Tuesday , 7 May 2024

Habari Mchanganyiko

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

NBC yagawa madawati, saruji kuboresha elimu Mwanza

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) tawi la Mwanza imetoa msaada wa mifuko ya saruji 200 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika...

Habari Mchanganyiko

Exim watambulisha huduma isiyo na mipaka kati ya Tanzania, Comoros

BENKI ya Exim Tanzania imetambulisha huduma yake mpya ya kibenki isiyo na mipaka kati ya Tanzania na Comoro inayolenga kutoa miamala ya gharama...

Habari Mchanganyiko

Wajasiriamali washauriwa kuwa na Bima ya biashara

WAJASIRIAMALI nchini wanatakiwa kuwa na bima za biashara ili wanapopatwa na majanga mbalimbali yakiwemo moto,ugonjwa waweze kufidiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

33,000 hufariki kila mwaka kwa matumizi ya nishati chafu ya kupikia

INAELEZWA kuwa takribani watu 33,000 hufariki dunia nchini Tanzania kutokana na magonjwa ya mfumo wa hewa yanayosababishwa na matumizi ya nishati chafu za...

Habari Mchanganyiko

Watahiniwa 95,166 la 7 wafaulu mtihani elimu dini ya kiislamu

WATAHINIWA 95,166 kati ya 142,522, sawa na asilimia 66.7, waliofanya mtihani wa elimu ya dini ya kiislam wa darasa la saba, unaosimamiwa na...

Habari Mchanganyiko

Barabara ya Kidatu- Ifakara kukamilika Mei, 2023

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amemtaka Mkandarasi Reynolds Construction Company Nigeria ltd, anayejenga kwa kiwango cha lami barabara ya Kidatu-Ifakara yenye...

Habari Mchanganyiko

Mbinu za kumuenzi Nyerere kiuchumi zaainishwa

SERIKALI imesema inaendelea kutekeleza mikakati itakayosaidia kutimiza ndoto za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere ili kuimarisha ustawi wa wananchi na maendeleo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ajali yaua watano Mbeya, 28 wajeruhiwa

JINAMIZI la ajali limeendelea kuandama mkoa wa Mbeya baada ya watu watano kufariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya gari aina ya...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaomba usadizi kuwarejesha kwao wakimbizi wa Burundi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezitaka Jumuiya ya Kimataifa na Washirika wa Masuala ya kibinadamu kusaidia mchakato wa...

Habari Mchanganyiko

Samia kufanya ziara ya siku 4 Kigoma

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, kuanzia tarehe 16 hadi 19, Oktoba mwaka huu. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Tume ya Madini yakusanya bilioni 624 za maduhuli, yatoa leseni 9,498

MWENYEKITI wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema tangu kuanzishwa kwa Tume hiyo, sekta ya madini imeendelea kuimarika kutokana na mafanikio yaliyopatikana...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watatu wafariki dunia Kilwa kwa kula kasa

WATU watatu akiwemo mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja wakazi wa kijiji cha Rushungi wilayani Kilwa mkoani Lindi wamefariki dunia baada ya kula...

Habari Mchanganyiko

NMB kukopesha hadi bilioni 250 mtu mmoja

UFANISI mkubwa wa kiutendaji ambao Benki ya NMB imeupata miaka ya hivi karibuni umeiwezesha taasisi hiyo kinara wa huduma za kifedha nchini kuimarika...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi NMB waanza safari kupanda mlima Kilimanjaro

KATIKA mwendelezo wa kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja, wafanyakazi sita wa Benki ya NMB jana wameanza safari ya siku saba ya kupanda...

Habari Mchanganyiko

GGML wadhamini mkutano mkuu wa wanajiolojia Arusha

Katika kuunga mkono ukuaji wa fani mbalimbali nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imejitosa kudhamini mkutano mkuu wa mwaka wa wanajiolojia...

Habari Mchanganyiko

TRA yabaini uwepo matumizi namba feki za magari

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini matumizi ya namba za magari ambazo hazijatolewa na mamlaka hiyo au taasisi nyingine ya Serikali....

Habari Mchanganyiko

KATIKA kutekeleza mpango wa kulinda mazingirapamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali kuifanyaTanzania kuwa nchi ya viwanda ifikapo 2025, Kampuniya Geita Gold Mining Limited (GGML) imenunua nakusimika mtambo wenye thamani ya Sh bilioni mojakwa ajili ya kuchenjua kaboni ‘makinikia’ yanayotokanana shughuli za uchimbaji wa madini ya dhahabu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza napekee katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuwana mtambo huo kwani hapo awali kampuni hiyo ilikuwainafuata huduma hiyo Afrika Kusini. Hayo yamebainishwa hivi karibuni katika ziara yaWaziri wa Madini, Dotto Biteko ambaye alitembeleakampuni hiyo mkoani Geita kwa lengo la kujuamaendeleo ya GGML baada ya kuanza shughuli zauchimbaji wa chini ya ardhi katika migodi yake mitatu. Akimkaribisha waziri huyo, Makamu Rais waAngloGold Ashanti anayeshughulikia Miradi endelevukwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayoalisema mradi huo utaongeza mapato kwa serikali nakampuni hiyo kwa ujumla. “Mradi huu wa kuchenjua mabaki ya kaboniunatusaidia kuhakikisha hatuyatupi mabaki yadhahabu na mabaki yenye asili ya hewa ukaayanayoingia kwenye mazingira … kwa sababu dunianzima ipo kwenye mapambano ya kupunguza hewaukaa,” alisema. Aidha, akizungumzia mradi huo, Dk. Biteko alisemaawali kaboni zilizokuwa zinazalishwa kwenye migodiiliyopo nchini zilikuwa zinasafirishwa kwenda nje yanchi. “Tulizuia watu wakadhani tunafanya kitu kibaya, sasaGGML wameweka mtambo mpya ambao umegharimush bilioni moja kwa ajili kuprocess upya kaboni zadhahabu na kupata dhahabu safi badala ya kusafirishaile kaboni kupeleka nje ya nchi,” alisema. Alisema mbali na manufaa ya mapato ambayo nchiinapata, pia watu wengi wameajiriwa kwenye mtambohuo na kuondokana na umaskini. “Lakini pili teknolojia ya kaboni hizi ambazozinazalishwa kwenye migodi mingine zitakuwazinafanyiwa processing hapa nchini hasa ikizingatiwaile kaboni ina dhahabu....

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa wito NGO’s kufungua akaunti NMB

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s) kufungua akaunti zao katika benki zilizopo nchini kama vile NMB ili...

Habari Mchanganyiko

Katibu Tawala Geita ahimiza wachimbaji kujiunga na NSSF

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Profesa Godius Kahyarara amewahamasisha wachimbaji wadogo wa madini mkoani humo kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Benki ya Exim wasafisha magari ya wateja, wagawa zawadi

BENKI ya Exim Tanzania imeungana na watoa huduma duniani kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kuendelea kuwa karibu zaidi na wateja...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bei ya mafuta yaendelea kushuka

BEI ya mafuta ya petroli imeendelea kushuka kwa miezi miwili mfululizo baada ya Mamlaka  ya Udhibiti wa Nishati na Maji kutangaza bei mpya...

Habari MchanganyikoKimataifa

Mawaziri wa Madini Afrika wajadili ugunduzi, uvunaji madini mkakati

NAIBU Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa ameshiriki Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Madini Afrika uliondaliwa na Umoja wa Afrika na kufanyika...

Habari Mchanganyiko

NMB kuendelea kudhamini CDF Trophy, Jenerali Nkunda atoa neno

BENKI ya NMB nchini Tanzania, imemhakikishia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Nkunda, udhamini endelevu wa Mashindano ya Gofu ya...

Habari Mchanganyiko

Waziri wa Madini aridhishwa kasi ya ujenzi wa kinu cha kupoza umeme GGML

WAZIRI wa Madini Dk. Dotto Biteko ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kinu cha kupoza umeme (substation) kinachojengwa na Kampuni ya Geita...

Habari Mchanganyiko

Waziri Madini: Mgodi wa GGML mfano bora Afrika kuhudumia jamii

WAZIRI wa Madini, Dk. Dotto Biteko amesema Kampuni ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) ndiyo kampuni uchimbaji inayoongoza Tanzania na Afrika kwa...

Habari Mchanganyiko

Biteko ahamasisha kampuni kuchangia damu salama-Geita

WAZIRI wa Madini Dk. Doto Biteko ameyataka makampuni mbalimbali hapa nchini kuwa na desturi ya kujitoa kusaidia Uchangiaji wa Damu Salama hospitalini kama...

Habari Mchanganyiko

STAMICO, BUCKREEF yawapiga msasa wananchi, wachimbaji wadogo Geita

SHIRIKA la  Madini la Taifa (STAMICO) kwa kushirikiana na Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Buckreef Gold wametoa elimu kuhusu uchimbaji wa madini na...

Habari Mchanganyiko

Waziri Makamba ahudhuria warsha ya mradi wa  kusindika gesi asilia Norway

WAZIRI wa Nishati, January Makamba, ameshiriki katika warsha ya viongozi iliyofanyika kwenye mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia (Liquefied Natural Gas Plant...

Habari Mchanganyiko

Mabalozi wa ‘Rafiki briquettes’ wageuka kivutio maonesho ya madini Geita

  MABALOZI wa mkaa mbadala wa Rafiki Briquette kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wamekuwa kivutio katika Maonesho ya Kitaifa ya Teknolojia...

Habari Mchanganyiko

DC Nyang’hwale aipongeza GGML kuajiri asilimia 98 Watanzania mgodini

MKUU wa wilaya ya Nyang’wale, Jamhuri William amesema uongozi wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGM) umewatoa kimasomaso Serikali ya mkoa wa...

Habari Mchanganyiko

Zanzibar waipongeza Tume ya Madini kwa usimamizi dhabiti sekta ya madini

WIZARA ya maji, nishati na madini Zanzibar imeipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini na Tume ya Madini kwa usimamizi mzuri wa...

Habari Mchanganyiko

Katibu Madini awaita wachimbaji wadogo kutumia vifaa vya GF Truck

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ametoa wito kwa wachimbaji wadogo wa madini kuchangamkia mitambo na vifaa vinavyosambazwa na Kampuni...

Habari Mchanganyiko

Dk. Ndumbaro aeleza umuhimu wa Chama cha Mawakili wa Serikali

Waziri wa Katiba na Sheria, Damas Ndumbaro, ameeleza umuhimu wa Chama cha Mawakili wa Serikali kwa kueleza majukumu yao kuwa mazito na muhimu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili Mkuu wa Serikali ashauri kuanzishwa kituo cha usuluhishi Tanzania

WAKILI Mkuu wa Serikali, Gabriel Malata, ameomba kuanzishwa kwa kituo cha Usuluhisho wa migogoro nchini kwa lengo la kutatua mizozo mbalimbali inayo zikabili...

Habari Mchanganyiko

GGML mdhamini mkuu wa maonesho ya teknolojia ya madini Geita

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGM) kwa mwaka wa tano mfululizo imejitosa kuwa mdhamini mkuu wa Maonesho ya Kitaifa ya Teknolojia ya...

Habari Mchanganyiko

THRDC yazindua mtandao wa kuhifadhi data na kushirikisha taarifa

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umezindua mtandao wake wa usajili, ufuatiliaji na usimamizi wa wanachama wake zaidi ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia ataka Sheria ya kulinda uwekezaji iangaliwe upya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonesha kutoridhika na masharti ya sheria ya kulinda uwekezaji inayoweka ulazima wa mzozo baina ya mwekezaji...

Habari Mchanganyiko

NMB yaalika wachimbaji wadogo, kati kuchangamkia mikopo ya mitambo

KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwainua wachimbaji wadogo na wa kati kwenye sekta ya madini, Benki ya NMB imetoa wito kwa...

Habari Mchanganyiko

Tume ya Madini yataka wachimbaji wadogo kuzingatia sheria ya Mazingira

TUME ya Madini imewataka wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu mkoani Geita kuzingatia sheria ya mazingira na afya migodini. Pia imetoa wito kwa...

Habari Mchanganyiko

Wakulima wa korosho Lindi, Mtwara kuchanua na “Vuna Zaidi na NBC Shambani”

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa pili wa kampeni yake  maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya...

Habari Mchanganyiko

Ambao hawatajisajili chama cha mawakili wa Serikali kupoteza kazi zao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mawakili wa Serikali ambao hawatajisajili katika Chama cha Mawakili wa Serikali katika...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu, Chenge wawafunda mawakili wa Serikali kuhusu chama chao

MAWAKILI wa Serikali, wametakiwa kutumia chama chao kuhakikisha viongozi wa Serikali wanazingatia matakwa ya katiba na sheria za nchi, katika utekelezaji wa majukumu...

Habari Mchanganyiko

Stamico wataja faida za mkaa mbadala, unatumika mara 3 ya mkaa wa kuni

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limesema mkaa mbadala wa kupikia unaojulikana kama ‘Rafiki Coal Briquettes’ unaotokana na makaa ya mawe una uwezo...

Habari Mchanganyiko

‘Jukumu la wizara ya madini ni kuunda, kuisimamia sera ya madini’

IMEELEZWA kuwa jukumu la Wizara ya Madini ni kuunda sera na kusimamia sheria ya sekta ya madini sambamba na utoaji wa mafunzo ya...

Habari Mchanganyiko

Mbibo: Wananchi tembeleeni Tume ya Madini kupata elimu ya madini

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ametoa wito kwa Watanzania, wananchi wa mkoa wa Geita, mikoa jirani na wachimbaji wadogo...

Habari Mchanganyiko

Shehena ya sigara bandia za Bil. 1.8/- kutoka DRC yakamatwa Shinyanga

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA), Kanda ya Ziwa Magharibi imekamata shehena ya sigara bandia zenye thamani ya Sh 1.8 Bilioni katika...

Habari Mchanganyiko

Tume ya madini yawanoa wachimbaji wa madini kwenye maonesho ya madini Geita

WATAALAM kutoka Tume ya Madini wameendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wa madini kutoka katika mkoa wa Geita na mikoa ya jirani katika Maonesho...

Habari Mchanganyiko

Bashungwa awasimamisha kazi maofisa watano Mbulu

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maofisa watano wa Halmashauri...

Habari Mchanganyiko

Kibano chaja kwa waagizaji magari ‘used’ watakaokwepa ukaguzi Japan

  SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan, mawakala wa forodha na wananchi wote kwa ujumla kuhakikisha wanakagua...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji wadogo waitwa maonesho madini Geita, kampuni 600 zashiriki

KATIBU Mkuu Wizara ya Madini, Adolf Ndunguru ametoa wito kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kushiriki Maonesho ya 5 ya Teknolojia ya Madini...

error: Content is protected !!