HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu ambana kwa maswali shahidi wa Serikali October 7, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu ameendelea kumbana shahidi kwa maswali ya dodoso kulingana na ushahidi alioutoa jana tarehe 6 Aprili 2025 ambapo shahidi wa kwanza wa Jamhuri aliendelea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
HABARI MCHANGANYIKO Kutekwa Polepole, Mawakili wake wamshtaki IGP, AG, DPP, ZPC October 7, 2025 Erasto Masalu MAWAKILI wa Humphrey Polepole walioongozwa na Peter Kibatala wamefungua kesi yenye maombi maalum kwa niaba ya Polepole katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam ya kuzitaka mamlaka husika…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Yanayojiri kwenye kesi ya Lissu leo tarehe 7 Oktoba 2025, Mahakama Kuu October 7, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusikiliza Kesi Na. 19605/2025 ya uhaini inayomakabili Tundu Lissu – Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambapo leo shahidi…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi watangaza kumtafuta ndugu yake Polepole October 7, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi limesema kuwa linaendelea kumtafuta Augustino Polepole ambaye alijitambulisha kuwa ni Ndugu wa Humphrey Polepole ili aweze kulipa Jeshi hilo ushirikiano na kutoa maelezo yake na uthibitisho wa…
HABARI MCHANGANYIKO Mawakili wa Polepole watoa tamko October 6, 2025 Erasto Masalu MAWAKILI wa Balozi Mstaafu Humphrey Polepole wametoa taarifa kwa umma wakizitaka mamlaka za usalama nchini kutumia rasilimali na mbinu zote kuhakikisha usalama wake na kutoa taarifa kwa Watanzania na dunia…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi yasisitiza kumtaka Polepole kwa mahojiano October 6, 2025 Erasto Masalu PAMOJA na taarifa zinazosambaa mitandaoni zikifuatana na video mbalimbali zinadai kuwa usiku wa kuamkia leo aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole ametekwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana, bado…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mahakama yafafanua mashtaka ya Lissu kuhusu hukumu yake October 6, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa aliyopewa Tundu Lissu anayeshtakiwa mahakamani hapo kwa tuhuma za uhaini iliyohusu tarehe ya hukumu ya shauri hilo ilhali…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI THRDC yapendekeza maridhiano kufanyika kabla ya uchaguzi October 5, 2025 Erasto Masalu MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini (THRDC) umetoa mapendekezo ya kuanzishwa kwa maridhiano na kupatikana kwa muafaka wa kitaifa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba mwaka…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI JWTZ yaonya wanaojaribu kulihusisha na siasa October 4, 2025 Erasto Masalu JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa kumekuwepo na ongezeko la watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuchapisha maudhui yanayochochea kuliingiza jeshi hilo katika mambo ya kisiasa. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mahakama yaombwa kibali cha kuwakamata Viongozi wa Chadema October 4, 2025 Erasto Masalu WAJUMBE wawili wa Bodi ya Wadhamini CHADEMA-Zanzibar, Ahmed Rashid Khamis na Maulida Anna Komu pamoja na Makamu Mwenyekiti Mstaafu, Said Issa Mohamed, wameiomba Mahakama Kuu itoe amri ya kuwakamata na…