wadau 5,000

CHUO Cha Taifa Cha Utalii (NCT), kimejipanga kutoa mafunzo kwa wadau waliokwenye mnyororo wa utalii yatakayowezesha nchi kufikia malengo ya kuingiza watalii milioni...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia asisitiza uharakishwaji matumizi ya Kiswahili SADC

Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza uharakishwaji wa mchakato wa matumizi ya lugha ya Kiswahili kupitishwa rasmi kama lugha ya nne itakayotumika katika nchi...

Habari Mchanganyiko

Ujenzi BRT II wafikia asilimia 66.6

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT II), Awamu ya Pili kutoka Mbagala...

Habari MchanganyikoTangulizi

Siku ya sensa ni mapumziko

HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia tarehe 23 Agosti, 2022 iwe siku ya mapumziko ili Watanzania wawepo majumbani na waweze kuwapokea makarani wa...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango azitaka mamlaka maliasili utalii kukomesha urasimu vibali

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ameziagiza mamlaka zinazoshuhulikia masuala maliasili na utalii kuondoa urasimu katika utoa wa vibali katika sekta hiyo. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

TANESCO yaghairi matengenezo mfumo wa LUKU

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeahirisha zoezi la matengenezo kinga ya mfumo wa ununuzi wa umeme LUKU ambalo lingesababisha kusitishwa kwa huduma hiyo...

Habari Mchanganyiko

Morogoro yapokea bilioni 111 miradi ya maendeleo

MKUU wa mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwasa, amesema mkoa wa Morogoro umepokea kiasi cha Sh111.5 bilioni kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

Shaka atumia kijiwe cha kahawa kueleza mwelekeo wa Samia

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini...

Habari Mchanganyiko

Maofisa ulinzi, usalama watakiwa kutumia mbinu mbadala kudhibiti ukiukwaji ukatili kijinsia

MAOFISA wa vyombo vya ulinzi na usalama vinavyodhibiti masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu na ukatili wa kijinsia, wametakiwa kutafuta njia mbadala...

Habari Mchanganyiko

TPA yapewa wiki 2 bandari ya Karema ianze kutoa huduma

NAIBU Waziri Uchukuzi, Atupele Mwakibete ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha bandari mpya ya...

Habari Mchanganyiko

NMB ‘Mwalimu Spesho’ yatua Nachingwea

MKUU wa Wilaya ya NachingweaHashim Komba akiwa na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini, Janeth Shango kwa pamoja wakizindua rasmi mpango...

Habari Mchanganyiko

Barabara ya Saadani -Tanga kuchochea usafirishaji

IMEELEZWA kuwa kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Tunga – Mkwaja – Mkange yenye mrefu wa kilomita 95.2, ikiwemo  kilometa 3.7 za mchepuo...

Habari Mchanganyiko

Pesapal yapewa leseni na BoT kufanya biashara nchini

KAMPUNI ya Pesapal Tanzania imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kufanya biashara nchini kama mtoa huduma wa mifumo ya malipo ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

LATRA yafunguka chanzo BOLT kusitisha usafiri wa magari

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema mojawapo ya sababu ya baadhi ya Kampuni za teksi mtandaoni kusitisha huduma za usafiri wa magari...

Habari Mchanganyiko

Mbunge aliyedaiwa kuua kwa risasi kusota rumande

OFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma  nchini Kenya imesema Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa ataendelea kusota rumande kwa siku 10 zaidi kusubiri...

Habari Mchanganyiko

Magari kupita daraja jipya la Wami Septemba mwaka huu

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa Serikali inatarajia kuanza kuruhusu magari kupita juu ya daraja jipya la wami, lililopo...

Habari Mchanganyiko

Exim waadhimisha miaka 25, yapongeza wafanyakazi wake

BENKI ya Exim Tanzania imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwa hafla fupi iliyolenga kutambua jitihada na mchango wa wafanyakazi wa benki hiyo katika...

Habari Mchanganyiko

NMB yamwaga vitanda, magodoro Kagera

BENKI ya NMB imetoa msaada wa vitanda 80 vya ngazi mbili na magodoro 160 yenyewe thamani ya Sh 27 milioni kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

NBC wasisitiza kukuza michezo, sanaa na utamaduni

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu adhma yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya michezo hapa nchini kwa kuunga mkono jitihada...

Habari Mchanganyiko

TPA yatangaza vipaumbele muhimu 5

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari TPA imesema ujenzi wa miundombinu bora ya Bandari yenye mitambo ya kisasa  na sahihi ya kuhudumia meli na...

Habari Mchanganyiko

Waziri Gwajima aipongeza NMB kuwajali wamachinga

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk. Dorothy Gwajima ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga fedha kwa ajili ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

UTAFITI: Vyakula vya baharini, wanyamapori chanzo cha Covid-19

IMEELEZWA kuwa Soko la vyakula vya baharini na wanyamapori la Huanan lililopo katika mji wa Wuhan nchini China ndio kitovu cha mlipuko wa...

Habari Mchanganyiko

STAMICO yatoa gawio la Sh 2.2/- ikiahidi makubwa

  SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limetoa gawio kwa Serikali kiasi cha Sh 2.2 bilioni kwa mwaka wa fedha 2021/21 huku wakitarajia...

Habari Mchanganyiko

‘Zinahitajika sheria rafiki kuimarisha tasnia ya habari’

  VYOMBO vya habari vinahitaji sheria rafiki zinazolenga kuimarisha mazingira ya utendaji, kutunga sheria ngumu na kandamizi, huchangia kuua ustawi wa vyombo vya...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango atoa maagizo 6 Wizara, STAMICO, NEMC

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Philip Mpango ameagiza wizara ya Madini, STAMICO na NEMC kuongeza kasi ya ukaguzi...

Habari Mchanganyiko

NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo wawekezaji nishati nchini

BENKI ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kutoa mikopo kwa wadau katika mnyororo wa thamani wa sekta ya nishati nchini kwa lengo ...

Habari Mchanganyiko

TARI yaongeza mnyororo wa thamani wa korosho

KATIKA kufanikisha Ajenda 10/30 Kilimo ni Biashara Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Naliendele mkoani Mtwara kimefanikiwa kuongeza mnyororo wa thamani wa zao...

Habari Mchanganyiko

RPC Muliro: Marufuku mashabiki kwenda na silaha kwa Mkapa

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewaonya Mashabiki wa Soka nchini watakaokwenda Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Bashe awahakikishia wakulima upatikanaji wa mbolea ya ruzuku

  WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe, amewahakikishia wananchi kuwa hakutakuwa na uhaba wa mbolea kutokana na Serikali kutoa zuruku na kushusha bei ambazo...

Habari Mchanganyiko

RC SENDIGA: Tutafanya mapinduzi ya kilimo rukwa

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga amesema anatamani kuona mkoa wa Rukwa ukifanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo kiwe cha kibiashara...

Habari Mchanganyiko

Wajasiriamali wamuangukia Samia awashike mkono

WAJASIRIAMALI mkoani Morogoro wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwashika mkono wanawake wajasiriamali kwa kuihamasisha jamii kununua bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi ili...

Habari Mchanganyiko

Wakulima pamba watakiwa kuongeza uzalishaji

BODI ya Pamba Tanzania imewataka wakulima kuongeza uzalishaji kwa kanda ya Mashariki na kuondokana na umaskini kutokana na kupanda kwa bei ya Pamba...

Habari Mchanganyiko

Barabara ya Kimara – Kibaha njia nane kukamilika Oktoba

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amemtaka Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kimara – Kibaha (Km 19.2), pamoja na Barabara za maingilio katika...

Habari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane

BENKI ya NMB imeibuka kidedea katika taasisi za kibenki na kifedha kwenye maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa 2022 mkoani Mbeya. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Oman yavutiwa kuwekeza Tanzania

SERIKALI ya Oman imevutiwa kuwekeza katika madini ya viwandani na madini ya ujenzi nchini. AnaripotiMwandishi wetu … (endelea). Kauli hiyo, ameitoa Balozi wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Madini: STAMICO imeingia kundi la wawekezaji

WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko amesema Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeingia kwenye kundi la wawekezaji baada ya kufanikiwa kukuza mtaji wake...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Kilaini alaani Klabu ya Simba kutumia msalaba kwa dhihaka

ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini amelaani kitendo cha klabu ya Simba kutumia msalaba kufanya dhihaka na kusema ni “dharau...

Habari Mchanganyiko

NMB kunufaisha sekta ya kilimo Tanzania

BENKI ya NMB imeweka adhma ya kuiboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania kwa kutoa suluhisho bora na nafuu kwa shuguli za kilimo na...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mwinyi: Utafiti ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba ushirikiano baina ya Wataalamu na watafiti mbalimbali, unahitajika hasa katika nyanja...

Habari Mchanganyiko

Exim kuitumia Kigoma kuchochea biashara Kongo, Rwanda na Burundi

BENKI ya Exim Tanzania imejipanga kutumia vema uwepo wake mkoani Kigoma kuchochea ukuaji wa biashara  baina ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,...

Habari Mchanganyiko

Majina waliofariki ajalini Kahama haya hapa

KUFUATIA ajali iliyopoteza maisha ya watu 20 wilayani Kahama, Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Leonard Nyandahu, ametaja majina...

error: Content is protected !!