Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Hashim Komba (Wapili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini, Janeth Shango (wapili Kulia) wakizindua rasmi mpango wa NMB Mwalimu spesho kwa wilaya ya Nachingwea. Kulia ni Meneja mwandamizi wa Benki ya NMB kitengo cha wateja binafsi, Ally Ngingite
MKUU wa Wilaya ya NachingweaHashim Komba akiwa na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini, Janeth Shango kwa pamoja wakizindua rasmi mpango wa NMB Mwalimu spesho kwa wilaya ya Nachingwea. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).
Katika uzinduzi huoi, pia alikuwepo Meneja mwandamizi wa Benki ya NMB kitengo cha wateja binafsi, Ally Ngingite.
Leave a comment