HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Chadema yakwaa kisiki Mahakamani August 18, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ya kutaka kufunguliwa kifungo cha zuio la kufanya shughuli za kisiasa na…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Mama ntilie wafurahia ujio wa Meridianbet August 15, 2025 Erasto Masalu Kama ilivyo kawaida leo hii wakali wa ubashiri wamewatembelea wafanyabiashara wa vyakula wadogo wadogo kwa jina maarufu Mama Ntilie na kuwapatia Aprons ambazo kwa namna moja au nyingine zitawasaidia kwenye…
HABARI MCHANGANYIKO Ni marufuku watoto michezo ya kubahatisha – GBT August 12, 2025 Erasto Masalu BODI ya Michezo ya Kubahatisha (Gaming Board of Tanzania -GBT), imesisitiza kuwa ni marufuku kwa watoto waliochini ya miaka kumi na nane, kushiriki michezo hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Kanisa Katoliki latangaza siku ya mfungo August 9, 2025 Erasto Masalu KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limewaagiza Madekano, Maparoko, Watawa na Waamini wote Walei, kutekeleza agizo lililotolewa na Askofu Mkuu Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, kufunga Novena ya kuliombea…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC Yaishukuru Serikali Kuzisogeza Taasisi za Fedha Karibu na Wakulima August 8, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imepongeza hatua ya serikali ya kuboresha mfumo wa mauzo ya mazao ya wakulima hususani kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani ambao kwa kiasi kikubwa umeziwezesha…
HABARI MCHANGANYIKO Ahukumiwa jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 4 August 7, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Wilaya ya Mbozi imemtia hatiani Athumani Mohamed Mtimbwa (35) mfanyabiashara kwa kosa la kubaka na kuhukumiwa kifungo cha maisha gerezani na kulipa fidia ya Sh. 1 milioni kwa…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TRA, NCAA, TANAPA na TAWA kuunda kamati ya pamoja kuongeza mapato August 5, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wameafikiana kuunda kamati…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Wafanya usafi Kinondoni wafikiwa na Meridianbet July 30, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Meridianbet imeandika historia nyingine ya kipekee kwa kuonesha kuwa mafanikio ya kweli hayapimwi kwa mizani ya fedha tu, bali pia kwa namna taasisi inavyowekeza katika ustawi wa watu…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA MICHEZO Biteko awaongoza washiriki 12,000 Mbio za NBC Dodoma Marathon, Mil 700 zakusanywa July 27, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko leo ameongoza washiriki zaidi ya 12,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma huku akiwapongeza waandaaji wa mbio…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA MICHEZO NBC yakabidhi pikipiki 10 kwa Polisi kuimarisha usalama, yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma July 24, 2025 Erasto Masalu Waandaaji wa mbio za NBC Dodoma Marathon, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo wamekabidhi pikipiki 10 zenye thamani ya sh mil 28 kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa…