KATIKA jitihada za kutafuta fursa mbalimbali za ajira kwenye sekta ya afya, ujumbe wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022SERIKALI ya Tanzania imelipongeza Jeshi la Polisi kwa kuendelea kusimamia usalama na ulinzi wa taifa jukumu ambalo Benki ya NMB imesema limechangia kwa...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Jumatano tarehe 31, 2022, limemwachia kwa dhamana laiyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli...
By Masalu ErastoAugust 31, 2022MAWAKALA wa ajira katika sekta binafsi nchini Tanzania wamekutana na kujadili fursa za ajira na Mawakala wenzao wa ajira binafsi wa Qatar, Jijini...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022UJUMBE wa Serikali ya Tanzania unaoongozwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Jamal...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022BENKI ya NMB imezindua mashine ya kutolea fedha (Automated Teller Machine – ATM) ya kwanza katika Uwanja wa Ndege ya Kimataifa ya Kilimanjaro...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022MFANYABIASHARA Patrick Christopher Kamwelwe mkazi wa New York nchini Marekani ameshusha tuhuma nzito dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2022MJANE wa Marehemu Agustino Mrema amesema hadi sasa ameshapokea watoto watatu wa nje ya ndoa wa mume wake ambao walikuwa hawajapokewa na...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2022TUME ya Haki za Kibinadamu nchini Pakistani (HRCP) imepinga hatua ya serikali nchini humo ya kuingiza tamko la imani ya Kiislam katika fomu...
By Gabriel MushiAugust 30, 2022KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali kuwajali na kuboresha maisha ya wazee nchini, Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita (GGML) imetoa msaada...
By Gabriel MushiAugust 30, 2022JAJI mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amesema mitandao ya kijamii haitoi taarifa sahihi kuhusu namna au utaratibu ambao wanautumia kupata majaji...
By Masalu ErastoAugust 29, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amesema upo umuhimu wa kutenganisha shughuli za msingi za magereza na zile shughuli za...
By Masalu ErastoAugust 29, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wataendelea kusota gerezani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2022BENKI ya NMB ni miongoni mwa taasisi zilishiriki uzinduzi wa Tamasha Kubwa la Kizimkazi, Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).
By Gabriel MushiAugust 29, 2022MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amezindua mradi wa uhifadhi wa mazingira kwa kutumia maarifa ya asili ambao utatekelezwa na Shirika la...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2022BENKI ya NMB na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wamesaini Hati ya Makubaliano (MoU), ambapo NMB itafadhili Matengenezo...
By Gabriel MushiAugust 28, 2022MASHIRIKA mbalimbali ya maendeleo ya kimataifa yameungana kuendesha mafunzo maalumu juu ya matumizi bora ya vyombo vya habari kuhamasisha umma wa Watanzania kujikinga...
By Gabriel MushiAugust 28, 2022MKUU wa mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere ameitaka Serikali kurejesha watu maalumu wa kufuatilia mienendo ya mauzo ya madini ya Tanzanite maarufu kama...
By Masalu ErastoAugust 27, 2022MJI mdogo wa Mirerani uliopo katika wilaya Simanjiro mkoani Manyara umeongeza bilione mpya wa madini ya Tanzanite baada ya mchimbaji mdogo Anselim...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2022MKE wa marehemu Augustine Mrema, mwanasisasa mashuhuri nchini aliyefariki dunia 21 Agosti na kuzikwa juzi Alahmisi, Doreen Kimbi Mrema, ameanza kuonja joto ya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2022TAARIFA zilizotufikia hivi punde Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limemkamata aliyekuwa Meneja wa TRC mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2022MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetangaza kuanza rasmi kutumia mfumo wa malipo ya Serikali kuanzia malipo...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti nane wa Bodi za Mazao na Taasisi zinazosimamiwa na Wizara ya Kilimo pamoja na Mkurugenzi...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2022MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema umezikwa jana kijijini kwake Kiraracha- Marangu mkoani Kilimanjaro huku viongozi wa dini na wanasiasa...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limefungua dirisha la maombi kwa vijana wa Kitanzania kujitolea kujiunga na mafunzo ya Jeshi hilo kuanza mchakato...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022ABIRIA wanaotumia Kiwanja cha Ndege cha Songwe wameripotiwa kuongezeka kutoka abiria 69,000 kwa mwaka 2020/2021 hadi 85,000 kwa mwaka 2021/22 ikiwa ni matokeo...
By Gabriel MushiAugust 25, 2022MKURUGENZI Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, anayekabiliwa na tuhuma za ufisadi, ametinga ofisi za Taasisi...
By Gabriel MushiAugust 25, 2022Serikali inatarajia kuanzisha mpango wa ufugaji nyuki ujulikanao kama Manzuki ambapo nyuki watakuwa wanafugwa katika eneo maalum bila kuathiri uhifadhi. Anaripoti Urumasalu Kisung’uda,...
By Gabriel MushiAugust 25, 2022MAWAKILI kadhaa wamejitokeza kumtetea kisheria aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye iwapo atahitaji msaada...
By Gabriel MushiAugust 25, 2022UGUNDUZI wa internet ulisababishwa na changamoto inayofanana sana na wakati huu ambao dunia inapitia sasa. Kwa kifupi unaweza kusema kwamba ukubwa wa changamoto...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022MKUU wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Jerry Muro ameitaja changamoto inayolikabili zoezi la sensa ya watu na makazi katika wilaya hiyo kuwa...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameongoza mamia ya waombolezaji kuuga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha...
By Masalu ErastoAugust 24, 2022JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema linamshikilia askari aliyehusika katika tukio la kumpiga mtuhumiwa tukio ambalo lilionekana katika video iliyosambaa kwenye kitandao ya...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022KITUO cha kulelea watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu cha Mwana Orphan Islamic kilichopo Kata ya Vigunguti Wilaya ya Ilala, Mkoa wa...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022VIJANA watatu wa Kitanzania, wamefanikiwa kujiunga na Shirika la Kanisa Katoliki la Wahudumu wa Wagonjwa (Camillians) Tanzania na kuweka nadhiri zao za kwanza....
By Gabriel MushiAugust 23, 2022HATIMAYE jamii ya kabila la Wahadzabe leo tarehe 23 Agosti, 2022 wamekubali kuhesabiwa baada ya kupatiwa nyama pori na matunda kama walivyokuwa wameomba...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amekuwa miongoni mwa Watanzania waliohesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza saa 6:01 usiku wa leo...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022, Anne Makinda amesema iwapo makarani wa sensa wakifanya kazi yao kwa ufanisi na uharaka...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022WAKATI masikio ya Watanzania yakiwa yamepumzika kusikia taarifa za kutekwa au kuuawa raia na watu wasiojulikana, matukio hayo yanaanza kurejea taratibu. Tukio la...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imetoa msaada wa viti 15, meza 10, kabati moja pamoja na viti vya wageni viwili kwa Shirikisho la...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema atamkumbuka marehemu Agustino Mrema kama moja ya wanasiasa mahiri waliojua kuchagua maneno sahihi ya kuzungumza...
By Masalu ErastoAugust 22, 2022HATIMAYE Baba yake Hellen Kemunto, binti muuguzi raia wa Kenya aliyefariki wiki iliyopita nchini Canada, amejitokeza kuelezea maisha ya mwanaye. Binti huyo...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2022MWILI wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Agustino Lyatonga Mrema unatarajiwa kuzikwa Alhamisi tarehe 25 Agosti, 2022 nyumbani kwake...
By Masalu ErastoAugust 22, 2022UTALII wa picha unaofanywa na Kampuni ya EBN Hunting Safari umewezesha wanyama katika eneo la Jumuiya ya Wahifadhi Wanyamapori (WMA) Buringe wilayani Babati...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea na kukagua mnada wa mifugo Igunga ambao...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022JUMLA ya Sh bilioni 50 zinatarajiwa kutumika katika upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kigoma kwa kurefusha barabara ya kuruka na kutua ndege kutoka...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022MHADHIRI wa uchumi kutoka Chuo kikuu caha Dar Es Salaam, Profesa Humphrey Moshi, amemtaka waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba pamoja...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022