October 6, 2022

Uhuru hauna Mipaka

NMB yamwaga vitanda, magodoro Kagera

Spread the love

BENKI ya NMB imetoa msaada wa vitanda 80 vya ngazi mbili na magodoro 160 yenyewe thamani ya Sh 27 milioni kwa ajili ya Shule ya Msingi ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu ya Kaigara iliyopo Muleba mkoani Kagera. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Justus Magongo (kulia) akipokea vitanda 80 vya ngazi mbili na magodoro yake 160 yenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 27 kutoka kwa Meneja wa kanda ya Ziwa wa Benki ya NMB Baraka Ladislaus, kwa ajili ya Shule ya Msingi ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu ya Kaigara iliyopo Muleba mkoani Kagera.

Msaada huo umekabidhiwa kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Justus Magongo (kulia) kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Baraka Ladislaus.

error: Content is protected !!