Tuesday , 7 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Bosi NMB apewa tuzo ya TIOB
Habari Mchanganyiko

Bosi NMB apewa tuzo ya TIOB

Spread the love

Mkurugenzi Usimamizi wa Sekta ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Sadati Musa (kushoto), amemkabidhi tuzo ya ngazi ya juu ya uanachama (TIOB Fellowship), Afisa Mkuu wa Udhibiti wa Benki ya NMB, Doreen Joseph (kulia) kwa niaba ya Afisa  Mtendaji Mkuu NMB, Ruth Zaipuna. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Tuzo hiyo imetolewa na Taasisi ya Wataalamu wa Kibenki (TIOB) kwa wanachama wake.

Ni katika hafla ilikwenda sambamba na mahafali ya 21 ya taasisi hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Samia aagiza huduma za dharura maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Hidaya

Spread the love   RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Samia...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yatoa uamuzi zuio dhidi ya Club House

Spread the loveMAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha

Spread the loveZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

error: Content is protected !!